mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,789
Namsubiri na wambura nae hapo ndio nitajua kweli .vinginevyo hakuna jipya
Lissu kaingiaje hapa,Kutoka kwa Gwajima, was a sign, ule ujasiri lazima una backup, hii meli inaanguka, unawezaje mtendea vile Lisu jamani?
MajaliwaNisanueni wajumbe who is katelephoni?😃😃😃
Mbona kama wakiamua kufanya Jambo linawezekana?Hii list n ndefu alafu nzito
1. Philip
2. Kassim
3. Job
4. Bashiru
5. William
6. Josephat
7. Luhaga
8. Humfrey
9. Ole
10. January
11. Nape
12. Abraham
13. Kwa mbaali Hussein
Hawashindwi hata kidogo uzuri backup ya magufuli ndio itawapa nguvu zaid, ni muda wa wao kuamua jambo na kuanza kufanyia kazi.Mbona kama wakiamua kufanya Jambo linawezekana?
Bora wafanye, nchi inahitaji MabadilikoHawashindwi hata kidogo uzuri backup ya magufuli ndio itawapa nguvu zaid, ni muda wa wao kuamua jambo na kuanza kufanyia kazi.
Sasa kama n majaliwa mbona kwenye andiko katajwa tena Kasim?Majaliwa
Na team NRNE itaongezekasio uasi bali mpasuko ambao unatokana na maslahi binafsi,au kutengwa hivyo mara tu ccm itakapotangaza wagombea wa ubunge,basi hapo ndipo mpasuko mkubwa utatokea
Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October
Cc BritaniccaJe hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
Kivipi, alietamani Lisu aje kuzichapa na mazei;Nasubir Comeback ya Ole Sendeka baada ya kukaatwa
Katelephone mtoe hyo anaenda kuchukua nafasi ya nchimbi kukiokoa chama.Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
KatelefoniSasa kama n majaliwa mbona kwenye andiko katajwa tena Kasim?
Ni wajinga pekee huamini katika dolaTuna dola watakaoleta za kuleta tutafanya yetu.
Makonda alivyo mroho, hageuki nyuma ng'oo, angalia atakavyowakana wenzie; Jamaa ni Bonge la Yuda eskalioteeeee..The rise of SKMG?
July ndo hii; hatuwezi kukubali kuongozwa na kibibi kijinga📌Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325