Mipale Steve
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 384
- 43
Kwan ccm imetoka kwa Mungu?
Natumai hamjambo wadau wa siasa na wazalendo halisi wa nchi Hii.Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii tangu nikiwa chuo kikuu miaka michache iliyopita,hususani siasa za ccm,cuf,chadema,na nccr mageuzi.Moja ya mambo yanayonipa wakati mgumu,ni ubishi uliopindukia kwa viongozi,na wafuasi wa chadema dhidi ya vyama vingine!Sijawahi kuona CDM wakikubali makosa,au kuteleza hata ile kibinadamu,mifano hii hapa,CHADEMA wamechangisha wafuasi na wahisani ili kuwezesha M4C,hela wamekula,ila ukiwauliza wanakataa,ziko wapi?Wamekuwa wakifanya mihadhara hata wakizuiwa,ila wao wanalazimisha na kuwacost wengine.Report ya jukwaa la wahariri,ambalo si la chama,limewatuhumu kumtesa kibanda,wao wanakataa,na ni vinara wa kuomba tume huru kila mahali,sijui wanatakaje.Lwakatare kashutumiwa ugaidi,lawama kwa Nchemba.Lema jambazi,No!Dr.Slaa kakopa hela nyingi,hapana!Bomu la arusha wamekana!Ila kila wanachosema wao,ndio ukweli,Sasa ninyi ni watu gani msiofanya makosa?ni wakamilifu kiasi?Au chama chenu kimetoka MBINGUNI!?
Ukiona tu tusi,au jibu la mkato,ujue aliyeandika ni CHADEMA,na ndio wanataka wapewe nchi,sasa c porno zitaharalishwa?wewe unaesema hakuna hoja,thats according to you,hebu weka wewe huja sasa tupime!Asanten kwa wote mliotukana,siyo kosa lenu,bali ni sumu mlomezeshwa na itaendelea kuwaua.
mkuu hili swala la kumshirikisha Mungu hata katika mipango ya maasi ni kujipalia mkaa, Mungu si wa kuchezewa namna hiyo huku ukijua kabisa kua huyo Mungu unayemtaja taja wala hata hahusiki katika mipango yako, kuumbuka kupo karibu, ni bora kabisa kubadili huu msemo otherwise mhusika ipo siku atachukizwa na kuwaumbua
Natumai hamjambo wadau wa siasa na wazalendo halisi wa nchi Hii.Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii tangu nikiwa chuo kikuu miaka michache iliyopita,hususani siasa za ccm,cuf,chadema,na nccr mageuzi.Moja ya mambo yanayonipa wakati mgumu,ni ubishi uliopindukia kwa viongozi,na wafuasi wa chadema dhidi ya vyama vingine!Sijawahi kuona CDM wakikubali makosa,au kuteleza hata ile kibinadamu,mifano hii hapa,CHADEMA wamechangisha wafuasi na wahisani ili kuwezesha M4C,hela wamekula,ila ukiwauliza wanakataa,ziko wapi?Wamekuwa wakifanya mihadhara hata wakizuiwa,ila wao wanalazimisha na kuwacost wengine.Report ya jukwaa la wahariri,ambalo si la chama,limewatuhumu kumtesa kibanda,wao wanakataa,na ni vinara wa kuomba tume huru kila mahali,sijui wanatakaje.Lwakatare kashutumiwa ugaidi,lawama kwa Nchemba.Lema jambazi,No!Dr.Slaa kakopa hela nyingi,hapana!Bomu la arusha wamekana!Ila kila wanachosema wao,ndio ukweli,Sasa ninyi ni watu gani msiofanya makosa?ni wakamilifu kiasi?Au chama chenu kimetoka MBINGUNI!?
Muulize shoga mwenzio KIKWETE
SLAA sijui tatizo ni ile damu ya kimasai?CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU? Hivi Mungu anapanga mema pekee kwa wanadamu au hata mabaya ili waweze kujifunza na kuacha kutenda dhambi? Ile gharika iliyopelekea NUhu kujenga Safina ili kuviokoa viumbe wa Mungu siku ya mwisho si ulikuwa ni mpango wa Mungu? SODOMA na GOMORA si ulikuwa ni mpango wa Mungu? KUPINDULIWA KWA HUSSEIN MUBARACK na kuwekwa MORSI kule MISRI ulikuwa mpango wa mungu?
Wanaosema CHADEMA ni Mpango wa Mungu wako sahihi kabisa kwa vile mpango wa Mungu unakuwa na maana nyingi sana kwa viumbe wake. Binafsi kwa mtazamo wangu CHADEMA ni Mpango wa Mungu ili Watanzania waone, wajifunze na kuchukua tahadhari kubwa katika mfumo wa vyama vyingi ambao kwa kiukweli kama siyo busara za baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pengine hivi leo tusingekuwa na vyama vingi hapa nchini.
Mimi ni mfuasi wa vyama vyote vya siasa nchini kwa vile ni haki yangu ya msingi kikatiba lakini ninao uhuru wa kusema chama hiki hakijanifurahisha, na nianze bila kumumunya maneno kuwa yawezekana kabisa CHADEMA ni chama cha siasa lakini wafuasi wake na hasa viongozi wake siyo wanasiasa wa kweli na hapo ndipo mojawapo ya tafsiri ya neno MPANGO WA MUNGU hujidhihirisha kama ilivyokuwa mpango wa Mungu wa kuwapa wanadamu wa kizazi cha NUHU dalili za nini kitatokea pale alipomwamuru NUHU kujenga SAFINA.
Tabia za viongozi wa CHADEMA hasa Dr, SLAA, LEMA ni za hatari sana kwa mstakabali wa Taifa hili ambalo Amani ni tunu kwalo. Husda , wivu, chuki binafsi, uroho wa Madaraka, uchonganishi unaofanywa na viongozi hawa kuichonganisha serikali na wananchi wake ni dhambi ambayo haiwezi kuwa na mwisho, ni sawa na kula NYAMA ya MTU. Kitendo cha watu kuandaa mipango ya ulipuaji wa mabomu eti kwa sababu tu wanataka kukidhoofisha chama tawala na serikali kwa ujumla ni kitu cha kawaida hicho, hakika huu ni MPANGO wa Mungu kwa CHADEMA ila watanzania bado tumelala hatujaling'amua hili. Tujifunze kutoka MISRI ambapo naweza kumfananisha MURSI na SLAA. Tazameni CHADEMA walivyopanda majukwaani haraka sana pindi haya matukio yalipotokea hata kabla wale waliofariki kutokana na mikutano ya kupumzizwa makao yao ya milele, Kifo cha MWANGOSI, kifo cha yule kiajna wa Iringa, mgomo wa wanachuo kule Arusha, milipuko miwili ya Mabomu kule Arusha. Kwa nini majukwaani kuomba huruma ya wananchi hata kabla marehemu hawajazikwa? hapana jamani binafsi sina imani tena na hiki chama.
TUKUMBUKE KUWA MPANGO WA MUNGU UNAWEZA KUWA NA MAANA NYINGI KWA BINADAMU, NEEMA AMA GHARIKA kwa wale watakaofanya mzaha.
Duh,unajua umetoa tuhuma nzito sana ndugu?hebu tuletee ushahidi ili watanzania tuwachukulie hatua.lakini maneno matupu kama haya yako hayana uzito na tija kabisa.sapoti maneno yako kwa ushahidi tena wenye nguvu na uzito.
CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU? Hivi Mungu anapanga mema pekee kwa wanadamu au hata mabaya ili waweze kujifunza na kuacha kutenda dhambi? Ile gharika iliyopelekea NUhu kujenga Safina ili kuviokoa viumbe wa Mungu siku ya mwisho si ulikuwa ni mpango wa Mungu? SODOMA na GOMORA si ulikuwa ni mpango wa Mungu? KUPINDULIWA KWA HUSSEIN MUBARACK na kuwekwa MORSI kule MISRI ulikuwa mpango wa mungu?

mkuu haya mambo yako wazi sana hasa kwa lema kule arusha hakuna asiyejua kuwa lema ni mporaji,mhuni,hupiga watu, na kufadhili vikundi vya kiharifu akiwemo yeye.