RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 52,593
- 110,707
Soma katikati ya mistari.wengine wanasema mzee wa Ruksa
Soma katikati ya mistari.wengine wanasema mzee wa Ruksa
Na kufukuzwa wazawanchi ndani ya nchi.
Hii ni maajabu
poleMuwe mna search mada zenu Kabla ya kuzipandisha JF. Mnajaza servers bure tu
Alale salama Stan Katabalo.kuna kashfa iliitwa Loliondogate enzi za utawala wa Ruksa waziri wa utalii Mngumia alilazimika kujiuzulu. Hiyo kashfa ilivuma sana magazetini. Magazeti ya wakati huo yalikuwa moto wa kuotea mbali kumbukeni mwandishi wa gazeti la Mfanyakazi, Stan Katabalo.
Kibongo bongo Hayati wanajua ni Magu japo ni kiswahili fasaha sema MwinyiKipande hicho aliuza hayati.
Hakuna jambo lisilowezekana.Hivi hakuna uwezokano wa kuvunja mkataba huo fedheha kwa nchi yetu waarabu hao waondoke Loliondo? Haiwezekani wakaanzisha nchi yao ndani ya nchi yetu kama Lesotho ndani ya Afrika kusini?
atokee kiongozi mzalendo hasa wa nchi yetu avunje mikataba yote ya aibu nchi iliyoingizwaHakuna jambo lisilowezekana.
Stan Katabalo alikufa na UKIMWI alikuwa mwandishi wa gazeti la Mfanyakazi.kuna kashfa iliitwa Loliondogate enzi za utawala wa Ruksa waziri wa utalii Mngumia alilazimika kujiuzulu. Hiyo kashfa ilivuma sana magazetini. Magazeti ya wakati huo yalikuwa moto wa kuotea mbali kumbukeni mwandishi wa gazeti la Mfanyakazi, Stan Katabalo.
shida ni kwamba kwa karne anatokea mmoja.atokee kiongozi mzalendo hasa wa nchi yetu avunje mikataba yote ya aibu nchi iliyoingizwa
Sio alinyamazishwa?Stan Katabalo alikufa na UKIMWI alikuwa mwandishi wa gazeti la Mfanyakazi.
Sasa mkereketwa wa nazi, kuandika tuu kiswahili fasaha huwezi mambo mengine utaelewa kweli?Story za vijiwen sio za kuleta humu humu kuna wengine tuna elimu na uwezo mkubwa ss ukileta story za vijiwen mnapokaa nyie mnakuwa mnatukosea sn sie wengine
ndio alikuwa mwandishi nguli wa habari za uchunguzi enzi hizo, kina Balile na wenzake wakasomeStan Katabalo alikufa na UKIMWI alikuwa mwandishi wa gazeti la Mfanyakazi.