Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

Habarini ndugu zanguni

Mimi hua napenda kuishi kwenye apartments kama zile za Upanga ila ndio million moja point ya papo hapo kulipia miezi kadhaa kwangu ni mtihani.

Hivyo nilikua nauliza kwa wanao zifahamu lodge au hotel kali za 15,000 mpaka 20,000 kwa siku. Wanisanue, Angalau ziwepo haya haya mazingira yaliyochangamka kibiashara Dar es Salaam.

Asanteni
Nichek Chap, Nikuweke sehemu
 
Wabongo bwana.... mtu kaulizia guest za elfu 15 hadi 20 kwa siku nyie mnaanza kumpa madarasa ya kujenga na kupanga.

Guest houses ndo maana ziko nyingi sana Dar. Zina watu wake. Kama huyu.

Unajua mpe jibu, hujui kaa kimya. Unadhani yeye hajui kama kuna kupanga na kujenga?
 
Back
Top Bottom