Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

Natumai hamjambo wadau wa siasa na wazalendo halisi wa nchi Hii.Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii tangu nikiwa chuo kikuu miaka michache iliyopita,hususani siasa za ccm,cuf,chadema,na nccr mageuzi.Moja ya mambo yanayonipa wakati mgumu,ni ubishi uliopindukia kwa viongozi,na wafuasi wa chadema dhidi ya vyama vingine!Sijawahi kuona CDM wakikubali makosa,au kuteleza hata ile kibinadamu,mifano hii hapa,CHADEMA wamechangisha wafuasi na wahisani ili kuwezesha M4C,hela wamekula,ila ukiwauliza wanakataa,ziko wapi?Wamekuwa wakifanya mihadhara hata wakizuiwa,ila wao wanalazimisha na kuwacost wengine.Report ya jukwaa la wahariri,ambalo si la chama,limewatuhumu kumtesa kibanda,wao wanakataa,na ni vinara wa kuomba tume huru kila mahali,sijui wanatakaje.Lwakatare kashutumiwa ugaidi,lawama kwa Nchemba.Lema jambazi,No!Dr.Slaa kakopa hela nyingi,hapana!Bomu la arusha wamekana!Ila kila wanachosema wao,ndio ukweli,Sasa ninyi ni watu gani msiofanya makosa?ni wakamilifu kiasi?Au chama chenu kimetoka MBINGUNI!?
 
ukiona hivi ujue watu wameshachoka uongozi uliopo madarakani, hii ndio saikolojia ya binadamu, huwa anapenda mabadiliko hata kama sio kutoka kwenye kibaya kwenda kwenye kizuri. hata marekani huwa wanabadilisha vyama tawala kwa kila baada ya vipindi viwili, hata kama mgombea ni mzuri, Kenya walimkataa Uhuru Kenyata lakini baada ya vipindi viwili vya utawala kupita wamemkubali, Hata Libya wananchi waliunga mkono waasi kuiondoa madarakani serekali iliyokuwa inawajali wananchi wake kuliko serikali yoyote iliyowahi kuwepo ulimwenguni.
Ushauri wangu, ccm wangetafuta njia mwafaka ya kuondoka madarakani kabla madhara hayajatokea ili binadamu hawa waone umuhimu wao, naamini baada ya kipindi kimoja tu cha uongozi wengi wataanza kusema "bora CCM ingerudi madarakani". nadhani mtakumbuka baada ya uhuru wanafunzi wa UDSM (Mh S. Sita akiwa mmoja wao) waliandamana na kauli mbiu "HERI MKOLONI". Kwa wale wanaosoma Biblia wataona wana wa Israeli walipookolewa kutoka utumwani Misri walianza kutamani kurudi tena huko.
 
Natumai hamjambo wadau wa siasa na wazalendo halisi wa nchi Hii.Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii tangu nikiwa chuo kikuu miaka michache iliyopita,hususani siasa za ccm,cuf,chadema,na nccr mageuzi.Moja ya mambo yanayonipa wakati mgumu,ni ubishi uliopindukia kwa viongozi,na wafuasi wa chadema dhidi ya vyama vingine!Sijawahi kuona CDM wakikubali makosa,au kuteleza hata ile kibinadamu,mifano hii hapa,CHADEMA wamechangisha wafuasi na wahisani ili kuwezesha M4C,hela wamekula,ila ukiwauliza wanakataa,ziko wapi?Wamekuwa wakifanya mihadhara hata wakizuiwa,ila wao wanalazimisha na kuwacost wengine.Report ya jukwaa la wahariri,ambalo si la chama,limewatuhumu kumtesa kibanda,wao wanakataa,na ni vinara wa kuomba tume huru kila mahali,sijui wanatakaje.Lwakatare kashutumiwa ugaidi,lawama kwa Nchemba.Lema jambazi,No!Dr.Slaa kakopa hela nyingi,hapana!Bomu la arusha wamekana!Ila kila wanachosema wao,ndio ukweli,Sasa ninyi ni watu gani msiofanya makosa?ni wakamilifu kiasi?Au chama chenu kimetoka MBINGUNI!?

“Ni vigumu kwa watu wazima
wenye miaka 50 na kuendelea
kupona haraka wanapopata ajali,
lakini hizi dawa zinaponya
majeraha na kuunga haraka
mfupa,” anasema Haule.
Anasema kuwa kadri umri wa
binadamu unavyoongezeka
mwili wake unashindwa
kuzalisha baadhi ya virutubisho
vinavyoupa mwili uimara.
Dawa hizo zina mchanganyiko
wa madini, vitamin, viondoa
sumu pamoja na dawa za
mitishamba.
Virutubisho vya chakula kwa
kawaida hupungua ubora wake
kwa sababu ya udongo, mionzi
au kuweka vyakula hivyo katika
majokofu.
Mambo mengine yanayofanya
virutubisho vya chakula visifanye
kazi yake sawasawa ni msongo
wa mawazo na uchafu wa
mazingira.
Ugonjwa wa kukosa raha na
kusononeka kila wakati au
sonona, pia unaweza kutibiwa
kwa dawa hizo.
“Sonona inaua. Hata wataalamu
wa afya wa nchi za Ulaya
wamethibitisha, lakini dawa hii
ina madini ya amino acidi
ambayo hupatikana baada ya
mtu kucheka,” anasema.
Anabainisha kwamba dawa hizo
zina vitamin maalumu
zinazoweza kuongeza kinga ya
mwili na kuondoa sumu mwilini.
“Zina vitamin a, c na e, madini ya
zinki na selenium na zina uwezo
wa kuongeza nguvu ya mwili,”
anasema.
Anadokeza kuwa kati ya dawa
hizo, zipo pia dawa kwa ajili ya
wanawake na wanaume pekee,
zilizo na kazi maalumu.
Kwa mfano dawa ya wanawake
ina uwezo wa kumsaidia
mwanamke apate raha ya tendo
la ndoa, inarutubisha nywele
zake na kuzifanya zikue kwa
haraka.
Vilevile, dawa hiyo inasaidia
kuimarisha ngozi ya mwili kwa
kuondoa sumu mwilini.
 
una msongo wa mawazo mtoa hoja mana hakuna logic ata moja zote ni assumption tu! jaribu kujenga hoja sio kubwabwaja tu
 
Natumai hamjambo wadau wa siasa na wazalendo halisi wa nchi Hii.Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii tangu nikiwa chuo kikuu miaka michache iliyopita,hususani siasa za ccm,cuf,chadema,na nccr mageuzi.Moja ya mambo yanayonipa wakati mgumu,ni ubishi uliopindukia kwa viongozi,na wafuasi wa chadema dhidi ya vyama vingine!Sijawahi kuona CDM wakikubali makosa,au kuteleza hata ile kibinadamu,mifano hii hapa,CHADEMA wamechangisha wafuasi na wahisani ili kuwezesha M4C,hela wamekula,ila ukiwauliza wanakataa,ziko wapi?Wamekuwa wakifanya mihadhara hata wakizuiwa,ila wao wanalazimisha na kuwacost wengine.Report ya jukwaa la wahariri,ambalo si la chama,limewatuhumu kumtesa kibanda,wao wanakataa,na ni vinara wa kuomba tume huru kila mahali,sijui wanatakaje.Lwakatare kashutumiwa ugaidi,lawama kwa Nchemba.Lema jambazi,No!Dr.Slaa kakopa hela nyingi,hapana!Bomu la arusha wamekana!Ila kila wanachosema wao,ndio ukweli,Sasa ninyi ni watu gani msiofanya makosa?ni wakamilifu kiasi?Au chama chenu kimetoka MBINGUNI!?

Rubbish!! Kwanza kuna haja gani ya sisi kujua kuwa ulisoma chuo,chuo chenyewe certificate! Thread za wenye akili ndogo ndivyo zilivyo,sio kosa lake.
 
Ukiona tu tusi,au jibu la mkato,ujue aliyeandika ni CHADEMA,na ndio wanataka wapewe nchi,sasa c porno zitaharalishwa?wewe unaesema hakuna hoja,thats according to you,hebu weka wewe huja sasa tupime!Asanten kwa wote mliotukana,siyo kosa lenu,bali ni sumu mlomezeshwa na itaendelea kuwaua.
 
Adrian Moller

Nasikitikatika umeweka mbele upenzi na kuweka ufaham wako mfukoni.

Hii.Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii tangu nikiwa chuo kikuu miaka michache iliyopita

Mkuu usinifanye niamini kwamba elimu yetu sasa imeshuka kiasi hiki.

a) Unaongea kwa kutumia elimu yako ya chuo kikuu? kama ndiyo ufahamu wako katika kuchanganua mambo umeishia hapa Taifa lipo katika hatari kubwa.

b) Unaongea kwa ushabiki? kama ndiyo basi hufai maana ushabiki mara nyingi huishia kwenye utetezi wa kitapeli na uwongo na hapa utakuwa umehifadhi akili zako mfukoni nakujifanya hamnazo.

ubishi uliopindukia kwa viongozi,na wafuasi wa chadema dhidi ya vyama vingine!Sijawahi kuona CDM wakikubali makosa,au kuteleza

kwa kutumia elimu yako ya chuo kikuu, hebu tufanyie uungwana nikatika lipi chadema wameteleza na walipaswa kuomba msamaha kwa uma? katika majibu yako hakikisha unabalace kwa kila kosa utaloliweka la chadema ccm wamefanikiwa vipi (Note, chadema hawamiliki dola wala kukusanya kodi-Zingantia katika mjadala wako)

CHADEMA wamechangisha wafuasi na wahisani ili kuwezesha M4C,hela wamekula,ila ukiwauliza wanakataa,ziko wapi?

Je wewe ni mmoja wa wanamipango ndani ya chadema?

Ilkuweka shauli lako vizuri weka mchanganuo wa mapato ya chadema yote na ya ya ccm yote kuanzia misaasada na ruzuku kama vyama vya siasa. Changanua mipango na matumizi kwa kila chama ilituamini kutoka uchanuzi wako kwamba CCM ni bora katika makusanyo na matumizi dhidi ya chadema.

Wamekuwa wakifanya mihadhara hata wakizuiwa

Siku ya tukio la kifo cha mwangosi wakati chadema wanafanya mikutano yao iringa, CCM walikuwa na mkutano mkubwa sana zanzibar chini ya Ghalib Bilal. Mikutano ya chadema ilizuwiwa kwa kisingizio cha sensa.

a) Kwanini chadema walizuiwa na ccm wakaendelea jadili kama msomi tukio hili kwa uwiano wa haki kwa kila chama

b) Je kulikuwa na tishio lolote kiasi kwamba unadhani ilikuwa lazima chadema kuzuwia mikutano yao, jadili......

ila wao wanalazimisha na kuwacost wengine

hapa ndipo unaponihuzunisha na kunitia aibu kwamba msomi wa chuo kikuu

a) kwa mauwaji ya mwangosi tishio ilikuwa nini na nani aliuwa?

b) Kwa tukio la bom juzi arusha, wakaazi wa arusha waliadhibiwa kwa tishio gani hasa? nani alikuwa muwaji?

c) Je ni haki na halali kuwazuia watu kuaga marehemu? nakunakifungu gani cha katiba kwamba mtanzania-mwanasiasa, mkulima, masaani nk akifa tunatakiwa kuwa na kibali cha mkusaanayiko?

Report ya jukwaa la wahariri,ambalo si la chama,limewatuhumu kumtesa kibanda,wao wanakataa,na ni vinara wa kuomba tume huru kila mahali,sijui wanatakaje.Lwakatare kashutumiwa ugaidi,lawama kwa Nchemba.Lema jambazi,No!

a) Report ya jukwa la siasa imejitoshereza? kama ndiyo kwanini hawaendi mahakamani? umewahi kujiuliza hili swali?

b) Wanaomba tume huru iundwe nani (JM Kikwete) umeshawahi jiuliza kwanini kikwete anakwepa kuunda tume huru?

c) Lwakatale hana kesi ya ugaidi ni mbumbumbu wa elimu kama wewe mnaotuchafulia sifa ya vyuo vyetu vikuu kwa uelewa wa ovyo kama kwa chagonja.

d) Nchemba anashutumiwa na kutuhumiwa kwasababu ndiye source ya kila jambo kuhusiana na hiyo video uchwara, Je umejiuliza kwanini Polisi wanamzunguuka wala hawamhoji?

e) wewe wasema Lema jambazi lakini, umeshawahi kulipoti polisi na kuwapa ushahidi au ni ujinga wa fikra msomi
wangu?

Dr.Slaa kakopa hela nyingi,hapana!

a) Neno kukopa linamaanisha amepewa kihalali (usomi wako wa ovyo kwelikweli) amefuata taratibu kapewa tatizo lako ni umbeya na kukubali kutumika kumchafua huyu Dr.

Bomu la arusha wamekana!

Huu ndiyo naita ujinga, kama unaushahidi peleka polisi kuna million 100. Huoni unajiaibisha kujiita msomi wa chuo kikuu?

Ila kila wanachosema wao,ndio ukweli,Sasa ninyi ni watu gani msiofanya makosa? ni wakamilifu kiasi?Au chama chenu kimetoka MBINGUNI!?

Hakuna aliye mkamilifu ila mungu mwenyewe, kwetu wanadamu kinachoangaliwa ni ukubwa wa makosa, mara ngapi, kwanini na kivipi tukilinganisha na pande zingine zenye mwelekeo na malengo yanayofanana. Makosa yaliyo/yaanayofanywa na ccm ni makubwa na yanatisha hivyo kufanya vijimakosa vidogovidogo kwa vyama vingine kuwa negligible/ insignificant.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona tu tusi,au jibu la mkato,ujue aliyeandika ni CHADEMA,na ndio wanataka wapewe nchi,sasa c porno zitaharalishwa?wewe unaesema hakuna hoja,thats according to you,hebu weka wewe huja sasa tupime!Asanten kwa wote mliotukana,siyo kosa lenu,bali ni sumu mlomezeshwa na itaendelea kuwaua.

Nchi mtu hapewi tu kama ninyi mnavyopeana,sio uji huu.Thread haina kichwa wala miguu,hujapewa buku saba nini? Naona njaa inakusumbua unaandika bila kujitambua.
 
Heheheee usilitaje jina la Mungu wako bure

"To know the enemy is half the victory"
 
Adrian Moller

Nasikitikatika umeweka mbele upenzi na kuweka ufaham wako mfukoni.

Mkuu usinifanye niamini kwamba elimu yetu sasa imeshuka kiasi hiki.

a) Unaongea kwa kutumia elimu yako ya chuo kikuu? kama ndiyo ufahamu wako katika kuchanganua mambo umeishia hapa Taifa lipo katika hatari kubwa.

b) Unaongea kwa ushabiki? kama ndiyo basi hufai maana ushabiki mara nyingi huishia kwenye utetezi wa kitapeli na uwongo na hapa utakuwa umehifadhi akili zako mfukoni nakujifanya hamnazo.

kwa kutumia elimu yako ya chuo kikuu, hebu tufanyie uungwana nikatika lipi chadema wameteleza na walipaswa kuomba msamaha kwa uma? katika majibu yako hakikisha unabalace kwa kila kosa utaloliweka la chadema ccm wamefanikiwa vipi (Note, chadema hawamiliki dola wala kukusanya kodi-Zingantia katika mjadala wako)

Je wewe ni mmoja wa wanamipango ndani ya chadema?

Ilkuweka shauli lako vizuri weka mchanganuo wa mapato ya chadema yote na ya ya ccm yote kuanzia misaasada na ruzuku kama vyama vya siasa. Changanua mipango na matumizi kwa kila chama ilituamini kutoka uchanuzi wako kwamba CCM ni bora katika makusanyo na matumizi dhidi ya chadema.

Siku ya tukio la kifo cha mwangosi wakati chadema wanafanya mikutano yao iringa, CCM walikuwa na mkutano mkubwa sana zanzibar chini ya Ghalib Bilal. Mikutano ya chadema ilizuwiwa kwa kisingizio cha sensa.

a) Kwanini chadema walizuiwa na ccm wakaendelea jadili kama msomi tukio hili kwa uwiano wa haki kwa kila chama

b) Je kulikuwa na tishio lolote kiasi kwamba unadhani ilikuwa lazima chadema kuzuwia mikutano yao, jadili......

hapa ndipo unaponihuzunisha na kunitia aibu kwamba msomi wa chuo kikuu

a) kwa mauwaji ya mwangosi tishio ilikuwa nini na nani aliuwa?

b) Kwa tukio la bom juzi arusha, wakaazi wa arusha waliadhibiwa kwa tishio gani hasa? nani alikuwa muwaji?

c) Je ni haki na halali kuwazuia watu kuaga marehemu? nakunakifungu gani cha katiba kwamba mtanzania-mwanasiasa, mkulima, masaani nk akifa tunatakiwa kuwa na kibali cha mkusaanayiko?

a) Report ya jukwa la siasa imejitoshereza? kama ndiyo kwanini hawaendi mahakamani? umewahi kujiuliza hili swali?

b) Wanaomba tume huru iundwe nani (JM Kikwete) umeshawahi jiuliza kwanini kikwete anakwepa kuunda tume huru?

c) Lwakatale hana kesi ya ugaidi ni mbumbumbu wa elimu kama wewe mnaotuchafulia sifa ya vyuo vyetu vikuu kwa uelewa wa ovyo kama kwa chagonja.

d) Nchemba anashutumiwa na kutuhumiwa kwasababu ndiye source ya kila jambo kuhusiana na hiyo video uchwara, Je umejiuliza kwanini Polisi wanamzunguuka wala hawamhoji?

e) wewe wasema Lema jambazi lakini, umeshawahi kulipoti polisi na kuwapa ushahidi au ni ujinga wa fikra msomi
wangu?

a) Neno kukopa linamaanisha amepewa kihalali (usomi wako wa ovyo kwelikweli) amefuata taratibu kapewa tatizo lako ni umbeya na kukubali kutumika kumchafua huyu Dr.

Huu ndiyo naita ujinga, kama unaushahidi peleka polisi kuna million 100. Huoni unajiaibisha kujiita msomi wa chuo kikuu?

Hakuna aliye mkamilifu ila mungu mwenyewe, kwetu wanadamu kinachoangaliwa ni ukubwa wa makosa, mara ngapi, kwanini na kivipi tukilinganisha na pande zingine zenye mwelekeo na malengo yanayofanana. Makosa yaliyo/yaanayofanywa na ccm ni makubwa na yanatisha hivyo kufanya vijimakosa vidogovidogo kwa vyama vingine kuwa negligible/ insignificant.

Wataalam wa majibu ya hovyo hovyo kwa nondo za ukweli.
 
Kwenye uwongo,uraghai,wizi & utapeli Mungu hujitenga ila shetani huchangamkia sana kwa sura ya kimungu.

Hii kauli Chadema wanayoitumia inabidi waibadilishe '' Tumeaza na Mungu na tutamaliza na Mungu'' kwani haina ukweli au kama ni kweli basi kuna walakini. :yell::kev:
 
Wewe uliyeandika hii thread kwanza unaonekana umeandika kimzaha ingawa unaamini uwepo wa Mungu.
Je unajua kulitaja bure jina la muumba wetu ni dhambi?
Yaani ushabiki wa vyama tu bila nia njema ya dhati unalitaja tu jina la muumba wetu kama unavyotaja jina la Mwigulu!
Acha kuhusisha jina takatifu na mizaha yako na kama unabisha endelea!
 
si wewe tuu unayeweweseka..lumunba yote+JK.Sijui kaenda na mganga wake ili upepo ukibadilika amkubushe kurekebisha.
 
Mungu siku zote hakai na watenda maovu ccm.. Ndiyo maana kuna majanga yanawakua..
MMEFILISI HII NCHI ALAFU MNALETA POROJO HAPA..
Kumbukeni HUU SI MWAKA 1960!
 
Kwenye uwongo,uraghai,wizi & utapeli Mungu hujitenga ila shetani huchangamkia sana kwa sura ya kimungu.

Hii kauli Chadema wanayoitumia inabidi waibadilishe '' Tumeaza na Mungu na tutamaliza na Mungu'' kwani haina ukweli au kama ni kweli basi kuna walakini. :yell::kev:

GOD has to be there to have a blessed political carrier and political environment and stable healthy country... Sasa bila MUNGU ndio tutakuwa tunatandikana kila siku kama CCM ya awamu hii inavyotaka; hata siku moja kwenye mikutano yake haijawahi kuongelea haki; amani; upendo; usawa; afya; za wananchi wake haiongelei tena kuhusu Jinsi ya kuwanusuru na kuwaondolea Umasikini

Kimebaki Kuongeza NGUVU za DOLA kuopress Wananchi; Kuendelea njia moja au nyingine jinsi gani ya kuweza kuchota MALI za NCHi na kujigawia wao kwa wao bila kuwajali Masikini walio wengi Nchini...

Sasa hapo Unataka USHETANI... Umesha kuwa BrainWashed...
 
Prove here

Wakati Wa Utawala wa Mfalme Nebukadreza Mchungaji Na Nabii Daniel Mtumishi wa Mungu alikuwa Liwali mkuu wa Babeli Na Mwenyekiti Wa wenye Hekima wa mji huo(dan 2:48)

Wakati wa utawala wa Mfalme Dario Mtumishi huyu Wa Mungu Daniel alikuwa Waziri Mkuu Kati ya mawaziri wakuu watatu (Dan 6:3).

Wakati Wa utawala wa Belshaza Daniel alikuwa Waziri Mkuu..

Utawala Na Uongozi Wa Kisiasa asili Yake ni Mungu .. Daudi, Solomon, Asa Na wengine ni Kati ya maraisi waliokuwa pia wachungaji ..

Siasa asili yake ni Mungu Na Ukianza Na Mungu lazima Mungu awe Na wewe...

Nimeweka mistari ya Biblia Mtu asije kuniquote kidini please kama nawe unacho kitabu chako kielezee tu kila Mtu anaelezea anachokijua Na kukiamini
 
mkuu hili swala la kumshirikisha Mungu hata katika mipango ya maasi ni kujipalia mkaa, Mungu si wa kuchezewa namna hiyo huku ukijua kabisa kua huyo Mungu unayemtaja taja wala hata hahusiki katika mipango yako, kuumbuka kupo karibu, ni bora kabisa kubadili huu msemo otherwise mhusika ipo siku atachukizwa na kuwaumbua
 
Back
Top Bottom