Matokeo ya kesi ya jana yanawasha taa nyekundu kwa mjanja mjanja Lukuvi. Ikumbukwe awamu ya 4 alipata tuhuma nyingi za rushwa kwa kulazimisha kuwa partner kwenye uwekezaji wa majengo na wafanya biashara wakubwa has a Masaki na KARIAKOO. Waliokataa kama muhundi Iqbal wamekiona cha moto. Kuna yule Afisa mipango miji wa Lindi Manase alikiuka taratibu za mipango miji miaka miwili hivi nyuma. Yeye salama yake kwa tetesi tu alitakiwa alipie vifaa vya Lukuvi bandarini. Sasa ni vema hukumu ya jana akae pembeni kabisa.