Je kwa haya nina nguvu za JICHO LA TATU ?

Na siku zote mkuu kuna nguvu aina mbili,kuna zenye kutoka kwa mungu na zengine zinahusiana na hao viumbe wabaya. Kwahiyo kuwa makini na hizo nguvu unazohisi unazo zimetoka wapi?

kwa sababu sijawah kujihusisha na USHIRIKINA nahisi ni KIMUNGU
 
Hiyo namba 3, kwanza unamjua mpenzi wako na pili ulijua hali/ mazingira ya lolote mlilokuwa mnajadili, hivyo hayo yalipelekea wewe kujua uamuzi atakaouchukua.
 
Mbona ni mambo ya kawaida sana hayo hata kisayansi yanaelezeka. Sawa, hata nguvu za asili zinaelezeka ila hizo zako ziko chini sana, hizo hata darasani zinafundishwa.

Mfano, la cm au sms, ni mazoea ya muda mrefu ktk mawasiliano yenu ktk simu. Umejengeana mazoea yapi. Kusema uongo, sio tu uongo unatoka kwa sauti mdomoni, ni long process, hata joto la mwili hubadilika, mapigo ya moyo nk ndo maana kuna vyombo vya kupima uongo.

Sijui kama ndio hizo nguvu, lakini naamini kila mtu anao uwezo huo na kama hajaufahamu anaweza akaanza kuufatilia. Kwa aliyepitia masomo ya sheria, swala la mtu kudanganya, analijua.
 
kwa sababu sijawah kujihusisha na USHIRIKINA nahisi ni KIMUNGU
Sasa kama hujawahi kujihusisha hiyo hali inayokutokea yaweza ikawa ndiyo sababu ya kukuingiza kwenye huo ushirikina,ndiyo maana nikakwambia kuwa makini maana bado unahisi tu kuwa hizo nguvu zaweza kuwa zimetoka kwa mungu hivyo pengine isiwe hivyo.
 
Kwa umri wako:
Kwanza utakuwa una demu mmoja mtoto mwenzako na ni muongo sana kiasi kwamba umeshazoea.

Pili simu yako haiko Bize, Ina watu wawili watatu tu ambao umeshajua na umekariri kuwa Muda huu ni flani.

Hakuna jicho la tatu hapo.
 
sawa umejitahidi lakini hakuna UKWELI,
ila rudi usome thread vizuri
 
Everyone has a sixth sense only in different senses. Like me, I can dream what will happen na sometimes I can sense what is going to happen
 
Back
Top Bottom