Je kuna uasi unanukia chamani?

Je kuna uasi unanukia chamani?

Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
Lukuvi naye kaliwa kichwa kwenye ubunge. Ummy naye kaliwa kichwa kwenye ubunge. Kuna kitu
 
Kuna about turn inaweza kufanyika wakishindwa kumdhibiti halfray kwamba hii barua ni feki
Screenshot 2025-07-13 at 13.23.03.png
Screenshot 2025-07-13 at 13.23.14.png
 
Nafikiri kumgusa Makamu wa Rais, Waziri mkuu, Mpina, Gwajima, Kanisa Katoliki, Kinana, wimbi la kukata kihuni baadhi ya wabunge ..... nina hofu.... 2015 walipambana na Lowasa .... time hii watapambanq na mfumo ndani ya mfumo ..... sioni dalili njema kwenye vita inayonukia ...... Tuliombee Taifa
 
time hii watapambana📌🔨❗💥 na mfumo ndani ya mfumo .
 
Back
Top Bottom