hilo la mimba kukua kwa kasi hutegemea maumbile ya mtu binafsi ila kama ile kasi si ya kawaida ni vyema akapate ushauriInawezekana sana. Kuna dada mpaka mimba ina miezi 7 alikua anaingia period kama kawaida. Kilichomshitua ni tumbo kukua kwa kasi. Mwanzo alijua ni mihogo na chips ndo vinajaza tumbo.
Kwenda hosptal kumbe ni mjamzito
Miezi kuanzia 6 o 7 tumbo ndio hukua sana kwa wengine. Mwez wa 5 kushuka chini anakua hana tumbo kubwa. Alishaenda hosptali na ameshajifungua binti yakehilo la mimba kukua kwa kasi hutegemea maumbile ya mtu binafsi ila kama ile kasi si ya kawaida ni vyema akapate ushauri
natumai alipata ushauri..Nasikia inawezekana
Kuna best yangu alikuwa anayo ila hakugundua kama anayo(kwa madai yake miezi mitatu ya mwanzo wa preg alikuwa anaenda period kama kawaida)
Mjinga zaidi ni yule anayetete ujinga na mjinga, kiufupi wewe ni kubwa jinga.hakuna ujinga aliofanya... kaongea kitu anachokifahamu... sasa ujinga wake upo wapi..!!!
nimeshafanya hilo mkuu...na majibu tumepataMmh inategemea mpeleke kwa doctor
wajua ni vigumu sana kubainisha kipi kinaendelea ndani ya mwili wako bila kufata ushauri wa mtaalam..hawa wanawake mungu awarindedaaah wanawake poleni aiseee.....
nashukuru kama yote yalienda sawa manake nimegundua ujauzito waweza kuwa na hatari zakeMiezi kuanzia 6 o 7 tumbo ndio hukua sana kwa wengine. Mwez wa 5 kushuka chini anakua hana tumbo kubwa. Alishaenda hosptali na ameshajifungua binti yake
Uzazi wa siku hizi ni changamotonashukuru kama yote yalienda sawa manake nimegundua ujauzito waweza kuwa na hatari zake
balaaUzazi wa siku hizi ni changamoto
Mimba ikiingia hawezi kupata hedhi.
Hamna mkuu mimi niko na jirani yangu anakua mjamzito na hedhi kama kawaida, na alishakwenda hospital zaidi ya mimba moja akaambiwa ni kawaida. Anajifungua salama na amani na mpaka leo anakua hivyo hivyo mimba zote.Biology nilipata zero na masikio yake, lakini sitashindwa kuchangia kiduchu .Hedhi itatoka wapi wakati wa ujauzito kwani mayai yanastopishwa kwa mda huo wa miezi tisa? Hedhi wakati wa
Mimba ni ugonjwa,ni kumuona doctor wa akina mama stoe suluhisho. Wakiofaulu biology mnisaidie kwani sayansi sio siasa
Sent using Jamii Forums mobile app