Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Nafuatialia majibu
Mkoa wa Pwani ni Mkubwa sana.
Imagine Mafia nako ni Pwani
Pwani inapakana na Dar kupitia wilaya za Bagamoyo, Kibaha, Kisarawe, Mkuranga, Lindi kupitia Rufiji, Morogoro kupitia Kisarawe, Halmashauri ya Chalinze, Rufiji, Tanga kupitia Halmashauri ya Chalinze na bado huko Kisiwani Mafia
mafia umeme hukatiki kama huna habari
Hicho kisiwa ndyo kiliuzwa kwa mzungu flan hivi?
Lami ipo airport tu, tena imewekwa majuzi, mwanzoni kulikuwa na kipande kidogo cha kama mita za mraba 25 hivi kwenye egesho la ndege, mwaka 2011 nilishuhudia Mwalimu mmoja amepeleka wanafunzi hapo kuwaonesha lami ilivyoMliofika Mafia. Mafia machoni pa watanzania wengi bado ni giza. Hata mtu ukimwambia ataje wilaya za Pwani angalabu sana kutaja Mafia!...
Wangeipa mkoa badala ya ChatoMkoa wa Pwani ni Mkubwa sana.
Imagine Mafia nako ni Pwani
Pwani inapakana na Dar kupitia wilaya za Bagamoyo, Kibaha, Kisarawe, Mkuranga, Lindi kupitia Rufiji, Morogoro kupitia Kisarawe, Halmashauri ya Chalinze, Rufiji, Tanga kupitia Halmashauri ya Chalinze na bado huko Kisiwani Mafia
Lami ipo kuanzia bandarini mpaka utende kwenye mahoteli ya watalii, ilijengwa kwa msaada wa wamarekani lakini pia lami za mitaani zinajengwa sasa na halmashauri punguza kushangaa halmashauri nyingi hazina lami za mitaa kama huko liwale, kilwa, karagwe, kakonko nkLami ipo airport tu, tena imewekwa majuzi, mwanzoni kulikuwa na kipande kidogo cha kama mita za mraba 25 hivi kwenye egesho la ndege, mwaka 2011 nilishuhudia Mwalimu mmoja amepeleka wanafunzi hapo kuwaonyesha lami ilivyo
Lami ipo airport tu, tena imewekwa majuzi, mwanzoni kulikuwa na kipande kidogo cha kama mita za mraba 25 hivi kwenye egesho la ndege, mwaka 2011 nilishuhudia Mwalimu mmoja amepeleka wanafunzi hapo kuwaonyesha lami ilivyo
Hongereni kwa advancement, vipi usafiri meli zipo au bado ni lile dude la MsimbatiLami ipo kuanzia bandarini mpaka utende kwenye mahoteli ya watalii, ilijengwa kwa msaada wa wamarekani lakini pia lami za mitaani zinajengwa sasa na halmashauri punguza kushangaa halmashauri nyingi hazina lami za mitaa kama huko liwale, kilwa, karagwe, kakonko nk
Lami ipo kuanzia bandarini mpaka utende kwenye mahoteli ya watalii, ilijengwa kwa msaada wa wamarekani lakini pia lami za mitaani zinajengwa sasa na halmashauri punguza kushangaa halmashauri nyingi hazina lami za mitaa kama huko liwale, kilwa, karagwe, kakonko nk
Ni viboti vidogo viwili kimoja cha Jeshi kimoja sijui cha nani ila ni viduchuHongereni kwa advancement, vipi usafiri meli zipo au bado ni lile dude la Msimbati