Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

Jan 17, 2024
47
71
Habarini ndugu zanguni

Mimi hua napenda kuishi kwenye apartments kama zile za Upanga ila ndio million moja point ya papo hapo kulipia miezi kadhaa kwangu ni mtihani.

Hivyo nilikua nauliza kwa wanao zifahamu lodge au hotel kali za 15,000 mpaka 20,000 kwa siku. Wanisanue, Angalau ziwepo haya haya mazingira yaliyochangamka kibiashara Dar es Salaam.

Asanteni
 
Kwann usipange ghetto lako mkuu?
 
Watanzania walio wengi ni Maskini, na hatutaki kuishi kwenye uhalisia/vipato vyetu. How comes mtu uwe unatamani kuishi kwenye apartments za 1.8m kwa mwezi huku uwezo wako ni wa kulala kwenye lodge ya Tshs 20K this is ridiculous.

Ila wahenga wametuachia memories "Kupanga ni kuchagua" na kila mtu anao utashi wa kufanya hivyo.
 
Watanzania walio wengi ni Maskini, na hatutaki kuishi kwenye uhalisia/vipato vyetu. How comes mtu uwe unatamani kuishi kwenye apartments za 1.8m kwa mwezi huku uwezo wako ni wa kulala kwenye lodge ya Tshs 20K this is ridiculous.

Ila wahenga wametuachia memories "Kupanga ni kuchagua" na kila mtu anao utasho wa kufanya hivyo.
Sasa hio 20k ukiipigia miezi sita c ni million 3 point, au wewe ndo hujanielewa
 
Habarini ndugu zanguni

Mimi hua napenda kuishi kwenye apartments kama zile za Upanga ila ndio million moja point ya papo hapo kulipia miezi kadhaa kwangu ni mtihani.

Hivyo nilikua nauliza kwa wanao zifahamu lodge au hotel kali za 15,000 mpaka 20,000 kwa siku. Wanisanue, Angalau ziwepo haya haya mazingira yaliyochangamka kibiashara Dar es Salaam.

Asanteni
Nakushauri uingie field kabisa, yaaani uingie mtaan kama hapo upanga upite kwa madalali au vijiweni useme unaulizia guest za bei flan ( 20k au 15k). kwasababu huko utakutana na wenyeji zaidi na utapata uhalisia.

Au ingia google map andika lodge au guest house, then focus na eneo unalotaka kupanga. mfano hapo upanga, utaviona kwenye ramani click 1 baada ya nyingine pale utakuta mawasiliano wapigie waulize bei.
Unaweza kupata labda sio kwa bei ila ni affordable price. check hizo image utanielewa.
 
Attachments

  • Screenshot_20240320-051701~3.png
    Screenshot_20240320-051701~3.png
    1.7 MB · Views: 6
  • Screenshot_20240320-051737~3.png
    Screenshot_20240320-051737~3.png
    1.6 MB · Views: 6
Habarini ndugu zanguni

Mimi hua napenda kuishi kwenye apartments kama zile za Upanga ila ndio million moja point ya papo hapo kulipia miezi kadhaa kwangu ni mtihani.

Hivyo nilikua nauliza kwa wanao zifahamu lodge au hotel kali za 15,000 mpaka 20,000 kwa siku. Wanisanue, Angalau ziwepo haya haya mazingira yaliyochangamka kibiashara Dar es Salaam.

Asanteni
Nenda kino au sinza kuna lodge za buku 10 mpaka 13k

Ila ukizoma taa kunguni wanakunywa damu kidogo alafu mule wahudumu wanatiza mzigo pia ni wewe tu.

Kwa 20k mbadala zhakeim pale unapata Safi kidogo
 
Nakushauri uingie field kabisa, yaaani uingie mtaan kama hapo upanga upite kwa madalali au vijiweni useme unaulizia guest za bei flan ( 20k au 15k). kwasababu huko utakutana na wenyeji zaidi na utapata uhalisia.

Au ingia google map andika lodge au guest house, then focus na eneo unalotaka kupanga. mfano hapo upanga, utaviona kwenye ramani click 1 baada ya nyingine pale utakuta mawasiliano wapigie waulize bei.
Unaweza kupata labda sio kwa bei ila ni affordable price. check hizo image utanielewa.
Umeelezea kama customer support Jamii Forums. Asante sana
 
Back
Top Bottom