hmjamii
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 627
- 313
KUMBUKA Siasa na Dini ni vitu viwili MBALIMBALI... havitakiwa kuwa PAMOJA...
Kwanini unataka DINI na SIASA ziwe pamoja ??? Nchi yenye Demokrasia ya kweli inatenganisha Masuala hayo
Labda kama wewe Unapenda kuishi IRAN au SAUD ARABIA...
Huwezi tenganisha Dini na Siasa maana dini inakufundisha uishije katika maisha ya kila siku, yaani inakwambie usiseme uongo, usizini, na mengine mengi. Nabii Selemani, Daud na wengine walikuwa viomgozi wa nchi na dini. We tofautisha kwa maslahi yako.