Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?

Wanabodi

Declaration of interest, mimi ni mtu mfupi na nina tatizo la kutokubali kudanganywa kirahisi, ila hawa sikasiriki sana kivile.

Hili ni bandiko la swali juu ya political psychoanalysis kuhusu ya saikolojia ya wanasiasa wetu kwenye mambo ya body anatomy na mambo ya morphological kuhusu maumbile ya watu, urefu, ufupi, unene, wembamba etc, kuna hoja kuwa watu wafupi wana matatizo ya kisaikolojia yanayoleta tatizo liitwalo inferiority complex zinazo wafanya wakose confidence hivyo ku practice superiority complex wanapoudhiwa wanakuwa wakali kweli kweli na huchachamaa!.

Sasa inapotokea watu wafupi hawa kujihisi wamedharauliwa halafu kudharauliwa kwenyewe of all the people kuwe ni kudharauliwa na mwanamke halafu mwanamke mwenyewe awe amemzidi urefu huyo mtu mfupi, hivyo kujihisi huyo mtu anamdharau kwa kumuangalia kwa chini! , can you imagine itakuwaje?.

Kisheria acting under provocation ni defence kuwa mtu akiudhiwa anaweza kufanya lolote, ila ukiwaudhi wafupi hawa be very careful maana anaweza kushika chochote na kukudhuru!.

Watu hawa huwa wana bust with rage, kama ana pistol anaweza kuua!. Kuna hiki kisa sijui kama ni cha kweli. ..kwenye kampeni fulani kuna mgombea mrefu alimtibua mgombea mwenzake mfupi, yule mfupi alikasirika hadi kumpiga gongo la kichwa yule mrefu akaanguka akazimia.

Jee hoja hizi zina ukweli wowote?. Jee urefu wa mtu una uhusiano na mambo ya confidence and lack of confidence?.

Ndio maana kwenye board rooms kiti kimoja hufanywa kirefu, kiti cha mfalme huwa kirefu, etc.

Mimi ni single hand driver, nikiendesha gari za juu SUV nakuwa very confident ila nikiendesha gari za ndogo kama Nissan March or VW Golf nakosa kabisa confidence!.

Tukija kwenye siasa tuelekee moja kwa moja Bungeni kwetu kule Dodoma, kuna Mhe. Mbunge mmoja mfupi ni so notorious kwa kutukana!. Inawezekana hiyo notoriety inatokana na ufupi wake?.

Ukipima kiwango cha utovu wa nidhamu wa baadhi ya wabunge wetu tukilinganisha na adhabu walizopatiwa kwa utovu huo, is there a proportionality or any correlations kati ya heights zao na kiwango cha wanavyokasirika? .

Angalizo: Mambo ya political psychoanalysis ni mambo ya ma GT only. Ma GT huwa hawa discuss watu, wana discuss ideas, hivyo sitarajii kuona majina yoyote yakitajwa tajwa humu.

Paskali
Angalia badala ya kujenga utawaumiza hata wachangiaji unaotaka wakuunge mkono maana na wafupi wao humu. Utafanya makosa kumwonea Spika kwa hatua aliyochukua. Inawezekana wewe ni mshabiki wa upinzania so utaona kila kinachofanywa na upinzani ni sawa. Hili litakuwa kosa sana maana aliyesababisha ujinga wote ni Mnyika aliyejidai mbabe kwa Spika. Hata ingekuwa wewe ungechukua hatua.
 
Hoja yako haina mashiko kihoja.

Rais mstaafu, Mzee Mwinyi ni mfupi sana lakini pamoja na kuwa public figure hatujawahi kumuona aki-act kama hoja zako zinavyodai.

Mwingine ni Mzee Kawawa...

The list goes on and on
Hili swala la ufupi lina ukweli ingawa sio wote wana hizo tabia ila wengi wao wako hivyo.
 
Mbona yule aliyeitwa mwizi sio mfupi na wala hana umbo dogo lakini aliwaka na kucharuka bungeni? Akamvimbia spika na hata askari akawavimbia kiasi kwamba angekuwa mfupi tungeona hoja ni hiyo.

Nionavyo mimi madaraka nayo huchangia sana kuleta inferiority complex na kupelekea mhusika kucharuka pindi anapohisi kudharauliwa kwa kuwa naturally madaraka hukufanya kukaa mkao wa kuhitaji kuheshimiwa tu na si vinginevyo,na hapa ndipo mwenyezi mungu aliposhusha hekma ya kuwataka waja wake waheshimu mamlaka kwani ukileta dharau kwa mwenye mamlaka unaweza kujikuta unashukiwa na nguvu kubwa kuliko ulivyotegemea na kujikuta unaumia bure.Mwenye mamlaka yuko tayari kutumia rungu kuulia sisimizi mradi kuhakikisha analinda heshima yake.Huanza na inferiority complex which later is exagerrated to superiority complex.
 
Ni kweli kabisa, watu wafupi (au wenye mapungufu flani ya kimwili) wanakuaga na inferiority complex. Wengi wapo so defensive, unakuta ni wakorofi, wakali, wabishi, wana hasira na hawakubali kushindwa. Nina rafiki yangu mmoja, mfupi sana. Aisee kubishana na ye ni kupoteza nguvu zako. Hata kama u are right na yeye yipo wrong. So i agree with you hasira, ukali na ubishi ni defensive mechanism ya watu wafupi (vipimbi)
 
Iyo ni kweli. Alafu kuna na wale migambo. Maana migambo wengi ukikuta kasoma sanaaaa ni s.7. Sasa ingia kwenye 18 yake. Ni bora ya mbwa wa FFU.
 
Wanabodi

Declaration of interest, mimi ni mtu mfupi na nina tatizo moja tuu la kutokubali kudanganywa kirahisi, ila huwa sikasiriki ninapodharauliwa.

Hili ni bandiko la swali juu ya political psychoanalysis kuhusu ya saikolojia ya wanasiasa wetu kwenye mambo ya body anatomy na mambo ya morphological kuhusu maumbile ya watu, urefu, ufupi, unene, wembamba etc, kuna hoja kuwa wengi wa watu wafupi (sio wote), wana matatizo ya kisaikolojia yanayoleta tatizo liitwalo inferiority complex zinazo wafanya wakose confidence hivyo ku practice superiority complex wanapoudhiwa wanakuwa wakali kweli kweli na huchachamaa!.

Sasa inapotokea watu wafupi hawa kujihisi wamedharauliwa halafu kudharauliwa kwenyewe of all the people kuwe ni kudharauliwa na mwanamke halafu mwanamke mwenyewe awe amemzidi urefu huyo mtu mfupi, hivyo kujihisi huyo mtu anamdharau kwa kumuangalia kwa chini! , can you imagine itakuwaje?.

Kisheria acting under provocation ni defence kuwa mtu akiudhiwa anaweza kufanya lolote, ila ukiwaudhi wafupi hawa be very careful maana anaweza kushika chochote na kukudhuru!.

Watu hawa huwa wana bust with rage, kama ana pistol anaweza kuua!. Kuna hiki kisa sijui kama ni cha kweli. ..kwenye kampeni fulani kuna mgombea mrefu alimtibua mgombea mwenzake mfupi, yule mfupi alikasirika hadi kumpiga gongo la kichwa yule mrefu akaanguka akazimia.

Jee hoja hizi zina ukweli wowote?. Jee urefu wa mtu una uhusiano na mambo ya confidence and lack of confidence?.

Ndio maana kwenye board rooms kiti kimoja hufanywa kirefu, kiti cha mfalme huwa kirefu, etc.

Mimi ni single hand driver, nikiendesha gari za juu SUV nakuwa very confident ila nikiendesha gari za ndogo kama Nissan March or VW Golf nakosa kabisa confidence!.

Tukija kwenye siasa tuelekee moja kwa moja Bungeni kwetu kule Dodoma, kuna Mhe. Mbunge mmoja mfupi ni so notorious kwa kutukana!. Inawezekana hiyo notoriety inatokana na ufupi wake?.

Ukipima kiwango cha utovu wa nidhamu wa baadhi ya wabunge wetu tukilinganisha na adhabu walizopatiwa kwa utovu huo, is there a proportionality or any correlations kati ya heights zao na kiwango cha wanavyokasirika? .

Angalizo: Mambo ya political psychoanalysis ni mambo ya ma GT only. Ma GT huwa hawa discuss watu, wana discuss ideas, hivyo sitarajii kuona majina yoyote yakitajwa tajwa humu na hata kama kuna mfupi unamjua na ana tabia kama hizi, please please please usimtaje, naomba umuhifadhi ili hasira zake zisije kunishukia mimi!.

Paskali
Paskali,
Unapotaja matukio specific yanayohusiana na watu specific tena yaliyotokea recently kiasi kwamba bado kila mmoja ana kumbukumbu ya matukio hayo, kuna tofauti gani na kuwataja watu wenyewe? Is one's name the only Identity attached to that person?
 
Wanabodi

Declaration of interest, mimi ni mtu mfupi na nina tatizo moja tuu la kutokubali kudanganywa kirahisi, ila huwa sikasiriki ninapodharauliwa.

Hili ni bandiko la swali juu ya political psychoanalysis kuhusu ya saikolojia ya wanasiasa wetu kwenye mambo ya body anatomy na mambo ya morphological kuhusu maumbile ya watu, urefu, ufupi, unene, wembamba etc, kuna hoja kuwa wengi wa watu wafupi (sio wote), wana matatizo ya kisaikolojia yanayoleta tatizo liitwalo inferiority complex zinazo wafanya wakose confidence hivyo ku practice superiority complex wanapoudhiwa wanakuwa wakali kweli kweli na huchachamaa!.

Sasa inapotokea watu wafupi hawa kujihisi wamedharauliwa halafu kudharauliwa kwenyewe of all the people kuwe ni kudharauliwa na mwanamke halafu mwanamke mwenyewe awe amemzidi urefu huyo mtu mfupi, hivyo kujihisi huyo mtu anamdharau kwa kumuangalia kwa chini! , can you imagine itakuwaje?.

Kisheria acting under provocation ni defence kuwa mtu akiudhiwa anaweza kufanya lolote, ila ukiwaudhi wafupi hawa be very careful maana anaweza kushika chochote na kukudhuru!.

Watu hawa huwa wana bust with rage, kama ana pistol anaweza kuua!. Kuna hiki kisa sijui kama ni cha kweli. ..kwenye kampeni fulani kuna mgombea mrefu alimtibua mgombea mwenzake mfupi, yule mfupi alikasirika hadi kumpiga gongo la kichwa yule mrefu akaanguka akazimia.

Jee hoja hizi zina ukweli wowote?. Jee urefu wa mtu una uhusiano na mambo ya confidence and lack of confidence?.

Ndio maana kwenye board rooms kiti kimoja hufanywa kirefu, kiti cha mfalme huwa kirefu, etc.

Mimi ni single hand driver, nikiendesha gari za juu SUV nakuwa very confident ila nikiendesha gari za ndogo kama Nissan March or VW Golf nakosa kabisa confidence!.

Tukija kwenye siasa tuelekee moja kwa moja Bungeni kwetu kule Dodoma, kuna Mhe. Mbunge mmoja mfupi ni so notorious kwa kutukana!. Inawezekana hiyo notoriety inatokana na ufupi wake?.

Ukipima kiwango cha utovu wa nidhamu wa baadhi ya wabunge wetu tukilinganisha na adhabu walizopatiwa kwa utovu huo, is there a proportionality or any correlations kati ya heights zao na kiwango cha wanavyokasirika? .

Angalizo: Mambo ya political psychoanalysis ni mambo ya ma GT only. Ma GT huwa hawa discuss watu, wana discuss ideas, hivyo sitarajii kuona majina yoyote yakitajwa tajwa humu na hata kama kuna mfupi unamjua na ana tabia kama hizi, please please please usimtaje, naomba umuhifadhi ili hasira zake zisije kunishukia mimi!.

Paskali
Kwenye dhana hii jinsia ya kike inapata shida Kwa kweli,wadada wafupi ndani ya ndoa ni wakorofi mno kuliko wale warefu,wanavijitabia vyenye kufanana wivu ,na ubabe na matusi.
 
Hoja yako haina mashiko kihoja.

Rais mstaafu, Mzee Mwinyi ni mfupi sana lakini pamoja na kuwa public figure hatujawahi kumuona aki-act kama hoja zako zinavyodai.

Mwingine ni Mzee Kawawa...

Kwa watu walioishi Japan na sehemu za Asia kama ufilipino ambako watu wake wengi ni wafupi watapingana na hoja zako.

The list goes on and on
Utakua mbilikimo wewe si bure
 
Naona kama hoja yake ina mantiki.

Ukimzungumzia mzee mwinyi ambae kiukweli ana umbile dogo usisahau kua there is an exception to every rule.

Ukija kwa watu wa asia hiyo kanuni haifanyi kazi maana watu wa asia wote ni wafupi, mkiwa wote walemavu hakuna shida, mkiwa wote vipofu hakuna shida. Shida inakuja pale ambapo kwenye kundi moja baadhi ni walemavu na baadhi ni wazima.

Huku kwetu Afrika ni shida na lazima kuwe na ile sense of inferiority complex kwa watu wafupi ndani ya watu warefu.

Mimi naamini kabisa the bigger the size the more the confidence, as you grow in size, your confidence grow with you.

Umemsema mzee mwinyi, vipi kuhusu mzee mkapa?
 
Ukiamua kuandika english basi egemea huko huko na kama ni kiswahili andika kiswahili tu hizo sijui morphological, psychoanalysis sijui ni wadudu gani mnaharibu lugha ya taifa

Naunga mkono hoja! Ukimwambia ailete hii mada kwa kingereza atatoka nduki hatari@
 
Hoja yako haina mashiko kihoja.

Rais mstaafu, Mzee Mwinyi ni mfupi sana lakini pamoja na kuwa public figure hatujawahi kumuona aki-act kama hoja zako zinavyodai.

Mwingine ni Mzee Kawawa...

Kwa watu walioishi Japan na sehemu za Asia kama ufilipino ambako watu wake wengi ni wafupi watapingana na hoja zako.

The list goes on and on
Kweli kabisa! kama mzee Mwinyi pale aliponaswa Kelbu na kijana wa Madrassa naye akasikitika kwa kutikisa kichwa tuu ndio nilipomvulia kofia ya uvumilivu. Imagine bwana Ngosha awe kastaafu umkate kelbu sii ule mguu wa kuku anaotembea nao kiunoni utakukoholea!
 
Back
Top Bottom