Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 20,715
- 20,472
Kitendo cha viongozi wa matawi ya Yanga kuleta hoja ya kuvunja mkataba na Azam sambamba na kususia bidhaa za Azam kinamuweka njia panda aliyewahi kuwa msemaji wa klabu hiyo, Haji Manara maana yeye binafsi ni balozi wa bidhaa za Azam.
Kitendo hicho kinamfanya alazimike kufanya chaguo mojawapo kati ya mawili; either aungane na viongozi wa matawi kususia bidhaa na kuvunja mkataba kwa yeye kuacha kuwa balozi au apingane na msimamo wa viongozi hao ili aendelee kuwa balozi
Ikumbukwe kuwa jambo mojawapo lililomuondoa Simba ni kutangaza bidhaa za mpinzani wa bidhaa za tajiri anayemlipa