Je kuna uasi unanukia chamani?

Je kuna uasi unanukia chamani?

Nafikiri kumgusa Makamu wa Rais, Waziri mkuu, Mpina, Gwajima, Kanisa Katoliki, Kinana, wimbi la kukata kihuni baadhi ya wabunge ..... nina hofu.... 2015 walipambana na Lowasa .... time hii watapambanq na mfumo ndani ya mfumo ..... sioni dalili njema kwenye vita inayonukia ...... Tuliombee Taifa
Hakuna namna, lazima apatikane mgombea urais mwingine.
 
Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
Usisahau kauli ya msemaji wa jeshi la wanainchi kuhusu watu kutumia vyeo vyao kutaka vijana wao waingizwe jeshini pasipo kufuata kanuni za kijeshi ile kauli haikutokq bure bure ni kauli inayoitaji jicho la kiroho kujua sasa ni muda wa kununua vyakula kwa wingi na kuweka ndani kuwa na uhakika wa kula hata mwaka mmoja pasipo kwenda soonish
 
Umeona mbali.. Umewaza deeply
 
Tujikumbushe yale makundi matatu ya CCM
1. Mafikizolo
2.Gweregwere na
3......

Halafu tujiulize haya makundi yanaelewa 4R? Je yalishakubaliana kukubaliana?.
Kama yalizimwa na kundi moja kwa nguvu ni sawa kuona tuyaonayo na yatakayoonekana.
 
Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
Anacholalamikia Pole pole yeye ndo kakitengeneza nashangaa watu wanavyomuona shujaa kwa kujiuzulu .
 
Usisahau kauli ya msemaji wa jeshi la wanainchi kuhusu watu kutumia vyeo vyao kutaka vijana wao waingizwe jeshini pasipo kufuata kanuni za kijeshi ile kauli haikutokq bure bure ni kauli inayoitaji jicho la kiroho kujua sasa ni muda wa kununua vyakula kwa wingi na kuweka ndani kuwa na uhakika wa kula hata mwaka mmoja pasipo kwenda soonish
Yeremia ngap hyo ww mtabiri wa chadema ulie canada
 
Jamani kitu gani kwani wao ndio wanastahiki kua wabunge kushinda watanzania wengine?cmon guys.
Nadhani hujaelewa tunachojadili. Ungejuwa tulitamani hata huu ubunge feki waliomalizia wasingekuwepo. Watu tunataka mageuzi na wapatikane wabunge wa kweli na siyo hawa feki. Hata wakiondolewa hawa wanaoingia hawana tofauti au wanaweza kuwa wabaya zaidi.
 
Tujikumbushe yale makundi matatu ya CCM
1. Mafikizolo
2.Gweregwere na
3......

Halafu tujiulize haya makundi yanaelewa 4R? Je yalishakubaliana kukubaliana?.
Kama yalizimwa na kundi moja kwa nguvu ni sawa kuona tuyaonayo na yatakayoonekana.
Kulitokea mgogoro mkubwa wa maslahi
 
Back
Top Bottom