Je, Mjamzito kupata hedhi kuna tatizo?

Je, Mjamzito kupata hedhi kuna tatizo?

Ninavyojua mimi karibu na siku za hedhi mimba haiwezi kutungwa

Inaweza kutunga na wengine wakati wa hedhi kabisa.
 
Mwanamke unaposhika mimba hakuna tena hedhi ukiona damu hata iwe ndogo hilo ni tatizo nenda hospital.
 
Mimba wakati inajishikilia kwenye mji Wa uzazi huweza kupelekea damu kidogo kutoka hii ni normal mimba ikiwa changa kabisa. watu wanachanganya hiyo na hedhi.kabla ya wiki 28 ukitoka damu hiyo ni abortion na chance ya mtoto kusurvive kibongo bongo ni ndogo,baada ya ya week 28 mtoto anaweza kusurvive maana damu kutoka ni sababu ya complications za mimba,ndo uende hospitali sio normal.
 
Ninachokifurahia kwenye uzi huu jamii ya me wanajidai kujua sana kuliko jamii ya ke so sijui wanaexpirience nayo
 
Kuna wanawake uwaga wana bleed na huku ni wajawazito

Pia unaweza ukaona damu while you are pregnant. . Inaweza ikawa ni infection, pia ni dalili ya mimba kutungwa nje ya mji, au mimba ndio inajishikiza kwenye mji
 
Mwanamke unaposhika mimba hakuna tena hedhi ukiona damu hata iwe ndogo hilo ni tatizo nenda hospital.
Wapo baadhi ya wanawake wanapata hedhi wakiwa tayari na ujauzito ila siku huwa zinapungua...kama alikuwa anapata hedhi siku 4 basi anaweza kupata hedhi siku 2 tu.Hii hutokana na hormonal imbalance.

Na hii hutokea miezi mitatu ya mwanzo baada ya hapo hormonal zinakuwa stable.
 
Niliwah kuckia hii ki2 kumbe ni kwel,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ila inakua na utofauti wa siku na kiwango cha damu pia rangi yake inakua tofauti na hedhi ya kawaida hivyo inabadilika jina na kuitwa spotting. Inatokea wakati yai lililorutubishwa linapoenda kujishikiza kwenye uterus tayari kwa kukua hapo kuna kiwango kidogo cha damu kinatoka
1a0dd517ed6448db485498666e2bedd4.jpg
thanks for information na picha kwa msisitizo
 
Wakuu salaam.
Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye mada. Nina mke wangu ambae ni mjamzito mwezi mmoja na wiki mbili. Nimeshangazwa aliponiambia amebleed, lakini hakuna maumivu yoyote. Sasa wakuu hii ni kawaida au ni tatizo tumwone daktari?
Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom