Je, kuna umuhimu au faida kufahamu mahali wanaishi watumishi/watendaji wa serikali kama mahakimu, majaji, askari magereza na mapolisi kwa wema tu?

Adverse Effect

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Posts
3,518
Reaction score
8,967
Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea changamoto na kuendelea kuishi nazo hata kama zinakutesa.

Miaka mitano iliyopita bi mkubwa wetu mama mzazi alipata hitilafu katika mwili wake ambapo iligundulika tatizo kwenye pingili za uti wa mgongo na kupelekea sehemu za miguu kufa ganzi na kukosa nguvu kabisa.

Tulitumia bima ya afya katika mchakato wote wa matibabu yake na ninakiri bima ilisaidia sana hadi kufika hospitali ya rufaa ila hatua ya mwisho Kuna matibabu ambayo bi mkubwa alitakiwa afanyiwe ambayo ni upasuaji na ilionekana bima tunayotumia haiwezi kugharamia.

Wataalamu walituambia bi mkubwa akatibiwe India au Kuna hospitali binafsi ya daktari bingwa fulani ambaye yeye n kwa wakati huo angeweza akamsaidia mgonjwa wetu ila gharama ilikuwa kubwa sana na bima haitatumika ni pesa mbele.

Kabla sijamalizia kuelezea kilichotokea kwa mgonjwa wetu naomba nieleze kwanini nimeandika Uzi huu.

Katika kipindi cha takribani miongo miwili kumetokea matukio yanayohusisha ukiukwaji wa haki za binadamu katika Taifa letu tunalolipenda Tanzania.

Matukio hayo ya ukiukwaji wa haki za binadamu yamepekekea kuporwa kwa haki ya msingi ikiwepo haki ya kuishi au uhai.

Tumeshuhudia wananchi wakitekwa, wakiteswa, kubakwa, kulawitiwa na mwisho kuuwawa. Mbaya zaidi udhalimu na uhalifu huo unahusishwa moja kwa moja au kwa namna nyingine na vyombo vya dola, makundi au magenge yenye mkono wa viongozi wa serikali wasio waadilifu. Lazima tuseme ukweli sio viongozi wote wa serikali wanahusika na kufurahia mambo maovu yanayotokea katika Taifa letu

Viongozi au watendaji wa serikali ambao wanahusika kutekeleza udhalimu, dhuluma, ubatili na hata mauaji sio kwamba hatuwajui na kuwafahamu. Wanaofanya na kutekeleza maagizo kutoka juu hawaishi katika sayari ya mars au katika milima ambayo hatuwezi kuwafikia na kuwaona

Lengo na dhamira kufahamu na kutambua hao watendaji wanapoishi wao na familia zao sio kwa ajili ya kuwafanyia ubaya au kuwalipizia kisasi bali ni kuwakumbusha pale inapolazimu na kubidi kuwa Kuna maisha ya kazi na maisha ya kitaa/mtaa na mwisho kuwaeleza ukweli kuwa kazi na majukumu yana mwisho ila mtaa na wanaishi mtaani watakuwepo milele na milele.

Wote wanaopenda haki raia na wasio raia( walio katika vyombo vya dola) mnapaswa kuliangalia na kutizama jambo la haki za binadamu katika muktadha wa kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa.

Ninaamini wapo watendaji wema wa serikali kama mahakimu, maaskari, mapolisi, magereza ambao wanapenda na kuthamini haki isipokuwa wamekuwa wakipokea maelekezo wanayoita yametoka juu.

Tulipofikia sasa itakapobidi italazimika kutumia teknolojia kuweka alama isiyofutika na kuweka wazi makazi, mitaa, location au kuonyesha faragha ikiwepo mke au watoto. Sidhani kama tunapaswa kufika huko? Ila ikibidi hakutakuwa na jinsi.

Kwa kumalizia kuhusu mgonjwa wetu ni kwamba ilitulazimu kwenda kwa daktari bingwa katika hospitali yake binafsi ila matibabu yalishindikana sababu ya gharama kubwa ambazo hatukuweza kulipia kipindi hicho.

Mwisho tulipata wazo la kufahamu nyumbani kwake anapoishi na familia yake na hapa ndipo tulipo para suluhisho na amini usiamini bi mkubwa wetu alitibiwa kwa punguzo la gharama ya karibu asilimia thelathini na tuliweza kumudu na mpaka sasa na leo hii tunashukuru bi mkubwa ni mzima wa afya ana miaka sabini na moja anaendelea vizuri ukiacha changamoto za hapa na pale za utu uzima.
 
Pole sana ndugu kwa kuuguza.

Kinacho kosekana kwa baadhi ya watendaji wetu ni ukosefu wa MAADILI YA KIROHO.
Ukikutana na mtendaji yeyote asiye na HOFU YA MUNGU ujue ni sawa na umekutana na mnyama lazima akurarue.
Tuzidi kuwaomba Wachungaji, maskofu na Mashehe wapenyeze maadili ya kiroho kwa jamii yote sio watendaji tu sote.
Kuwafuata nyumbani sio suluhisho, bali wanapaswa kufundishwa maadili yanayo ambatana na hofu ya Mungu.
 
Nashukuru sana ndugu zandrano kwa mchango na hoja zako. Umeshauri jambo la msingi sana kuhusu maadili.
 
Tumefika huku kote kwa ajili ya CCM kila mtu ameguswa na anatamani kulipa kisasi
Kabisa mkuu, ikiwezekana turudi kwenye agano la kale tutumie "Jino kwa jino" vinginevyo tutakwisha na tuachane na agano jipya linalosema "mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia"
 
Askari magereza wanaishi kwenye kambi ya Kikosi Maalum, jimbo la ukonga, kata ya mazizini, nenda ulizia "kambi ya KM".

Polisi wapo hapo barabarani kabisa bus station "Madafu" mkabala na mahakama ya mwanzo wa Ukonga. Ulizia "Field Force"
 
Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea changamoto na kuendelea kuishi nazo hata kama zinakutesa.

Miaka mitano iliyopita bi mkubwa wetu mama mzazi alipata hitilafu katika mwili wake ambapo iligundulika tatizo kwenye pingili za uti wa mgongo na kupelekea sehemu za miguu kufa ganzi na kukosa nguvu kabisa.

Tulitumia bima ya afya katika mchakato wote wa matibabu yake na ninakiri bima ilisaidia sana hadi kufika hospitali ya rufaa ila hatua ya mwisho Kuna matibabu ambayo bi mkubwa alitakiwa afanyiwe ambayo ni upasuaji na ilionekana bima tunayotumia haiwezi kugharamia.

Wataalamu walituambia bi mkubwa akatibiwe India au Kuna hospitali binafsi ya daktari bingwa fulani ambaye yeye n kwa wakati huo angeweza akamsaidia mgonjwa wetu ila gharama ilikuwa kubwa sana na bima haitatumika ni pesa mbele.

Kabla sijamalizia kuelezea kilichotokea kwa mgonjwa wetu naomba nieleze kwanini nimeandika Uzi huu.

Katika kipindi cha takribani miongo miwili kumetokea matukio yanayohusisha ukiukwaji wa haki za binadamu katika Taifa letu tunalolipenda Tanzania.

Matukio hayo ya ukiukwaji wa haki za binadamu yamepekekea kuporwa kwa haki ya msingi ikiwepo haki ya kuishi au uhai.

Tumeshuhudia wananchi wakitekwa, wakiteswa, kubakwa, kulawitiwa na mwisho kuuwawa. Mbaya zaidi udhalimu na uhalifu huo unahusishwa moja kwa moja au kwa namna nyingine na vyombo vya dola, makundi au magenge yenye mkono wa viongozi wa serikali wasio waadilifu. Lazima tuseme ukweli sio viongozi wote wa serikali wanahusika na kufurahia mambo maovu yanayotokea katika Taifa letu

Viongozi au watendaji wa serikali ambao wanahusika kutekeleza udhalimu, dhuluma, ubatili na hata mauaji sio kwamba hatuwajui na kuwafahamu. Wanaofanya na kutekeleza maagizo kutoka juu hawaishi katika sayari ya mars au katika milima ambayo hatuwezi kuwafikia na kuwaona

Lengo na dhamira kufahamu na kutambua hao watendaji wanapoishi wao na familia zao sio kwa ajili ya kuwafanyia ubaya au kuwalipizia kisasi bali ni kuwakumbusha pale inapolazimu na kubidi kuwa Kuna maisha ya kazi na maisha ya kitaa/mtaa na mwisho kuwaeleza ukweli kuwa kazi na majukumu yana mwisho ila mtaa na wanaishi mtaani watakuwepo milele na milele.

Wote wanaopenda haki raia na wasio raia( walio katika vyombo vya dola) mnapaswa kuliangalia na kutizama jambo la haki za binadamu katika muktadha wa kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa.

Ninaamini wapo watendaji wema wa serikali kama mahakimu, maaskari, mapolisi, magereza ambao wanapenda na kuthamini haki isipokuwa wamekuwa wakipokea maelekezo wanayoita yametoka juu.

Tulipofikia sasa itakapobidi italazimika kutumia teknolojia kuweka alama isiyofutika na kuweka wazi makazi, mitaa, location au kuonyesha faragha ikiwepo mke au watoto. Sidhani kama tunapaswa kufika huko? Ila ikibidi hakutakuwa na jinsi.

Kwa kumalizia kuhusu mgonjwa wetu ni kwamba ilitulazimu kwenda kwa daktari bingwa katika hospitali yake binafsi ila matibabu yalishindikana sababu ya gharama kubwa ambazo hatukuweza kulipia kipindi hicho.

Mwisho tulipata wazo la kufahamu nyumbani kwake anapoishi na familia yake na hapa ndipo tulipo para suluhisho na amini usiamini bi mkubwa wetu alitibiwa kwa punguzo la gharama ya karibu asilimia thelathini na tuliweza kumudu na mpaka sasa na leo hii tunashukuru bi mkubwa ni mzima wa afya ana miaka sabini na moja anaendelea vizuri ukiacha changamoto za hapa na pale za utu uzima.
Ndio ni muhimu tu
Ccm mbele kwa mbele😎
No reforms no election🛠️💯
 
Kama wanaishi uraiani hasa uswahilini watakuwa wamejizindika haswa, nyumba zao zitakuwa zimechimbiwa zana za ulinzi wa kishirikina ili maadui zao wasizione wanapowafuatilia kuwakomesha kutokana na madhila wanayoyafanya kwenye kazi zao. Wao wenyewe wanatembea na mahirizi kila kona ya mwili, wamechanjwa chale angle zote za mwili kujilinda. Wengine wanavaa mapete na mabangili ya kichawi wasionekane pindi wanapofuatiliwa. Kuna mmoja aliloga ofisi ili maofisa ukaguzi wakija kumkagua matumizi ya fedha washindwe kukaa ofisini watoke haraka na kurudi walikotoka.
 
Back
Top Bottom