Je kwa mwanamke ndoa ndiyo kila kitu?

Je kwa mwanamke ndoa ndiyo kila kitu?

Kwa kuongezea tu Zinaa NDANI ya ndoa (KUCHEPUKA) ni dhambi pia! Na zinaa yaweza fanywa na yeyote awe katika NDOA au asiwe!
Ndoa si Dawa au chanjo ya kuzuia UZINZI!

Amina..! Kama jitu lizinzi litabaki zinzi tu hata likiwa ndoani kwa hyo ni kweli kabisa kwamba ndoa si njia ya kuzuia uzinzi....ni kujitakasa tu nafsi zetu na kuenenda kwa uzuri mbele za Mungu mengine utazidishiwa..!
 
haya mambo hayana jibu la moja kwa moja. mi ni mmoja wa watu walioolewa katika umri mdogo, early 20s nikiwa mwaka wa mwisho chuoni. ila pia niliwahi sana kuanza shule, so niligraduate na umri mdogo

nakumbuka wkt nataka kuolewa wazazi waliniuliza mbona mapema sana. one of my best friends aliniuliza kwa nini naolewa na umri mdogo, wkt ndio kwanza nilitakiwa kupata ajira na kuanza kuenjoy life. Nakumbuka jibu langu lilikuwa, hata nikiolewa miaka 10 ijayo, nitapenda niolewe na huyohuyo aliyekuwa ananioa.

Zaidi ya yale niliyoyaona nyumbani wakati nakua, sikumbuki kama nilifunzwa kulea mume na family, ila mpaka leo sijutii maamuzi yangu
 
Akazae na nani?

Siku hizi kuna mahali wana-donate sperms ambazo donors hawajulikani?

Ndoa ni muhimu sana labda kama inazidisha kero kuliko amani....

Ni muhimu kutochanganya vitu hapa; mwanamke kujitegemea vs kumtegemea mume, kuishi kwenye ndoa kwa kulazimiaka hata kama ina karaha, na umuhimu wa ndoa katika maisha yetu (wanaume na wanawake)! Hivi ni vitu tofauti kabisa.

Pamoja na matatizo tunayokumbana nayo kila siku, yet nawashauri watu wote ambao hawana kizuizi wajitahidi kupata na kuishi kwenye ndoa. Ila wasivumilie ndoa ambazo zinahatarisha maisha yao kwa namna yoyote!

Again, I wouldn't judge a woman who decides to be single ili aepukane na kero za ndoa, I will support her decision regardless.
 
ni kweli kwa familia zetu za kiafrika wanaamini ndoa ndio kila kitu kwa binti na niheshima pia kwako na kwa familia nzima....... ila kwa upande wangu sioni kama ndoa ndo kila kitu zaidi naona kama ndoa ni zigo lisilobebeka likiwa na kila aina ya karaha ambazo hizo karaha unzikubali na kuzikaribisha mwenyewe kwa kukubali kuolewa kama ninakosea aisee akili yangu ipo kama imeathirika kidogo kuamini ndoa kama ni sehemu yenye furaha na amani

Don't listen to loosers....especially here in jf.
 
Ndoa kwa mwanamke ndio kila kitu ukiwa utakubaliana na mazingira ya kuheshimu, siri; u
Vumilivu, usikivu, unyenyekevu lakini ukiwa ngwadu mpelelezi , mkisiaji msikia vya watu , itakuwa shubili na pia utapata magonjwa kama presha na vidonda vya tumbo
 
Ndoa katika hizi zama? Zama za ma fesbuk, ma twita, ma instagram, ma email?

Watu wapo kwenye ndoa lakini kwenye kila mtandao waliopo wana wapenzi.

Kwa watu tunaopenda uadilifu wa hali ya juu na ulionyooka ni vigumu sana kumpata mtu mnayeendana naye.

We fikiria, wewe na mwenzio mpo humu halafu inakuja njemba inamwambia mwenzio 'i love you' na kumgongea ma likes kibao....

Hivi kweli hutapatwa na mawazo mabaya kuhusu hao wawili? Na hapo hujui kwenye ma PM huko wanafanya nini. Hujui kama ana majina mengine humu. Bado huko fesbuk sasa....hmmmm......kazi sana kwa kweli.

Wangapi humu JF, kwa mfano tu, kila mara wanadai kuwa wapo kwenye ndoa lakini kila kukicha ni kuambiana 'i love you', 'always love you' na watu ambao si wake au waume zao?

Hivi kweli mtu anaweza kunambia kuwa mwenza wake ana approve hayo mambo anayoyafanya humu? Oh well...it's their business, I guess. But at least you get the picture of where I'm coming from.

Kwa ufupi, ndoa ni jambo zuri lakini si la lazima kama hewa ya oksijeni au chakula.

Mtu huwezi kufa kisa tu haupo kwenye ndoa.
 
Yaani siku ukioa wewe, utakufa kwa presha, unaogopa sana kupigwa za uso.

Kikubwa ni kuweka misimamo wazi tangu awali (juzi ndio nimefanikiwa kumwambia zombie ID yangu hapa, nna mawazoje sasa? Ajue siku zote namwita zombie, Kaka naomba uniandalie PF3)

Dunia inabadilika pamoja na watu wake, sema tu wewe bado uko kizamani:evil:, unaogopa mke mwenye twira na insta?

Ila ukipekua pekua utampata. Mie mwenyewe nilijisemea, mwanamme mjuzi sana wa mitandao neh, labda kama ni kwa ajili ya kazi zaidi, ila kuchat tu, nitakufa na presha.

Aisee ninaogopa sana hususan kujichoresha. Ila acha tu nife na msimamo wangu na mambo yangu ya kizamani. Potelea mbali...madhali ninaye munchkin wangu...baaaasi. Ananipenda hivyo hivyo na ushamba wangu. Acha tule tu maisha yetu kivyetu vyetu.

Halafu wewe ngoja Z aanze kusoma mabandiko yako humu. Ngoja niiandae kabisa hiyo fomu manake.....
 
Ndoa katika hizi zama? Zama za ma fesbuk, ma twita, ma instagram, ma email?

Watu wapo kwenye ndoa lakini kwenye kila mtandao waliopo wana wapenzi.

Kwa watu tunaopenda uadilifu wa hali ya juu na ulionyooka ni vigumu sana kumpata mtu mnayeendana naye.

We fikiria, wewe na mwenzio mpo humu halafu inakuja njemba inamwambia mwenzio 'i love you' na kumgongea ma likes kibao....

Hivi kweli hutapatwa na mawazo mabaya kuhusu hao wawili? Na hapo hujui kwenye ma PM huko wanafanya nini. Hujui kama ana majina mengine humu. Bado huko fesbuk sasa....hmmmm......kazi sana kwa kweli.

Wangapi humu JF, kwa mfano tu, kila mara wanadai kuwa wapo kwenye ndoa lakini kila kukicha ni kuambiana 'i love you', 'always love you' na watu ambao si wake au waume zao?

Hivi kweli mtu anaweza kunambia kuwa mwenza wake ana approve hayo mambo anayoyafanya humu? Oh well...it's their business, I guess. But at least you get the picture of where I'm coming from.

Kwa ufupi, ndoa ni jambo zuri lakini si la lazima kama hewa ya oksijeni au chakula.

Mtu huwezi kufa kisa tu haupo kwenye ndoa.

hahahaha!!! "i love u".
 
Kujishughulisha na suala la mapenzi ni part of life....Ila kuingia ktk ndoa mkakaa wote kila kukicha mnatizamana aaahhh kuna issue zake....Yahitaji moyo na ustahmilivu mkubwa

Kataa kubali kama wewe umeoa naamini ushaziona japo karaha za ndoa

*********************************

Naweza kusema hivi;

Kimsingi ndoa ina umuhimu sana kwenye maisha ya binadamu isipokuwa wale wenye kazi maalum ambazo zinaweza kuwafarakanisha na wandani wao

Kimsingi kwa maisha haya ya sasa mwanamke kama hajaolewa kuna mawili,tabia yake sio nzuri au huenda hataki kuolewa

Hapo kwenye kutotaka kuolewa kunaweza kwa na sababu nyingi sana lakini ni vigumu sana kumkuta mwanamke ambae ni mzima kabisa halafu hana mtoto,hilo nalo ni tatizo lingine

Unaweza kujiuliza kama huyu ambae leo anasema hataki kuolewa na kwanini ana mtoto,bado na hapa napo kunaweza kuwa na sababu pia

Lakini kwa ujumla karibia wengi ni kuwa ni vigumu kumkuta anadai kuwa hataki kuolewa halafu awe hajishughulishi na masuala ya ngono,labda awe na tatizo

Kwa mtazamo huu ukitizama suala hili ni wazi tu kuwa inaweza kuwa hakuna ambae hataki mahusiano ya ndoa bali wapo ambao wameamua kuikana kwa hofu ya kutendwa tu lakini ndani mwao wanaitamani sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom