Je mimba huongeza ulaji chakula!?

Charliemic

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
585
919
Naomba kujuzwa mke wangu ana mimba ya wiki 7, hapo awali alikuwa hapendi chakula mpaka tugombane ndio atakula tena kidogo..

Ila sasa amekuwa kila baada ya masaa machache analamika njaa, mchana anaweza kula mara nne, usiku ataamka hata saa nane ili ale...

ujauzito huu ni first experience kwangu please...

Wakuu naomba kujuzwa hii ni kawaida kwa mwanamke mjamzito!?
 
Mkeo ana raha wiki 7 tu anakula hatapiki?? Zile morning sickness zishafunga mana hapo ni mwezi na siku moja. Kama anakula mwache ale muhim ale chakula bora na sio kujilia tu
 
Okwy, ila hatapiki.. Morning sickness mara chache
wiki tisa ndio miezi miwili na siku moja nilijichanganya kwenye hesabu hapo juu by the way kama hatapiki muache ale ila ale balanced diet maji kwa sana na mboga za majani zipewe kipaumbele kwa afya ya kiumbe kilichopo tumboni
 
Mkeo ana raha wiki 7 tu anakula hatapiki?? Zile morning sickness zishafunga mana hapo ni miezi miwili na wiki moja? Kama anakula mwache ale muhim ale chakula bora na sio kujilia tu
Hadi nimemuonea wivu mke wa mleta mada...mimi nikila hazipiti dakika ishirini kinarudi chote, si maji, si chakula.

Point of correction: wiki 7 ni mwezi na week tatu.
 
Hadi nimemuonea wivu mke wa mleta mada...mimi nikila hazipiti dakika ishirini kinarudi chote, si maji, si chakula.
Point of correction: wiki 7 ni mwezi na week tatu.
nimerekebisha kwenye comment nyingine mkuu s ndio hapo mi mpaka miezi mitano sjakata kutapika hiyo miezi mitatu ya mwanzo ilikua shughuli hakuna kitu nakula zaidi ya chai na mkate tu ndio vinakaa yan had nimetaman ingekua ndio mie
 
wiki tisa ndio miezi miwili na siku moja nilijichanganya kwenye hesabu hapo juu by the way kama hatapiki muache ale ila ale balanced diet maji kwa sana na mboga za majani zipewe kipaumbele kwa afya ya kiumbe kilichopo tumboni
Bila kusahau matunda
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom