Bongo Contents
Member
- Jan 17, 2024
- 47
- 71
- Thread starter
- #61
Wabongo mnapenda ACNililala Lodge moja njiapanda ya mtoni kijichi 20k na ina AC
Wabongo mnapenda ACNililala Lodge moja njiapanda ya mtoni kijichi 20k na ina AC
Dar joto ni kali hata ukiwasha feni kuna wakati inazungusha hewa ya moto tu.Wabongo mnapenda AC
Nichek Chap, Nikuweke sehemuHabarini ndugu zanguni
Mimi hua napenda kuishi kwenye apartments kama zile za Upanga ila ndio million moja point ya papo hapo kulipia miezi kadhaa kwangu ni mtihani.
Hivyo nilikua nauliza kwa wanao zifahamu lodge au hotel kali za 15,000 mpaka 20,000 kwa siku. Wanisanue, Angalau ziwepo haya haya mazingira yaliyochangamka kibiashara Dar es Salaam.
Asanteni
Tafuta b & b ila pia si kwa bei hiyoSina hela ya kwa miezi, nina hela ya kwa cku. Pia sihitaji kununua vitu, nahitaji vyakukuta