Je kuna uasi unanukia chamani?

Je kuna uasi unanukia chamani?

CCM wanawatengenezea kinyago kingine, huyo dogo ni mpango aje, atue chama flan cha upinzani.
Wabongo wasahaulifu sana.
inawezekana ikawa kama ile movie ya Lowasa ,majamaa wakahamia chama cha chauma .Alafu ili kuinogesha movie hawa public figure wa ccm waliokatwa ubunge wahamie huko alafu mgombea urais awe mtu kama Lukuvi, Majaliwa au Polepole lazima watu wawe mateka kwa hii collabo.
 
Kwa CCM hakuna kima atanyanyua ht pua, CCM ni zaidi ya uijuavyo.
Unaongelea ile CCM timamu ambayo mtu mjinga alikuwa hathubutu kugusa hata mlango wa kuchukulia form za kuomba uongozi, CCM iliyokuwa na rais anayefanana na nafasi sio hii ambayo hata baba levo na mwijaku wanaona wanastahili kuwa wabunge bila hata hata kujua kazi ya mbunge ni nini.Yaani ccm mdebwedo!
 
Hamna uasi wowote. Wananchi walivyo waoga ndio chamani wapo hivyo hivyo.
 
Kutoka kwa Gwajima, was a sign, ule ujasiri lazima una backup, hii meli inaanguka, unawezaje mtendea vile Lisu jamani?
Kweli, hii nchi itakua ngumu come October kwenda mbele.... Wenye damu yao wanadai.... Sijui nani atapona🤔
 
Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
Yaani mpaka sasa chamani huko kunawak moto sema wanajitahidi kuuzuia lakini wapi.
Na lepolepo ndo kaamua kulianzisha nanchinihapaharudi ndo atakuwa ataishi nje kuwavua nguo kama ngurumo
 
IMG-20250713-WA0044.jpg
 
Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325

Slow Slow nadhani kuna kitu kinakuja.

Katelefoni kama mzee PLAN wameamua kujiweka Pembeni.

February Marope mzee wa Ligi PaF nYAKU pAF kUMBAJa.
 
Back
Top Bottom