Baba Matatizo
JF-Expert Member
- May 5, 2011
- 334
- 64
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA
Habar madaktar?Nauliza hivi,Mwanamke mwenye MIMBA anaweza kuendelea kupata hedhi kama kawaida?Kama inawezekana tatizo nini?Naombeni MSAADANAWASILISHA
---
---Je, kama mimba imetunga karbu na siku za hedhi mwanamke anaweza pata hedhi? Na je mwanamke siku yake ya hatar n hip kama siku zake ni wastani wa 28-30
Sent using Jamii Forums mobile app
---Wakuu ma Dr hebu nisaidieni hii kitu inawezekana kweli duniani, kwamba ana mimba halafu bado anapata siku zake yaani hedhi. kwa sayansi niliyosoma form three naona inakataa. nijuzeni tafadhali.
Ndugu watabibu na wadau wote naomba msaada mama watoto Wangu amepatwa na tatizo la kwenda kwenye Siku zake na wakati ana mimba kama ya mwezi mmoja, ni tatizo geni kwake kwani haijawahi kumtokea!
UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI
Bleeding during pregnancy is relatively common and doesn't always mean there's a problem – but it can be a dangerous sign
Causes of bleeding in early pregnancy
Implantation bleeding
In early pregnancy, you might get some harmless light bleeding, called "spotting". This is when the developing embryo plants itself in the wall of your womb. This type of bleeding often happens around the time your period would have been due.
Cervical changes
Pregnancy can cause changes to the cervix, and this may sometimes cause bleeding – after sex, for example.
Miscarriage or ectopic pregnancy
During the first 12 weeks of pregnancy, vaginal bleeding can be a sign of miscarriage or ectopic pregnancy.
However, many women who bleed at this stage of pregnancy go on to have normal and successful pregnancies.
Miscarriage
If a pregnancy ends before the 24th week, it's called a miscarriage. Around 1 in 5 pregnancies ends this way.
Many early miscarriages (before 14 weeks) happen because there is something wrong with the baby. There can also be other causes of miscarriage, such as hormone or blood clotting problems.
Most miscarriages occur during the first 12 weeks (3 months) of pregnancy and, sadly, most cannot be prevented. Other symptoms of miscarriage include:
- cramping and pain in your lower abdomen
- a discharge or fluid from your vagina
- a discharge of tissue from your vagina
- no longer experiencing the symptoms of pregnancy, such as breast tenderness and feeling sick
Ectopic pregnancy
An ectopic pregnancy is when a fertilised egg implants outside the womb – for example, in the fallopian tube.
It can cause bleeding and is dangerous because the fertilised egg can't develop properly outside the womb. The egg has to be removed, which can be done through an operation or with medicines.
Symptoms of an ectopic pregnancy tend to develop between 4 and 12 weeks of pregnancy but can happen later.
Other signs of ectopic pregnancy can include:
- tummy pain low down on one side
- vaginal bleeding or a brown, watery discharge
- pain in the tip of your shoulder
- discomfort when peeing or pooing
Causes of bleeding in later pregnancy
Cervical changes
These can lead to bleeding, particularly after sex.
Vaginal infections
Your midwife or doctor can discuss tests and treatment with you.
A 'show'
This is when the plug of mucus that has been in the cervix during pregnancy comes away, signalling that the cervix is getting ready for labour to start. It may happen a few days before contractions start or during labour itself.
Placental abruption
This is a serious condition in which the placenta starts to come away from the womb wall. Placental abruption usually causes stomach pain, and this may occur even if there is no bleeding.
Low-lying placenta (placenta praevia)
This is when the placenta is attached in the lower part of the womb, near to or covering the cervix. Bleeding from a low-lying placenta can be very heavy, and put you and your baby at risk.
Vasa praevia
This is a rare condition where the baby's blood vessels run through the membranes covering the cervix.
When your waters break, these vessels may be torn and cause vaginal bleeding. The baby can lose a life-threatening amount of blood.
Finding out the cause of bleeding in pregnancy
To work out what is causing the bleeding, you may need to have a vaginal or pelvic examination, an ultrasound scan or blood tests to check your hormone levels.
Your doctor will also ask you about other symptoms, such as cramp, pain and dizziness. Sometimes it might not be possible to find out what caused the bleeding.
If your symptoms are not severe and your baby is not due for a while, you'll be monitored and, in some cases, kept in hospital for observation.
How long you need to stay in hospital depends on the cause of the bleeding and how many weeks pregnant you are.
Being in hospital allows staff to keep an eye on you and your baby, so they can act quickly if there are further problems.
MREJESHO WA MDAU BAADA YA KWENDA KLINIKI KUPIMA
leo nimeandamana na mke wangu kule kituoni cha kliniki na tumepata mafunzo na maelezo ambayo kwa kijuujuu ningetaka kushiriki na wadada wote. uwe umetunga mimba ama bado maana ni vyema kuwa na ujuzi ili ujapo wakati ukajipata ushatunga na mambo haya yakakufika usiwe mashakani.
kwanza, kuna hili aliloliita kwa kimombo "vaginal bleeding"kwa kawaida, huwa linatokea kwa muda wa kama juma moja kabla ya tarehe kamili au muda kamili wa hedhi..hili si la hatari ila bado ni vyema upate ushauri kutoka kwa mtaalamu. kisababishi kikuu huwa ule utungaji wa mimba kwani wakati huo damu nyingi sana huelekea kule ili kurinda ujauzito na hivyo ukajipata wakati mwingine damu inatoka.
Fahamu kuwa ile si hedhi na kwa kuitofautisha huwa ni nyepesi sana kama na huwa ya siku au siku mbili..mengine yanayosababisha hili ni alichokiita "pap smear"(hilo chunguza mwenyewe) pia kuna "vaginal examination" tendo la unyumba pia huchangia hivyo ni vyema ujue staili zipi hupendekezwa wakati wa ujauzito.
visababu hatari vya jambo hili kutokea ni kama "infections"hapa mwanadada unafaa kuwa mwenye usafi sana maana kama nilivyofahamu infections husababishwa na vichembechembe vya uchafu utokao kunako na kuwa kama "yeast"
lingine ni "placental problems"ambapo unapaswa kumtembelea mtaalamu..kama una historia ya kuavya mimba yakupasa uwe makini manake hili pia huwa na mchango mkubwa..la hatari kabisa ni hili lililoitwa "ectopic pregnancy"hili linamaanisha mimba haijatunga katika sehemu ndani ya nyungu la mtoto bali kwingineko hasa kwenye ile mifereji ya fallopian tubes..ikiwa hukuchunguza ukajua mapema yaweza fikia hata kifo manake ile sehemu ndogo ukizingatia mimba inaendelea kukua.
wataalamu wanapendekeza mambo ya kupimwa yafanywe muda baada ya muda ili kujua hali yako kwa ajili ya utunzaji wa mimba ipasavyo...wadada wenye matatizo haya wana ruhusa ya kwenda moja kwa moja hadi kwenye chumba cha emergency iwapo utamkosa daktari wako ama awe anamhudumia mgonjwa mwingine.....
asanteni
BAADHI YA MAONI NA USHAURI ULIOTOLEWA NA WADAU WA JF
---Nenda hospitali. Uchunguze maendeleo ya mtoto kwa kipimo cha ultrasound. Kwa experience wanawake ambao wanaokuja kwa kipimo cha ultrasound wanaotaka kuangalia umri wa ujauzito, unakuta mtoto tumboni umri wake ni mkubwa kuliko tarehe ya mwisho ya hedhi yake ambayo anapopenda clinic wanamwambia. Mama anapokua mjamzito huwa wengine damu huwezi kuiona mpaka kujifungua ila kunawengine unakuta ni mjamzito anapata sport za damu.
Kwa mama ambaye ni mjamzito anapaswa anapoona sport lazima aende kuangalia maendeleo ya mtoto tumboni. Hvyo ukiona unapata sport na ni mjamzito wakati mwingine ni kawaida ila ukiona heavy bleeding tafadhali nenda ukafanyiwe kipimo cha ultrasound huenda kondo la nyuma yani placenta liko kwenye mlango wa kizazi au limekaribia kwa kitaalam tunasema (placenta praevia ) au unakuta labda kondo linaweza limengofoka kusababisha heavy bleeding kwa kitaalam tunaita (placenta abraption)
---Baadhi ya wanawake hill linatokea. Wakati mimba inatungwa na inaendeleea ... Kuna vimishipa ambavo huachia ili kueza kujishika kwenye kizazi hivyo hupelekea mwanamke kuona siku ambazo hazifanani na siku zake za kawaida yaani huwa pungufu.
Kuliko kawaida dalili hizo zinatokea kwa baadhi ya wanawake. Ni vizuri kumpima ili kuhakikisha kweli ..Kama ndio mjauzito au la ili kuchukua tahadhari za kiafya Kama kweli atakua mjauzito.
---Sayansi niliosoma Mimi, inasema hivi mwanamke akipata mimba cervix yake inafunga hadi siku akijifungua, ikitokea imefunguka ndipo na mimba hutoka, kumbuka na hiyo damu ya hedhi inapitia mlango huo huo, kingine matokeo ya hedhi ni kupevuka kwa yai na kupasuka hii huchochewa na hormone inayoitwa estrogen,
akipata mimba hiyo hormone ya estrogen hushushwa chini na hormone nyingine inayoitwa progesterone hii husaidia uleaji wa mimba na kuzuia mwanamke kupata hedhi na huwa juu kipindi chote cha mimba.
hayo mengine ya kuingia siku akiwa na mimba sio jambo la kawaida ujue kuna tatizo kisayansi hatakiwi kupata hedhi tena akipata mimba tu.
Periods During Pregnancy
It seems like at some point every woman has heard that their sister's friend's cousin had a period while they were pregnant. Or "oh I bled throughout my pregnancy and didn't know I was pregnant because it was my period!" This is a myth. Women often confuse any vaginal bleeding as their period because that is what they are used to happening. You did not experience a period; you experienced vaginal bleeding! This is a common occurrence and a wide misconception.
You cannot have a period while you are pregnant because both of these functions cannot happen at the same time. If you were pregnant and began menstruating, inevitably you would lose the pregnancy or have a miscarriage. Although you can't be pregnant and have a period at the same time, you can, in fact, experience vaginal bleeding and continue to be pregnant. These are two very different terms: vaginal bleeding and menstruation (period), but it is usually vaginal bleeding that women confuse as their periods.
Bleeding early in pregnancy, as in the first trimester, is scary, but luckily it usually doesn't signal a problem. It is also rather common among women. There are a few common causes of first-trimester bleeding, none of which is an indication of trouble.
1. Normal implantation of the pregnancy into the uterine wall. This bleeding, which sometimes also occurs when a fertilized egg (embryo) attaches itself to the wall of the uterus (generally two to five days after conception), is brief and light and only lasting a couple of days. Implantation normally occurs around five to ten days after conception.
2. Hormonal changes when the period would have otherwise occurred. This type of bleeding is also usually very light, but it can sometimes seem like an actual period. Many women report that they do actually bleed regularly during the early portion of their pregnancy, none of which is a true menstrual period, and this is usually the culprit for that. It is often referred as early pregnancy bleeding and is caused by hormonal changes in the body due to the pregnancy. This is also rather common among women and, again, can appear to be a menstrual period. It's not though.
3. It could be a subchorionic bleed. This is when a small blood clot forms at the edge of the placenta. It usually stops on its own and isn't normally an emergency. But your doctor will want to monitor this with ultrasound to be sure that the clot has resolved itself.
4. Decidual bleeding. This is period-like bleeding (but not your period) when your hormones may get out of whack. It will cause you to lose parts of the lining along the uterine wall. This is especially common in the very early stages of pregnancy because the lining hasn't had a chance to completely attach to the placenta. Although a scary thought, it is not generally considered to be a health risk to neither mother or baby.
5. Getting pregnant while on the pill. This is often associated with bleeding during a pregnancy and can be confused with a menstrual period. Many women will have several bleeding episodes before they realize something isn't right. This will cause the woman to be unable to accurately tell her doctor when her last realmenstrual cycle because of the confusion, and an ultrasound will be required to determine an estimated due date.
Often the real case can't be pinpointed, but the bleeding stops spontaneously and in the situations above, the pregnancy continues just fine. As a precaution though, any bleeding should be reported to your practitioner so that he or she can evaluate it. Record whether it is intermittent or persistent, when it started, the color, the heaviness or lightness of the flow, any odor, or any tissue fragments (bits of solid material) that may have passed with the blood. If there were, try to save them in a jar. Also report other symptoms like excessive vomiting, any pain, fever, weakness, and whatever else you might feel.
Any other kind of bleeding than those above, you should make a quick call to the doctor, or if he isn't in, a visit to the ER. It could indicate a less common, and much worse, cause of early bleeding, which includes:
1. Miscarriage. The light bleeding will turn into heavy bleeding and will be accompanied by strong lower abdominal pain that comes and goes. When a miscarriage is taking place, you should find a passage of embryonic material in the blood. A brownish discharge may mean a missed miscarriage. Sometimes, if the fertilized egg doesn't develop, the sac is empty and no embryonic material could have passed.
2. Ectopic pregnancy. Signs include brown vaginal spotting or light bleeding, continuous or not, and have abdominal and/or shoulder pain that is often severe. This type of pregnancy will have to be surgically aborted as it poses potential harm to the mother. The fetus would not be able to survive in this type of pregnancy anyway.
3. Molar pregnancy. Signs include a continuous brownish discharge. This one is a very rare, yet very serious, problem. See the related links below for more information on this condition.