Je kuna uasi unanukia chamani?

Je kuna uasi unanukia chamani?

Wakati mwanaume anatumia akili kufanya maamuzi, mwanamke huwa anatumia hisia.

Utasikia "yaani baba fulani huna hata huruma na mkeo, unathamini sana ada ya shule wakati mwenzako huko nje wananicheka eti nimechakaa? Hunipendi ndio maana haunipi pesa ya saloon." Sijaongelea mambo ya kusuka lakini
 
Bila ya kujali mtu zamani alikuwa wapi, alifanya nini, mahali tulipo, ambapo Tanganyika inafanywa kuwa koloni la waarabu, watanganyika wanatekwa na kuuawa ili kuhakikisha mtawala kibaraka wa waarabu anaendelea, ili akamilishe uporwaji wa rasilimali za Tanganyika; yeyote anayepinga uharamia huo, lazima aungwe mkono.

Ila hili la Polepole yawezekana ni mbinu ya CCM kuwavuta watanzania kuiunga mkono CCM wakati Sa100 atakapoondolewa kuwa mgombea. Lazima watafute mgombea ambaye ataonekana anapinga uchafu uliopo, japo akiupata uongozi anaweza kufanya uchafu ule ule.
 
Nimeweka la Poleole , sidhani kama ni kweli, ana guts za kuandika hivyo na akabaki salama?
Ndiyo ilivyokua nyepesi na rahisi kiasi hicho, watu wanaingia na kutoka, na kuongea nao, njaa na ubinafsi ndiyo vinatesa, huyu kaamua. Hamna cha TISS wala nini, shukuru tu JWT wanajua Katiba iheshimiwe, Polisi wangejijua nao wangekaa mbali na CCM zamani, wafanye kazi zao tulizowatuma Katika katiba
 
😂😂😂
IMG-20250714-WA0029.jpg
IMG-20250714-WA0026.jpg
 
Bila ya kujali mtu zamani alikuwa wapi, alifanya nini, mahali tulipo, ambapo Tanganyika inafanywa kuwa koloni la waarabu, watanganyika wanatekwa na kuuawa ili kuhakikisha mtawala kibaraka wa waarabu anaendelea, ili akamilishe uporwaji wa rasilimali za Tanganyika; yeyote anayepinga uharamia huo, lazima aungwe mkono.

Ila hili la Polepole yawezekana ni mbinu ya CCM kuwavuta watanzania kuiunga mkono CCM wakati Sa100 atakapoondolewa kuwa mgombea. Lazima watafute mgombea ambaye ataonekana anapinga uchafu uliopo, japo akiupata uongozi anaweza kufanya uchafu ule ule.

View: https://youtu.be/8oVTtfCKXO0?si=PKh_LAr4ch4NzT-z
 
Back
Top Bottom