Wanabodi
Declaration of interest, mimi ni mtu mfupi na nina tatizo la kutokubali kudanganywa kirahisi, ila hawa sikasiriki sana kivile.
Hili ni bandiko la swali juu ya political psychoanalysis kuhusu ya saikolojia ya wanasiasa wetu kwenye mambo ya body anatomy na mambo ya morphological kuhusu maumbile ya watu, urefu, ufupi, unene, wembamba etc, kuna hoja kuwa watu wafupi wana matatizo ya kisaikolojia yanayoleta tatizo liitwalo inferiority complex zinazo wafanya wakose confidence hivyo ku practice superiority complex wanapoudhiwa wanakuwa wakali kweli kweli na huchachamaa!.
Sasa inapotokea watu wafupi hawa kujihisi wamedharauliwa halafu kudharauliwa kwenyewe of all the people kuwe ni kudharauliwa na mwanamke halafu mwanamke mwenyewe awe amemzidi urefu huyo mtu mfupi, hivyo kujihisi huyo mtu anamdharau kwa kumuangalia kwa chini! , can you imagine itakuwaje?.
Kisheria acting under provocation ni defence kuwa mtu akiudhiwa anaweza kufanya lolote, ila ukiwaudhi wafupi hawa be very careful maana anaweza kushika chochote na kukudhuru!.
Watu hawa huwa wana bust with rage, kama ana pistol anaweza kuua!. Kuna hiki kisa sijui kama ni cha kweli. ..kwenye kampeni fulani kuna mgombea mrefu alimtibua mgombea mwenzake mfupi, yule mfupi alikasirika hadi kumpiga gongo la kichwa yule mrefu akaanguka akazimia.
Jee hoja hizi zina ukweli wowote?. Jee urefu wa mtu una uhusiano na mambo ya confidence and lack of confidence?.
Ndio maana kwenye board rooms kiti kimoja hufanywa kirefu, kiti cha mfalme huwa kirefu, etc.
Mimi ni single hand driver, nikiendesha gari za juu SUV nakuwa very confident ila nikiendesha gari za ndogo kama Nissan March or VW Golf nakosa kabisa confidence!.
Tukija kwenye siasa tuelekee moja kwa moja Bungeni kwetu kule Dodoma, kuna Mhe. Mbunge mmoja mfupi ni so notorious kwa kutukana!. Inawezekana hiyo notoriety inatokana na ufupi wake?.
Ukipima kiwango cha utovu wa nidhamu wa baadhi ya wabunge wetu tukilinganisha na adhabu walizopatiwa kwa utovu huo, is there a proportionality or any correlations kati ya heights zao na kiwango cha wanavyokasirika? .
Angalizo: Mambo ya political psychoanalysis ni mambo ya ma GT only. Ma GT huwa hawa discuss watu, wana discuss ideas, hivyo sitarajii kuona majina yoyote yakitajwa tajwa humu.
Paskali
alimpandia stuli kamtandikaKumbe aliyemtandika rungu ni wa chama chake pia?!!!
Naomba kujua huyo aliyemdunda mwenzake rungu kimo chake ni sentimita ngapi ili nimalizie utafiti wangu.
Bahati nzuri Mzee Mwinyi ni Mwalimu (by Profession ), amesoma Psychology . . , kwa hiyo ni mtu aliyefunzwa kujikagua madhaifu yake na kujirekebisha . .Hoja yako haina mashiko kihoja.
Rais mstaafu, Mzee Mwinyi ni mfupi sana lakini pamoja na kuwa public figure hatujawahi kumuona aki-act kama hoja zako zinavyodai.
Mwingine ni Mzee Kawawa...
The list goes on and on
Ufupi ndio umesababisha haya
ukiona hivyo ujue hawakuwa na confidence ya kutosha.Hoja yako haina mashiko kihoja.
Rais mstaafu, Mzee Mwinyi ni mfupi sana lakini pamoja na kuwa public figure hatujawahi kumuona aki-act kama hoja zako zinavyodai.
Mwingine ni Mzee Kawawa...
The list goes on and on
JobHivi job na John nani mfupi zaidi
halafu nasikia katika sisi wanaume,kuna baadhi ya wenzetu ni "wafupi kwenda juu ila ni warefu kwenda chini".Naomba niulize, ufupi unaanzia sentimita ngapi?? Ili tujue Nani mrefu Nani mfupi...
Mtoa mada ameomba msitaje majina.Bandiko lake lipo very clear. Hey ma Great thinkers!!! Read btn lines.Mnataka mwenzetu Atekwe??mana mpaka Leo Ben hatujui Yupo wapi japo nasikia analeft magroup.Huu mchezoooo.......Inafahamika kuwa maji ya bahari yana chumvi, kiasi hata samaki wa baharini huitwa wa maji chumvi. Lakini ipo bahari ambayo maji yake hayana chumvi.
Mzee Mwinyi ni exception, na mimi namkubali sana yule mzee kwa FALSAFA yake ya watu kuwa HURU. Mungu ampe maisha Mzee Mwinyi...mzee asiye mlafi.
Wanawake wafupi asilimia kubwa ni Wapole sana, wanapenda sana kuonewa huruma tofauti na wanawake warefu, wanaume wafupi asilimia kubwa ni wakorofi kwa sababu hawajiamini ukikorofishana nae wengi ukimbilia kwenye ugomvi wanahisi unamdharau kwa sababu ya ufupi wake.upo sahihi mkuu mara nyingi na kwa watu wengi hua hivyo......hata kwenye mahusiano wanawake wafupi na wembamba hua watata saana na wana midomo kwelikweli, akiangaza kuongea utafikiri kameza memoery card ya tela byt 10000000