maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,774
- 2,297
Wana jamvi naamini hamjambo wote
Wakati tunasubiri kuzaliwa kwa bwana wetu yesu kristu kwa wale wakristu ebu tujaribu kufikirisha bongo zetu na mada hii hapo juu. Ukisoma isaya 18 yote ni fupi tu kuna habari ya kusisimua ya nchi iliyoweka bendera yake juu ya nchi na kitabu chenyewe ni cha nabiii. Je unabii ule unahusu tanzania au ni nchi gani nabii isaya aliongelea.
karibuni