Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 8,191
- 9,851
Watanganyika, hatupaswi kuendelea kuwa katika hali ya ulegevu huu — ni wakati wa kuamka na kuchukua hatua kwa mustakabali wetu.
Cc. Pascal Mayalla
Cc. Pascal Mayalla
Amekaatwa na nani?Nasubir Comeback ya Ole Sendeka baada ya kukaatwa
Jamaa una akili sana
Yule anapita amefanya kaz nzuri kuibuwa majoka yalio kuwa yamelala... operation ilikuwa ngumu sanaKasalimika?
Huyu kijana wa Aza amepikwaaaa sijuwi watafanyeje na ana wazeee wazito sana mtu alie kuwa kwenye mchakato kuja pewa Taifa sio mchezo... well tusubiliHow it is started ... How it is going...!View attachment 3404760
Mzee machozi,Kambamarope,Mzee wa Manerumango,Mzee wa Buuukooobaaa,Mzee wa Gombe,Bibi wa kwa Mwakipesilee,Muzee ya Ilaalaa na Wazee wote wasioamini juu ya wale wahuni wa mapangoonii.Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
😂😂😂Makonda alivyo mroho, hageuki nyuma ng'oo, angalia atakavyowakana wenzie; Jamaa ni Bonge la Yuda eskalioteeeee..
Bonge la movie mchekin dogo ndio mjue rangi yake harisi atakavyokata mauno, usibadili channel!
Duh!Ummy kuna ''za chini chini'' kuwa alikuwa anamsema ''mama'' vibaya. Kuwa hastahili kuwa hapo alipo, hana uwezo na ni mlevi.
Labda wawe wamemteka wakati huoKuna about turn inaweza kufanyika wakishindwa kumdhibiti halfray kwamba hii barua ni fekiView attachment 3404343View attachment 3404344
Where to?Alishajiongeza.. Alituma barua akiwa tayari ndani ya pipa😀