Kwa mujibu wa Katiba hii ya Nchi ambayo wana Ccm wote pamoja na wanaoisoma namba hivi sasa Waliiridhia sioni ni kwa namna gani kijikundi kidogo ndani au nje ya Chama kinaweza kuwa na Ubavu wa kumtingisha Mwenyekiti ambaye pia ndiye Mkuu wa Nchi 😳😳🙄🙄 🤷🏾♂️ !
Ngoja Tusubiri tuone hii movie 🎥 !
Soon na wao wataanza kuimba wimbo mmoja -:
Katiba mpya bora ni muhimu 🎶🎵🎶🎵😅😂🤣 !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.