Kwa hiyo ruwaeleweje hawa MACHADEMA wanaosema kuwa chama chao ni mpango wa Mungu?KUMBUKA Siasa na Dini ni vitu viwili MBALIMBALI... havitakiwa kuwa PAMOJA...
Kwanini unataka DINI na SIASA ziwe pamoja ??? Nchi yenye Demokrasia ya kweli inatenganisha Masuala hayo
Labda kama wewe Unapenda kuishi IRAN au SAUD ARABIA...
Hii kauli huwa wanaitumia sana lakini sijawahi kuona wala kusikia kwenye mikusanyiko yenu hata mikutano yenu ya ndani mmefungua ama kufunga kwa ibada. Huwa mnaanza kwa matusi, mnaendelea kwa matusi, mnafunga kwa matusi. Ni mungu yupi mnaemtaja? CHAMA KIMEJAA WAOVU WANAOVUNJA AMRI ZOTE 10 ZA MUNGU HADI KUCHUKUA WAKE ZA WATU! HALAFU MNASEMA NI MPANGO WATMUNGU! TUAMBIENI NI MUNGU YUPI?
kwahiyo CHADEMA MPANGO WA MUNGU MAANA yake ni nini? Au ni mungu yupi mwamaanisha?
Mmmmmmh. Jukwaa hili basi tena.Cdm ni mpango wa mungu ccm mpango wa shetani ndio maana mamlaka ya hali ya hewa wameuwa watu juzi wasiokuwa na hatia walipa kodi na dhamana ya kutoa tarifa
Ni yao kwa kodi zetu na uhai wetu.
Mkuu, kwa mujibu wa sheria za JF, anayequote tusi ndo mtukanaji
R U Serious ??? MUNGU wako Wangapi ?? Dini zooote pamoja na kuabudu kitofauti wooote wanafuata ili kumuabudu MWENYEZI MUNGU...
Kwahiyo wewe Unaipigia kura CCM kwasababu haisemu chochote kuhusu MIPANGO ya MUNGU ???
Bandiko lako namba 9 uliandika cizuri. Ila hapa umechemsha kabisaaaaa!R U Serious ??? MUNGU wako Wangapi ?? Dini zooote pamoja na kuabudu kitofauti wooote wanafuata ili kumuabudu MWENYEZI MUNGU...
Kwahiyo wewe Unaipigia kura CCM kwasababu haisemu chochote kuhusu MIPANGO ya MUNGU ???
Tehetehetehe. Tena baadhi ya mapadre wao ni wazinifu wa kutupwaMpango wa MUNGU kwa sababu, kimejaa Mapdre na wachungaji?
Kwa hiyo ruwaeleweje hawa MACHADEMA wanaosema kuwa chama chao ni mpango wa Mungu?
kwa hiyo hiyo mikurano Mbowe alikuwa anatukana? matusi gani?
r u serious ??? Mungu wako wangapi ?? Dini zooote pamoja na kuabudu kitofauti wooote wanafuata ili kumuabudu mwenyezi mungu...
Kwahiyo wewe unaipigia kura ccm kwasababu haisemu chochote kuhusu mipango ya mungu ???
Ni Siasa ni SawaSawa na CCM wanaposema ndicho chama pekee kinacho jali Wakulima VIJIJINI
kaa muhulize mama yako akiwa analala anaomba akikujibu ndo jibu la swali lako
Tehetehetehe. Tena baadhi ya mapadre wao ni wazinifu wa kutupwa
Hii kauli huwa wanaitumia sana lakini sijawahi kuona wala kusikia kwenye mikusanyiko yenu hata mikutano yenu ya ndani mmefungua ama kufunga kwa ibada. Huwa mnaanza kwa matusi, mnaendelea kwa matusi, mnafunga kwa matusi. Ni mungu yupi mnaemtaja? CHAMA KIMEJAA WAOVU WANAOVUNJA AMRI ZOTE 10 ZA MUNGU HADI KUCHUKUA WAKE ZA WATU! HALAFU MNASEMA NI MPANGO WATMUNGU! TUAMBIENI NI MUNGU YUPI?
Ni Siasa ni SawaSawa na CCM wanaposema ndicho chama pekee kinacho jali Wakulima VIJIJINI
wametajwa SLAA, SUGU na MBOWE, mbona wahoji matusi ya MBOWE, weengine umekubali wanatukana?