Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

Hivi usalama wa taifa wapo kweli! na kama wapo basi nashangaa kwanini mbaka dakika hii huyu hajakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria na kuthibitisha hiki anachokisema.
usalama wa taifa my a $$
 
Natumai hamjambo wadau wa siasa na wazalendo halisi wa nchi Hii.Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii tangu nikiwa chuo kikuu miaka michache iliyopita,hususani siasa za ccm,cuf,chadema,na nccr mageuzi.Moja ya mambo yanayonipa wakati mgumu,ni ubishi uliopindukia kwa viongozi,na wafuasi wa chadema dhidi ya vyama vingine!Sijawahi kuona CDM wakikubali makosa,au kuteleza hata ile kibinadamu,mifano hii hapa,CHADEMA wamechangisha wafuasi na wahisani ili kuwezesha M4C,hela wamekula,ila ukiwauliza wanakataa,ziko wapi?Wamekuwa wakifanya mihadhara hata wakizuiwa,ila wao wanalazimisha na kuwacost wengine.Report ya jukwaa la wahariri,ambalo si la chama,limewatuhumu kumtesa kibanda,wao wanakataa,na ni vinara wa kuomba tume huru kila mahali,sijui wanatakaje.Lwakatare kashutumiwa ugaidi,lawama kwa Nchemba.Lema jambazi,No!Dr.Slaa kakopa hela nyingi,hapana!Bomu la arusha wamekana!Ila kila wanachosema wao,ndio ukweli,Sasa ninyi ni watu gani msiofanya makosa?ni wakamilifu kiasi?Au chama chenu kimetoka MBINGUNI!?

mkuu Candid Scope hebu njoo unisaidie kunieleweshe kidogo hapa unapokutana na mtu kama huyu utamjibu vipi au utatumia soft language ipi kumjibu,
 
Last edited by a moderator:
mkuu Candid Scope hebu njoo unisaidie kunieleweshe kidogo hapa unapokutana na mtu kama huyu utamjibu vipi au utatumia soft language ipi kumjibu,

Usihamaki kujibu, tuliza kwanza bongo maana hapa amechanganya mambo mengi, endelea kusoma mabandiko mengine, akili ikishatulia utapata jambo jema la kusema wakati kichwa kimetulia. Hapa unatakiwa kumwelimisha si kwa ukali au dhihaka, umchukulie kisaikolojia, unajua kuna wengi wana matatizo haya na ujuavyo po pote ulimwenguni kuna tatizo hili na ndio maana hata mashuleni siku hizi wanakazia somo la sociology na saikolojia. Kiongozi ye yote anaijua elimu hiyo akituliza kichwa atapata mazuri ya kumjibu na pengine itakuwa dawa kwa mtu kama huyo kuliko kutumia lugha kali.
 
Natumai hamjambo wadau wa siasa na wazalendo halisi wa nchi Hii.Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii tangu nikiwa chuo kikuu miaka michache iliyopita,hususani siasa za ccm,cuf,chadema,na nccr mageuzi.Moja ya mambo yanayonipa wakati mgumu,ni ubishi uliopindukia kwa viongozi,na wafuasi wa chadema dhidi ya vyama vingine!Sijawahi kuona CDM wakikubali makosa,au kuteleza hata ile kibinadamu,mifano hii hapa,CHADEMA wamechangisha wafuasi na wahisani ili kuwezesha M4C,hela wamekula,ila ukiwauliza wanakataa,ziko wapi?Wamekuwa wakifanya mihadhara hata wakizuiwa,ila wao wanalazimisha na kuwacost wengine.Report ya jukwaa la wahariri,ambalo si la chama,limewatuhumu kumtesa kibanda,wao wanakataa,na ni vinara wa kuomba tume huru kila mahali,sijui wanatakaje.Lwakatare kashutumiwa ugaidi,lawama kwa Nchemba.Lema jambazi,No!Dr.Slaa kakopa hela nyingi,hapana!Bomu la arusha wamekana!Ila kila wanachosema wao,ndio ukweli,Sasa ninyi ni watu gani msiofanya makosa?ni wakamilifu kiasi?Au chama chenu kimetoka MBINGUNI!?

wewe sio mzima .yaani pamoja nakudai ulianza kufualitia vyama toka ujaelimika mpaka sasa una degre. bado tuu ujaelimika .ama kweli hizi ni degre za gumbo na Pinda kwa sana wewe !! , ondoa upuuzi wako hapa
 
Natumai hamjambo wadau wa siasa na wazalendo halisi wa nchi Hii.Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii tangu nikiwa chuo kikuu miaka michache iliyopita,hususani siasa za ccm,cuf,chadema,na nccr mageuzi.Moja ya mambo yanayonipa wakati mgumu,ni ubishi uliopindukia kwa viongozi,na wafuasi wa chadema dhidi ya vyama vingine!Sijawahi kuona CDM wakikubali makosa,au kuteleza hata ile kibinadamu,mifano hii hapa,CHADEMA wamechangisha wafuasi na wahisani ili kuwezesha M4C,hela wamekula,ila ukiwauliza wanakataa,ziko wapi?Wamekuwa wakifanya mihadhara hata wakizuiwa,ila wao wanalazimisha na kuwacost wengine.Report ya jukwaa la wahariri,ambalo si la chama,limewatuhumu kumtesa kibanda,wao wanakataa,na ni vinara wa kuomba tume huru kila mahali,sijui wanatakaje.Lwakatare kashutumiwa ugaidi,lawama kwa Nchemba.Lema jambazi,No!Dr.Slaa kakopa hela nyingi,hapana!Bomu la arusha wamekana!Ila kila wanachosema wao,ndio ukweli,Sasa ninyi ni watu gani msiofanya makosa?ni wakamilifu kiasi?Au chama chenu kimetoka MBINGUNI!?
Hebu jaribu kuwa uliza walio muua Mwangosi kama watakubali?
 
Acha upumbavu! wewe miaka yako minne ya masomo haijakusaidia na inaonekana wazi umejifunza na kufuatilia siasa za ccm tu. hujui mifumo ya vyama vingine kama unavyojinadi. ni wapi na chama gani duniani kimewahi kiri makosa au udhaifu kilionao? CCM au CUF ni makosa gani umewahi sikia wamekiri, wakati unaona kila kukicha bungeni unyama unafanywa na chama tawala na kauli za kishenzi za watendaji wakuu wa serikali zinavyotolewa pasi na kutazama hali na mwelekeo wa siasa nchini. utafikri wao hawapo Tanzania hii tuliyopo siye. NYIMBO WAIMBE WOTE AKIIMBA BUNDI NI UCHURO.
 
Tuache mawazo mgando ya kurefer matukio yenye sura na mazingira tofauti na sisi. Kila nchi ina namna ya utawala wake tofauti na nyingine.
Wewe ndiye mwenye mawazo mgango, hujui tabia ya binadamu alivyo. hapa hakuna cha CCM wala CHADEMA, wanachohitaji watu ni mabadiliko tu, hata kama yataletwe na mtu binafsi, ili mradi tu mfumo uliopo upumzike kwa muda, naomba urejee nyuma kidogo, kuanzia G55, Tume ya Jaji Nyalali, Tume ya Jaji kisanga pamoja na hii ya Jaji Joseph warioba, kuna jambo ambalo mamlaka zimewahi kulizima kwa nguvu lakini kila wakati linajirudia, tusipoangalia vizuri litatuletea madhara makubwa.
 
Hii kauli huwa wanaitumia sana lakini sijawahi kuona wala kusikia kwenye mikusanyiko yenu hata mikutano yenu ya ndani mmefungua ama kufunga kwa ibada. Huwa mnaanza kwa matusi, mnaendelea kwa matusi, mnafunga kwa matusi. Ni mungu yupi mnaemtaja? CHAMA KIMEJAA WAOVU WANAOVUNJA AMRI ZOTE 10 ZA MUNGU HADI KUCHUKUA WAKE ZA WATU! HALAFU MNASEMA NI MPANGO WATMUNGU! TUAMBIENI NI MUNGU YUPI?
 
Chama sio viongozi pekee.
Chama ni sisi Watanzania tunaochukia ufisadi, ujangili, ubinafsi, madawa ya kulevya nk
 
hawa ndo wale wanaotaka picha kwa kila kitu! Uelewa mdogo ndugu! Hujajibu ulichoulizwa'
 
Wewe ulienda kwenye mkutano gani wa CHADEMA ukasikia matusi, au umesimuliwa? kama umesimuliwa changanya na akili zako!
 
Hii kauli huwa wanaitumia sana lakini sijawahi kuona wala kusikia kwenye mikusanyiko yenu hata mikutano yenu ya ndani mmefungua ama kufunga kwa ibada. Huwa mnaanza kwa matusi, mnaendelea kwa matusi, mnafunga kwa matusi. Ni mungu yupi mnaemtaja? CHAMA KIMEJAA WAOVU WANAOVUNJA AMRI ZOTE 10 ZA MUNGU HADI KUCHUKUA WAKE ZA WATU! HALAFU MNASEMA NI MPANGO WATMUNGU! TUAMBIENI NI MUNGU YUPI?

kaa muhulize mama yako akiwa analala anaomba akikujibu ndo jibu la swali lako
 
Mungu wa Chadema ni Mzee Edwin Mtei, muasisi wa CHADEMA. Ndo maana wanasema kuwa wanaanza na Mungu na wanamaliza na Mungu maana yake ni kuwa kila wafanyalo lazima wapate baraka za Mtei na wakishakamilisha, sharti warudi kwa Mtei kumuelewa utekelezaji wake
 
Hii kauli huwa wanaitumia sana lakini sijawahi kuona wala kusikia kwenye mikusanyiko yenu hata mikutano yenu ya ndani mmefungua ama kufunga kwa ibada. Huwa mnaanza kwa matusi, mnaendelea kwa matusi, mnafunga kwa matusi. Ni mungu yupi mnaemtaja? CHAMA KIMEJAA WAOVU WANAOVUNJA AMRI ZOTE 10 ZA MUNGU HADI KUCHUKUA WAKE ZA WATU! HALAFU MNASEMA NI MPANGO WATMUNGU! TUAMBIENI NI MUNGU YUPI?

KUMBUKA Siasa na Dini ni vitu viwili MBALIMBALI... havitakiwa kuwa PAMOJA...

Kwanini unataka DINI na SIASA ziwe pamoja ??? Nchi yenye Demokrasia ya kweli inatenganisha Masuala hayo

Labda kama wewe Unapenda kuishi IRAN au SAUD ARABIA...
 
kwahiyo CHADEMA MPANGO WA MUNGU MAANA yake ni nini? Au ni mungu yupi mwamaanisha?
 
Back
Top Bottom