Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

Asikutingishe imani atakuwa za""thibitisha kama yupo"" mara sijui logic
Hawa ndo wale kwenye Bible imeandikwa siku za mwisho watakuja na doubts kutu fanya tukose imani...

Ila Kuna wale Mungu kasha gusa maisha yao, hao hakuna kitakacho watingisha
 
Una
wewe? imekuaje kwani nashindwa kuelewa
Unataka apipitie magumu gani unaona wewe NI mazito?
Mleta Mada kaeleza vizuri kuwa kwa mambo yanayoendelea duniani Mungu na Uwezo wa Mungu uko wapi? Hizo neema zake na Ukuu wake unaonekana kwenye nini?
 
hujawahi pitia mambo ukaona kama hakuna Mungu😀😀😀
na hujawahi ponea chupuchupu kwenye shida au msala unajua kabisa ulikua hutoboi yaani unajua kabisa hapa ni Mungu tu😀😀
Bahati sio Mungu
 
Kuhoji sio kutokujua bali kujiuliza kwanini unahisi nafsini mwako yupo..
Kama ungekuwa unajua kwa uhakika kabisa Mungu yupo, Swali la "Je kuna Mungu?" Lisingekuwepo.

Kwa sababu huwezi kuulizia kitu ambacho tayari unajua kipo.

Ni sawa sasa hivi uanze kuuliza, "Je Samia Suluhu Hassan ni Raisi wa Tanzania?" Wakati tayari unajua kabisa ni Raisi.

Sasa na kwa Mungu ni hivyo hivyo, Huyo Mungu angekuwepo kweli, Wala kusingehitajika kuulizia uwepo wake.

Kwa sababu tayari kila mtu angejua Mungu huyo yupo kwa uhakika kabisa bila hata kuamini na kuuliza.
I was once a non believer ila nilipo fikia the verge of breaking na akaingilia kati kuni okoa.. Hapo si kutaka hata kuuliza kwanini yupo
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Kwa hiyo kuwa "believer" haimaanishi kwamba ukiaminicho kina ukweli bila uthibitisho.

Kwanza lazima uthibitishe uwepo wa huyo Mungu na sio kuamini tu.
 
Pole sana mkuu

Kuhusu Mungu.. Inabidi uishi kwa faith. Mungu si kitu wala mtu.. Mungu ana encompasate kila unacho kiona, kuhisi na kufikiri..

Ndiye muweza wa yote kama maandiko ya navyo sema.

Amini unacho amini lakini jua yupo na ndiye aliyesababisha wewe uwepo.

Ukifanya haya hautateseka sana..

Tatizo sio yeye, tatizo ni swali kuhusu uwepo wake.
Hiyo ni sifa ya asili(nature) na Sio Mungu
 
Ushaingizwa na wewe kwenye mfumo
Mfumo upi mkuu?
Kama ni Mungu kwakweli sina mzaha kabisa.. Kwa niliyo pitia Wacha kama ni siri iwe yangu tu. Maana ni dhahiri hakuna mwingine anaye weza kujua nilicho experience ndani yangu
 
Mfumo upi mkuu?
Kama ni Mungu kwakweli sina mzaha kabisa.. Kwa niliyo pitia Wacha kama ni siri iwe yangu tu. Maana ni dhahiri hakuna mwingine anaye weza kujua nilicho experience ndani yangu
Na wakati unakipitia alikuwa hayupo?
 
Kuhoji sio kutokujua bali kujiuliza kwanini unahisi nafsini mwako yupo..

I was once a non believer ila nilipo fikia the verge of breaking na akaingilia kati kuni okoa.. Hapo si kutaka hata kuuliza kwanini yupo
Hiyo ni bahati tu na si vinginevyo.
Alikuotesha mbawa ukapaa?
Kama sio umejuaje ni yeye?
 
Ukitaka kujua Mungu yupo jibu sahihi wanalo washirikina....
Nguvu ya Mungu ipo dhahiri kwenye dimension zingine nje ya hii yetu
(Na Kuna sababu ya kwann ipo hivi
Kwa nini mnahangaika kumtetea na kumuelezea huyo Mungu?

Kama yupo, Si ajitokeze mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea, kama ana huo uwezo?

Kwa nini nyie muongee kwa niaba yake?

Kama yupo, AJE na AJITOKEZE Yeye mwenyewe.

Sio nyie mnahangaika kumtetea na kumuelezea.
 
Back
Top Bottom