The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,666
"mwaaaaah" right back at ya!
ila ukidundwa na bwana'ako usije kunililia....
Hahaaaa kujichoresha sio
"mwaaaaah" right back at ya!
ila ukidundwa na bwana'ako usije kunililia....
Hahaaaa kujichoresha sio
"mwaaaaah" right back at ya!
ila ukidundwa na bwana'ako usije kunililia....
hahahaha!!! na wewe leo lazma mkeo akunyime unyumba. utaambiwa nenda huko huko kwa husninyo unaekisiana nae. lol
Hahaaaa unaniona kimeo sana?Duh! Nilijua tu punde si punde utatia timu hahahaaaaa
Hivi Bossman umeoa wewe?
Lakini mbona mie sina mke.....unajifanya hujui leo?
Hahaaaa unaniona kimeo sana?
weeeeee!!! wakati alinambia "stay far from nyani ngabu". kwa kiinglish hivo hivo. sijui ana mpango wa kunitindikali huyo maiwaif wako.
Wooooow!! Nani huyo alikwambia hivyo?
Manake kwangu hiyo ni habari mpya.
Inawezekanaje nikawa na mke ambaye hata simjui....we Mwajuma acha kutunga bana.
You may not believe it but hata mimi nina mke humu simjui anawapiga mkwara other women
You may not believe it but hata mimi nina mke humu simjui anawapiga mkwara other women
You may not believe it but hata mimi nina mke humu simjui anawapiga mkwara other women
ndoa ni nzuri kama tu utapata mtu mnaependana , kuheshimiana na kuaminiana. usiolewe sababu ya pressure kutoka kwa wazazi au ndugu.
NI kweli kabisa tendo la ndoa linapofanyika mahali ambapo si sahihi ni zinaa haijalishi ana ndoa au hana,aliyeko Kwenye ndoa anapochepuka ni tamaa zake zamtuma.Kwa kuongezea tu Zinaa NDANI ya ndoa (KUCHEPUKA) ni dhambi pia! Na zinaa yaweza fanywa na yeyote awe katika NDOA au asiwe!
Ndoa si Dawa au chanjo ya kuzuia UZINZI!
ni kweli kwa familia zetu za kiafrika wanaamini ndoa ndio kila kitu kwa binti na niheshima pia kwako na kwa familia nzima....... ila kwa upande wangu sioni kama ndoa ndo kila kitu zaidi naona kama ndoa ni zigo lisilobebeka likiwa na kila aina ya karaha ambazo hizo karaha unzikubali na kuzikaribisha mwenyewe kwa kukubali kuolewa kama ninakosea aisee akili yangu ipo kama imeathirika kidogo kuamini ndoa kama ni sehemu yenye furaha na amani
Kujishughulisha na suala la mapenzi ni part of life....Ila kuingia ktk ndoa mkakaa wote kila kukicha mnatizamana aaahhh kuna issue zake....Yahitaji moyo na ustahmilivu mkubwa
Kataa kubali kama wewe umeoa naamini ushaziona japo karaha za ndoa
*********************************