Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 585
- 919
Naomba kujuzwa mke wangu ana mimba ya wiki 7, hapo awali alikuwa hapendi chakula mpaka tugombane ndio atakula tena kidogo..
Ila sasa amekuwa kila baada ya masaa machache analamika njaa, mchana anaweza kula mara nne, usiku ataamka hata saa nane ili ale...
ujauzito huu ni first experience kwangu please...
Wakuu naomba kujuzwa hii ni kawaida kwa mwanamke mjamzito!?