Je kwa mwanamke ndoa ndiyo kila kitu?

Je kwa mwanamke ndoa ndiyo kila kitu?

Mkuu kama chakula kilivyo one of the basic needs kwakweli nionavyo mimi even sex is one big basic need....unaishije miaka miaka 30,40 50 onwards without sex???? kwa mdomo utasema inawezekana lakini ukiwa kama binadam uliyekamilika mwenye vichocheo active ni ngumu na mwisho wa siku mnaishiga kabaka

Hao matoashi wenyewe wanatengwa ila wanaishia kuchepuka tu do not underestimate the power of nature bana

Ni mtazamo wako aisee...kwa hyo usipopata mtu wa kukuoa unafanyaje...unajiua? Kuna watu wapo kwenye mahusiano na watu wa ajabu wanawatumikisha kama wanyama kumbe ni kwa sababu mtu anaona life without sex is impossible so anajaribu kujikomba asikose ndoa..... I say no....kama ndoa ipo asante na kama haipo SITAKUFA BALI NTAISHI.
 
Yes that came from Paul and no it wasn't just meant for nuns and priests. Marriage should be a personal choice and whether i decide to have babies or not that's my decision to make, not society's. Tatizo bana "ndoa" imekua so idealized to the extent that it has actually lost it's meaning. Watu wanaoa na kuolewa kutimiza wajibu not realising that marriage is a lifetime commitment to one partner and one partner alone! Sasa hebu nionyeshe couples ambazo zipo 100% faithful to their vows? I am not trying to say that people should stay unmarried but what i am saying is very simple; Do Not get married just because it is the thing to do or because you are trying to fit in the society. Get married because that is what you really want & stay committed to your partner.

Matokeo ya ndoa kadhaa yasitufanye tubatilishe umuhimu wa ndoa

I think marrige is one crucial thing its just the matter of making right choice of your better half
 
ukisema ndoa ni kila kitu unamaanisha ni lazima. kwangu mimi naona ni muhimu ila sio lazima
 
Matokeo ya ndoa kadhaa yasitufanye tubatilishe umuhimu wa ndoa

I think marrige is one crucial thing its just the matter of making right choice of your better half

Mbona amefafanua vizuri sana....umesema marriage is one of the crucial things ni kweli kabisa na ndio maana unapoingia kwenye ndoa unatakiwa uwe umependa haswaa kuingia kwenye hiyo ndoa. Ile ni taasisi takatifu hutakiwi uingie kwa mkumbo na kama unaona haionekani usiitafute kwa tochi....usiiangamize nafsi yako kwa kulazimisha mambo. Ukimpata mtu sahihi u'r lucky, kila la heri na kama hajatokea maisha yaendelee hakuna haja ya kuharibu mfumo wa maisha yako...
 
Ndoa si kila kitu kwa mwanadamu ila ni hatua ambayo mwanadamu anapaswa kuipitia, Mungu ndiye mwanzilishi wa ndoa toka uumbaji. Kutoolewa /kutooa haimaanishi kwamba ni kasoro fulani,Mungu ameweka uwezo wa kufanya maamuzi ndani yetu alimradi tu yasiwe ni kinyume na mapenzi yake kwetu.

Sikukuu 3 za mwanadamu ni Kuzaliwa,Ndoa na Kifo. Ndoa ni muhimu kwasababu ndiyo sehemu pekee Mungu aliyotupa nafasi ya kuweza kushiriki uumbaji wake pamoja naye,kupitia ndoa tumepewa mamlaka ya kuumba,Mungu ameweka uungu ndaniyetu kupitia ndoa na hapo tunapata watu mbalimbali ambao ni muhimu sana katika dunia hii mfano madaktari,maenginer,walimu n.k bila ya kupewa kibali hiki na Mungu nadhani hata mimi na wewe tusingekuwa hapa JF.

Ndoa ni mahali salama lakini kutokana na uovu wetu tumeshindwa kupafanya pawe mahali salama,ukitafakari kiundani jukumu la ndoa ni zito sana na ndipo hapo msingi mzima wa maisha ya mwanadamu ulipo,kupitia ndoa Mungu ametupa kibali cha kuongoza,kujenga na kulinda kila lililo jema ili kuweza kudumisha ushirika na huyu Muumbaji,yote tunayoyaona hapa duniani yawe mema au mabaya chimbuko lake ni ndoa,maovu yanayofanywa na matunda ya ndoa(Watoto) ni matokeo ya wanandoa kutosimama vyema katika nafasi zao.Mwisho ni uovu kuendelea kizazi hata kizazi.

Kutooa/ kuolewa si kosa kinachotakiwa ni kujiheshimu na kutunza hali uliyonayo huku ukijua hiyo pia ni ibada mbele za Mungu, Na unaweza timiza ibada yako kwa kumtumikia Mungu kikamilifu na kutenda mambo mema katika jamii inayokuzunguka sababu uko huru zaidi hakuna linalokufunga.Zinaa nje ya ndoa ni dhambi,kuzaa nje ya ndoa si mpango kamili wa Mungu na hapendezwi na hilo jambo.

Kila mmoja awe mwanamume au mwanamke ajitambue na kusimama katika nafasi yake mwenyewe,ajue lipo kusudi maalum la yeye kuumbwa na kuwepo hapa duniani na anapaswa kutimiza hilo kusudi awapo hapa duniani kabla muda wake haujaisha,na kusudi hilo lapaswa alitimize haijalishi yupo ndani ya ndoa ama la.
 
Sio kama najaribu kujiliwaza or anything ila nachoelewa mm ndoa sio lazima. Hata kwenye bible ipo;

1 Corinthians 7:1-16

Now for the matters you wrote about: It is good for a man not to marry. But since there is so much immorality, each man should have his own wife, and each woman her own husband. The husband should fulfill his marital duty to his wife, and likewise the wife to her husband. The wife's body does not belong to her alone but also to her husband. In the same way, the husband's body does not belong to him alone but also to his wife. Do not deprive each other except by mutual consent and for a time, so that you may devote yourselves to prayer. Then come together again so that Satan will not tempt you because of your lack of self-control. I say this as a concession, not as a command. I wish that all men were as I am. But each man has his own gift from God; one has this gift, another has that. Now to the unmarried and the widows I say: It is good for them to stay unmarried, as I am. But if they cannot control themselves, they should marry, for it is better to marry than to burn with passion. To the married I give this command (not I, but the Lord): A wife must not separate from her husband. But if she does, she must remain unmarried or else be reconciled to her husband. And a husband must not divorce his wife. To the rest I say this (I, not the Lord): If any brother has a wife who is not a believer and she is willing to live with him, he must not divorce her. And if a woman has a husband who is not a believer and he is willing to live with her, she must not divorce him. For the unbelieving husband has been sanctified through his wife, and the unbelieving wife has been sanctified through her believing husband. Otherwise your children would be unclean, but as it is, they are holy. But if the unbeliever leaves, let him do so. A believing man or woman is not bound in such circumstances; God has called us to live in peace. How do you know, wife, whether you will save your husband? Or, how do you know, husband, whether you will save your wife?

Hii lugha ya watu huenda imekuchanganya na hujaielewa
Hebu soma kwa lughayetu hapa chini halafu uniulize tena kama hujaelewa ......

1 Kor 1-16

1 Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
2 Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
3 Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
4 Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
5 Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
6 Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri.
7 Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi.
8 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
9 Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.
10 Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
11 lakini, ikiwa ameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe.
12 Lakini watu wengine nawaambia mimi, wala si Bwana, ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mke asiyeamini, na mke huyo anakubali kukaa naye asimwache.
13 Na mwanamke, ambaye ana mume asiyeamini, na mume huyo anakubali kukaa naye, asimwache mumewe.
14 Kwa maana yule mume asiyeamini hutakaswa katika mkewe; na yule mke asiyeamini hutakaswa katika mumewe; kama isingekuwa hivyo, watoto wenu wangekuwa si safi; bali sasa ni watakatifu.
15 Lakini yule asiyeamini akiondoka, na aondoke. Hapo huyo ndugu mume au ndugu mke hafungiki. Lakini Mungu ametuita katika amani.
16 Kwa maana wajuaje, wewe mwanamke, kama utamwokoa mumeo? Au wajuaje, wewe mwanamume, kama utamwokoa mkeo?
 
Ndoa si kila kitu kwa mwanadamu ila ni hatua ambayo mwanadamu anapaswa kuipitia, Mungu ndiye mwanzilishi wa ndoa toka uumbaji. Kutoolewa /kutooa haimaanishi kwamba ni kasoro fulani,Mungu ameweka uwezo wa kufanya maamuzi ndani yetu alimradi tu yasiwe ni kinyume na mapenzi yake kwetu.

Sikukuu 3 za mwanadamu ni Kuzaliwa,Ndoa na Kifo. Ndoa ni muhimu kwasababu ndiyo sehemu pekee Mungu aliyotupa nafasi ya kuweza kushiriki uumbaji wake pamoja naye,kupitia ndoa tumepewa mamlaka ya kuumba,Mungu ameweka uungu ndaniyetu kupitia ndoa na hapo tunapata watu mbalimbali ambao ni muhimu sana katika dunia hii mfano madaktari,maenginer,walimu n.k bila ya kupewa kibali hiki na Mungu nadhani hata mimi na wewe tusingekuwa hapa JF.

Ndoa ni mahali salama lakini kutokana na uovu wetu tumeshindwa kupafanya pawe mahali salama,ukitafakari kiundani jukumu la ndoa ni zito sana na ndipo hapo msingi mzima wa maisha ya mwanadamu ulipo,kupitia ndoa Mungu ametupa kibali cha kuongoza,kujenga na kulinda kila lililo jema ili kuweza kudumisha ushirika na huyu Muumbaji,yote tunayoyaona hapa duniani yawe mema au mabaya chimbuko lake ni ndoa,maovu yanayofanywa na matunda ya ndoa(Watoto) ni matokeo ya wanandoa kutosimama vyema katika nafasi zao.Mwisho ni uovu kuendelea kizazi hata kizazi.

Kutooa/ kuolewa si kosa kinachotakiwa ni kujiheshimu na kutunza hali uliyonayo huku ukijua hiyo pia ni ibada mbele za Mungu, Na unaweza timiza ibada yako kwa kumtumikia Mungu kikamilifu na kutenda mambo mema katika jamii inayokuzunguka sababu uko huru zaidi hakuna linalokufunga.Zinaa nje ya ndoa ni dhambi,kuzaa nje ya ndoa si mpango kamili wa Mungu na hapendezwi na hilo jambo.

Kila mmoja awe mwanamume au mwanamke ajitambue na kusimama katika nafasi yake mwenyewe,ajue lipo kusudi maalum la yeye kuumbwa na kuwepo hapa duniani na anapaswa kutimiza hilo kusudi awapo hapa duniani kabla muda wake haujaisha,na kusudi hilo lapaswa alitimize haijalishi yupo ndani ya ndoa ama la.

Amen dada....kuna mtu yupo tayari kuachana hata na imani yake anaingia mtaani kusaka ndoa....Mungu atufunulie kujitambua na kutambua thamani yetu. Mimi naamini Mungu ana makusudi kwa kila linalotokea katika maisha yetu. Kifupi hili ni neno takatifu...hutakiwi kukurupuka wala kuiga matokeo yake unajikuta upo tayari kuolewa na 'yeyote' atakayejitokeza maana uliweka too much expectations katika hilo suala
 
Ndoa ni muhimu kweli na hilo halipingiki,issue ni mafundisho yasiyo sahihi wanayopewa mabint yakiwaandaa kuwa wake na si kusimama wao kama wao. Ni kweli thamani ya mwanamke inakamilika kwa yeye kuwa na mume?
Unazungumzia thamani ipi hapa?
Mama anapomwambia bint yake siku ya kitchen party kuwa umenitunzia heshima yangu kama mama anatuma ujumbe gani kwa bint zake ambao hawajapata wa kuwaoa?
Kwanini usiulize sababu za hao kutoolewa kwanza kabla ya kuujadili huo ujumbe wamama kwa hao mabinti?
Vipi huyo aliyeolewa ndoa yake iki fail au mume akafariki atasimama mwenyewe kama aliaminishwa mguu wake wa pili ni mume?
Kimsingi mwanaume anaumuhimu kwa mwanamke,sijui hapa unamaanisha mafundisho yapi kwani inawezekana ikawa sawa au kinyume chake pia
Wanawake wengi wanavumilia ndoa za manyanyaso kwa kuogopa jamii kuwaona hawajiheshimu kama watatoka na kuishi wenyewe!!
Hili ni tatizo lingine ambalo lina suluhu yake

Lakini kuwepo kwa ndoa za manyanyaso hakuifanyi ndoa kuwa haina umuhimu!
 
Amen dada....kuna mtu yupo tayari kuachana hata na imani yake anaingia mtaani kusaka ndoa....Mungu atufunulie kujitambua na kutambua thamani yetu. Mimi naamini Mungu ana makusudi kwa kila linalotokea katika maisha yetu. Kifupi hili ni neno takatifu...hutakiwi kukurupuka wala kuiga matokeo yake unajikuta upo tayari kuolewa na 'yeyote' atakayejitokeza maana uliweka too much expectations katika hilo suala

Ni kweli kabisa Khantwe kulazimisha kuwa ubavu ambao si wa mmilikaji sahihi wa mwenye huo ubavu wake ni kosa kubwa ipo siku huo ubavu utavunjika,matokeo yake ni vilio na majuto.
 
Last edited by a moderator:
Fanyeni ya kuweza kuwapa heshima kwanza na kuwawezesha kuishi dada zangu!!!!!!!
Ndoa kama itatokea well and good lakini pia ikitokea na ukawa ni wa kuteseka usikae hapo hata dakika moja eti sababu utaonekana hivi na vile ndio maana nasisitiza hayo hapo juu!!!!!!

Ndoa yapaswa kuwa na furaha kama furaha haipo basi hakika ndoa sio kila kitu!!!!!!!!

POINT!!! Well said!!
 
Akazae na nani?

Siku hizi kuna mahali wana-donate sperms ambazo donors hawajulikani?

Ndoa ni muhimu sana labda kama inazidisha kero kuliko amani....

Ni muhimu kutochanganya vitu hapa; mwanamke kujitegemea vs kumtegemea mume, kuishi kwenye ndoa kwa kulazimiaka hata kama ina karaha, na umuhimu wa ndoa katika maisha yetu (wanaume na wanawake)! Hivi ni vitu tofauti kabisa.

Pamoja na matatizo tunayokumbana nayo kila siku, yet nawashauri watu wote ambao hawana kizuizi wajitahidi kupata na kuishi kwenye ndoa. Ila wasivumilie ndoa ambazo zinahatarisha maisha yao kwa namna yoyote!

Well said! Paragraph ya mwisho ina uzito! Wasio na kizuizi waoane! Ila walioko kwenye ndoa hatarishi WASIVUMILIE WASEPE MAPEMAAAA!....... teh teh
 
Ndoa si kila kitu kwa mwanadamu ila ni hatua ambayo mwanadamu anapaswa kuipitia, Mungu ndiye mwanzilishi wa ndoa toka uumbaji. Kutoolewa /kutooa haimaanishi kwamba ni kasoro fulani,Mungu ameweka uwezo wa kufanya maamuzi ndani yetu alimradi tu yasiwe ni kinyume na mapenzi yake kwetu.

Sikukuu 3 za mwanadamu ni Kuzaliwa,Ndoa na Kifo. Ndoa ni muhimu kwasababu ndiyo sehemu pekee Mungu aliyotupa nafasi ya kuweza kushiriki uumbaji wake pamoja naye,kupitia ndoa tumepewa mamlaka ya kuumba,Mungu ameweka uungu ndaniyetu kupitia ndoa na hapo tunapata watu mbalimbali ambao ni muhimu sana katika dunia hii mfano madaktari,maenginer,walimu n.k bila ya kupewa kibali hiki na Mungu nadhani hata mimi na wewe tusingekuwa hapa JF.

Ndoa ni mahali salama lakini kutokana na uovu wetu tumeshindwa kupafanya pawe mahali salama,ukitafakari kiundani jukumu la ndoa ni zito sana na ndipo hapo msingi mzima wa maisha ya mwanadamu ulipo,kupitia ndoa Mungu ametupa kibali cha kuongoza,kujenga na kulinda kila lililo jema ili kuweza kudumisha ushirika na huyu Muumbaji,yote tunayoyaona hapa duniani yawe mema au mabaya chimbuko lake ni ndoa,maovu yanayofanywa na matunda ya ndoa(Watoto) ni matokeo ya wanandoa kutosimama vyema katika nafasi zao.Mwisho ni uovu kuendelea kizazi hata kizazi.

Kutooa/ kuolewa si kosa kinachotakiwa ni kujiheshimu na kutunza hali uliyonayo huku ukijua hiyo pia ni ibada mbele za Mungu, Na unaweza timiza ibada yako kwa kumtumikia Mungu kikamilifu na kutenda mambo mema katika jamii inayokuzunguka sababu uko huru zaidi hakuna linalokufunga.Zinaa nje ya ndoa ni dhambi,kuzaa nje ya ndoa si mpango kamili wa Mungu na hapendezwi na hilo jambo.

Kila mmoja awe mwanamume au mwanamke ajitambue na kusimama katika nafasi yake mwenyewe,ajue lipo kusudi maalum la yeye kuumbwa na kuwepo hapa duniani na anapaswa kutimiza hilo kusudi awapo hapa duniani kabla muda wake haujaisha,na kusudi hilo lapaswa alitimize haijalishi yupo ndani ya ndoa ama la.

Kwa kuongezea tu Zinaa NDANI ya ndoa (KUCHEPUKA) ni dhambi pia! Na zinaa yaweza fanywa na yeyote awe katika NDOA au asiwe!
Ndoa si Dawa au chanjo ya kuzuia UZINZI!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom