Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 3,595
- 6,160
Mzuka?
Katika mabishano ya hapa na pale kuna mshkaji akawa ananiambia Loliondo ilishanunuliwa na waarabu na hata ukiingia kwenye eneo wanaolimiliki mtandao unasoma nchi ya UAE.
Kama haitoshi anasema mara ya mwisho kuwa huko kila akitoka nje ya Loliondo siku akirudi anatumiwa message na zain(kipindi icho) karibu nchi ya mwarabu ndani ya Tanzania.
Hii ni kweli?