habari zenu wadau,
nilikua nahitaji mitazamo yenu kuhusu kuzaa watoto, je kuna ulazima wa kuwa na mtoto hapa duniani hata kama umeoa? Binafsi mimi sipendi watoto na sina mpango wa kupata mtoto hata kama nikioa nitatafuta ambaye mgumba au mwenye malengo kama yangu.
Sababu kuu ya kufanya hivo ni kua watoto ni energy, time and money consuming plus wanaleta stress tu, nataka maisha ya kua free sitaki majukumu yanaoweza kunihold back katika mambo yangu. Je, jamii inalichukuliaje swala hili? Naamini sipo peke yangu mwenye mawazo kama haya.
Karibuni wadau mtoe mitazamo yenu