Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

sinza zipo nyingi tu za 15k tena nzuri kabisa pale mwenge kuna ambayo ipo nyuma ya kituo cha daladala ni nzuri sana ni 15k na ukilala mfano wiki nzima wanakufanyia 10k nilishalala sana hapo. ni nzuri sana sema tu ina fen haina AC
Huko kote tushalala enzi za bei 5000 tu.
Ila kwasasa chini ya 30,000 hunilazi popote.
Bora nimbonji home.
 
Habarini ndugu zanguni

Mimi hua napenda kuishi kwenye apartments kama zile za Upanga ila ndio million moja point ya papo hapo kulipia miezi kadhaa kwangu ni mtihani.

Hivyo nilikua nauliza kwa wanao zifahamu lodge au hotel kali za 15,000 mpaka 20,000 kwa siku. Wanisanue, Angalau ziwepo haya haya mazingira yaliyochangamka kibiashara Dar es Salaam.

Asanteni
wee jamaa umerogwa{samahani lakini},kwanini usitafute kiwanja ukajenga nyumba kali!! ngoja nikufundishe kanuni moja,,fungua fixed deposit account,kila siku weka elf ishirini,mwaka una siku 366,sasa fanya umewekeza kwa miaka 5,,utajikuta una milioni 36,600,000 {hapo ujajenga wewe pimbi???.............................formular====,,,,,,,,,20,000*366*5=36,600,000....anyway,hayo maisha unayopenda kuyaishi ndo wanaishi majambazi na wauza madawa ya kulevya,manake hawana future,mda wowote polisi wanakinukisha!!!..acha uboya wewe!!
 
Sio rahisi hivyo kama ulivyoandika hapa
 
Sio rahisi hivyo kama ulivyoandika hapa
mimi nimejenga pugu na mvuti kwa style hii mzee,,,,kwa kuanzia,nilipokuwa pale mlimani {chuo},,,nilikuwa nakula milo miwili tu!!!,asubui nakunywa supu na chapati mbili {wakati huo supu kali ilikuwa buku tu},,,mchana dafu {wakti huo dafu moja ni shilingi 500],,,,,usiku naenda pale changanyikeni kuna mama ntilie mmoja nilikuwa nawekeza pale kila mwezi nampa elf 28,so pale nilikuwa nakula aidha ndizi nyama,au wali maharage,au wali kibua,na hamna chakula kilichokuwa kikizidi 1200,,wiki end kuanzia ijumaa mpaka jumapili nilikuwa naenda home-sinza],,,kumbuka nilikuwa nachua boom,lakini wakati huohuo wazizi walikuwa wananipa kila mwezi laki 1,unaona bwana,,so ela ya boom yote niliifungia ndani ya fixed deposit account,,,na pale chuo nilikuwa nina burn cd kama biashara yangu na nilikuwa nawauzia wwenzangu{nilikuwa ninaburn nyumbani week-end kwa order maalum na kwenda kuwauzia wanafunzi wenzangu,,,,,,so wakati wenzangu wakiwa wanaenda disco bilicans,carlifornia dreamer,mimi nilikuwa sifanyi huo ujinga,wakati wenzangu walikuwa na ma-girl friend,mimi sikujihusha na mambo hayo,isipokuwa kusema ukweli,nilikuwa nikizidiwa,naenda paleshekilango,au pale ustawi wa jamii,nanunua kahaba,navaa mpira na maisha yanaenda [nilifanya ivo ili kupunguza gharama ya kulea mwanamke--mwanamke ana gharama sana]....eeeh sasa zile pesa za mauzo ya cd,nilidunduliza mpka nikafanikiwa kununua vitu vya saloon ya kiume [mikasi,viti 2,vioo,mashine 2 za kunyolea,poda na spirit,,,wazazi walivoona juhudi yangu wakanipangia frem[kwa gharama zao kusema kweli],,pale mitaa ya lion hotel,sinza,,nikamweka dogo akawa anakimbiza,,,ela zake nakimbiza bank,,,kuja kumaliza chuo,,nikawa na pesa si haba,,zile za saloon,na zile za boom,,,,,,basi baada ya kumaliza chuo zile pesa za saloon,nikaanzisha biashara ya kuchoma mbuzi{nyama choma,yaani nachukua mbuzi vingunguti napeleka bar moja nilikodi jiko pale manzese{biashara ilikuwa nzuri sana,ela ya boom nakumbuka nilinunulia kiwanja,,,,kusema kweli,nisije kudanganya,,wazazi walifurahia sana juhudi zangu,,,wakaninunulia tofali elf 3,mchanga lori mbili kubwa na kokoto lori moja dogo,,,nikapeleka izo vitu kweye kiwanja changu,,basi,,nikakubaliana na hardware moja pale gongo la mboto niwe napeleka ela mdogomdogo mpaka nifikishe cement mifuko 100,[kwa makadirio ya fundi]..wakati huo,pale kijiwe cha mbuzi bishara ishapanuka,nilikuwa nachinja mpaka mbuzi 3 kwa siku,week -end mpaka 5,sikukuu ndo usiseme,,,,so nikawa nagawa ela mara mbili [faida ya mbuzi] robo tatu napeleka hardware kwa makubaliano ya kimaandishi,,kilichobaki napeleka bank kwakumdundulizia fundi pesa yake aliyokuwa anahitaji kwa ajili ya kupandisha mjengo kumbuka wakati huo sina mpango wa kumiliki demu nikiogopa gharama na kupigwa tukio nisije pigwa 2kio nikapata stress nikatoka nje ya reli bure],,unaona bwana,,,basi baada ya muda mrefu kidogo nikafanikiwa kumaliza kulipia cement,na ela ya fundi,,,,,,,kilichobaki ikawa kuingia mkataba na mtu naesambaza maji ili ujenzi ukianza isiwe shida,,nikampata nikampa pesa yake na ujenzi ukaanza kwa kasi[majirani walifikiri mimi ni freemanson,,kumbe nyumba nilishaijenga kichwani pale ilikuwa kutekeleza tu]...MUNGU MKUBWA ile wanamwagilizia zege la kwenye lenter tu,,,mwanangu,paaap!!! nikaajiriwa sehem,,,,!!!!baada ya kumaliza brobation,nikakopa na kumalizia mjengo wangu!!!!!! "kkimsingi ni kuelewa maisha yanaenda kasi sana na wee lazima uende na kasi hiyohiyo,,,ebu fikiria unaishi kwenye apartment,,kila siku unalipa elf 20,,je ukipata BALAA la maradhi mazito utamkimbilia nani man!!!???..."THINK CRITICALLY MAZEE,,,,shauri yako!!
 
Sema wazazi wengne wapo so supportive una bahati...lkn sisi wengne ni kimbembe!
 
wee jamaa umerogwa{samahani lakini},kwanini usitafute kiwanja ukajenga nyumba kali!! ngoja nikufundishe kanuni moja,,fungua fixed deposit account,kila siku weka elf ishirini,mwaka una siku 366,sasa fanya umewekeza kwa miaka 5,,utajikuta una milioni 36,600,000 {hapo ujajenga wewe pimbi???.............................formular====,,,,,,,,,20,000*366*5=36,600,000....anyway,hayo maisha unayopenda kuyaishi ndo wanaishi majambazi na wauza madawa ya kulevya,manake hawana future,mda wowote polisi wanakinukisha!!!..acha uboya wewe!!
Huo ujinga unaohusu miaka mitano sifanyi, kama ni ushauri, shauri kitu kinachochezea miezi mitatu
 
mimi nimejenga pugu na mvuti kwa style hii mzee,,,,kwa kuanzia,nilipokuwa pale mlimani {chuo},,,nilikuwa nakula milo miwili tu!!!,asubui nakunywa supu na chapati mbili {wakati huo supu kali ilikuwa buku tu},,,mchana dafu {wakti huo dafu moja ni shilingi 500],,,,,usiku naenda pale changanyikeni kuna mama ntilie mmoja nilikuwa nawekeza pale kila mwezi nampa elf 28,so pale nilikuwa nakula aidha ndizi nyama,au wali maharage,au wali kibua,na hamna chakula kilichokuwa kikizidi 1200,,wiki end kuanzia ijumaa mpaka jumapili nilikuwa naenda home-sinza],,,kumbuka nilikuwa nachua boom,lakini wakati huohuo wazizi walikuwa wananipa kila mwezi laki 1,unaona bwana,,so ela ya boom yote niliifungia ndani ya fixed deposit account,,,na pale chuo nilikuwa nina burn cd kama biashara yangu na nilikuwa nawauzia wwenzangu{nilikuwa ninaburn nyumbani week-end kwa order maalum na kwenda kuwauzia wanafunzi wenzangu,,,,,,so wakati wenzangu wakiwa wanaenda disco bilicans,carlifornia dreamer,mimi nilikuwa sifanyi huo ujinga,wakati wenzangu walikuwa na ma-girl friend,mimi sikujihusha na mambo hayo,isipokuwa kusema ukweli,nilikuwa nikizidiwa,naenda paleshekilango,au pale ustawi wa jamii,nanunua kahaba,navaa mpira na maisha yanaenda [nilifanya ivo ili kupunguza gharama ya kulea mwanamke--mwanamke ana gharama sana]....eeeh sasa zile pesa za mauzo ya cd,nilidunduliza mpka nikafanikiwa kununua vitu vya saloon ya kiume [mikasi,viti 2,vioo,mashine 2 za kunyolea,poda na spirit,,,wazazi walivoona juhudi yangu wakanipangia frem[kwa gharama zao kusema kweli],,pale mitaa ya lion hotel,sinza,,nikamweka dogo akawa anakimbiza,,,ela zake nakimbiza bank,,,kuja kumaliza chuo,,nikawa na pesa si haba,,zile za saloon,na zile za boom,,,,,,basi baada ya kumaliza chuo zile pesa za saloon,nikaanzisha biashara ya kuchoma mbuzi{nyama choma,yaani nachukua mbuzi vingunguti napeleka bar moja nilikodi jiko pale manzese{biashara ilikuwa nzuri sana,ela ya boom nakumbuka nilinunulia kiwanja,,,,kusema kweli,nisije kudanganya,,wazazi walifurahia sana juhudi zangu,,,wakaninunulia tofali elf 3,mchanga lori mbili kubwa na kokoto lori moja dogo,,,nikapeleka izo vitu kweye kiwanja changu,,basi,,nikakubaliana na hardware moja pale gongo la mboto niwe napeleka ela mdogomdogo mpaka nifikishe cement mifuko 100,[kwa makadirio ya fundi]..wakati huo,pale kijiwe cha mbuzi bishara ishapanuka,nilikuwa nachinja mpaka mbuzi 3 kwa siku,week -end mpaka 5,sikukuu ndo usiseme,,,,so nikawa nagawa ela mara mbili [faida ya mbuzi] robo tatu napeleka hardware kwa makubaliano ya kimaandishi,,kilichobaki napeleka bank kwakumdundulizia fundi pesa yake aliyokuwa anahitaji kwa ajili ya kupandisha mjengo kumbuka wakati huo sina mpango wa kumiliki demu nikiogopa gharama na kupigwa tukio nisije pigwa 2kio nikapata stress nikatoka nje ya reli bure],,unaona bwana,,,basi baada ya muda mrefu kidogo nikafanikiwa kumaliza kulipia cement,na ela ya fundi,,,,,,,kilichobaki ikawa kuingia mkataba na mtu naesambaza maji ili ujenzi ukianza isiwe shida,,nikampata nikampa pesa yake na ujenzi ukaanza kwa kasi[majirani walifikiri mimi ni freemanson,,kumbe nyumba nilishaijenga kichwani pale ilikuwa kutekeleza tu]...MUNGU MKUBWA ile wanamwagilizia zege la kwenye lenter tu,,,mwanangu,paaap!!! nikaajiriwa sehem,,,,!!!!baada ya kumaliza brobation,nikakopa na kumalizia mjengo wangu!!!!!! "kkimsingi ni kuelewa maisha yanaenda kasi sana na wee lazima uende na kasi hiyohiyo,,,ebu fikiria unaishi kwenye apartment,,kila siku unalipa elf 20,,je ukipata BALAA la maradhi mazito utamkimbilia nani man!!!???..."THINK CRITICALLY MAZEE,,,,shauri yako!!
Good Story mkuu, ila mwaka huu hauishi, naitoroka hii nchi, hivyo kujenga hapa so plan zangu
 
ujue nini bro!!!,,mimi nina washkaji kibao nimesoma nao kuanzia secondary,wengine nimekutana nao vyuo mbalimbali nilivopita,jamaa waliokuwa wana ndoto za kwenda nje,waliofanikiwa ni wale tu walioenda kusoma mpka kufikia aidha kupata UPROFESA au PHD kwani huwa wanapata kazi nzuri yenye malipo makubwa sana au wale ambao wanaenda kufanya connection ya biashara ya kibiashara,aidha kuexport mali asili kama asali,mbao,vito vya thamani au mazao,,,nao hawa huwa hawasahau home huwa wanatuma mahela kwa wazai wao ili wasimamie ujenzi au kama wanakosa m2 wa kuwaamini,wanakusanya pesa,siku wakipata likizo,wanatafuta kampuni ya ujenzi wanaenda kwa mwanasheria wanaweka mkataba baina yao na hiyo kampuni kwa ajili ya ujenzo,,so ujenzi unaendelea,,,then siku akiamua kurudi home labda kwa uzee au maradhi basi anaingia kwenye nyumba yake,,lakini wale wanaonda kupangaiza huku wanaelimu robo,,aisee wanaenda kuteseka si kitoto,mimi nilisha kaa ITALY kama miaka 2 hivi,aisee kuna watanzania/waafrika wanafanya kazi za ovyo,sawa wanalipwa pesa nzuri,,lakini gharama ya maisha huko hailingani na ela wanazolipwa,,,,house rent ipo juu sana,,,na ukipanga kwenye apartment yenye mfumo wa kupamba na baridi ndo balaa!!! yaani wewe unawaona wakirudi wamepiga pamba sura zimetakata lakini hamna ki2 man!!!! ukishindwa kutoka tanzania ulaya hautoboi labda ukauze unga!!!!!! nakumbuka kuna miaka nilishafanya kazi GGM[geita gold] unaambiwa wazungu wengi mktaba wa kazi ukiisha akiambiwa haongezewi walikuwa wakilia sana
 
Unataka kuishi kwa muda gani? Nikupe hesabu.

Mfano ukapata sehemu ya 20k per day. Inamaana ni 600k kwa mwezi.

Sasa imagine ukitafuta single room ambayo ni self mwa 200k itavyokua classy.

Hafu the rest 400k kila mwezi ukawa una decorate room yako ndani ya mwaka unakua na room kali ambayo ukiwa haupo unaikodisha kama AirBnB.

images (1).jpeg

Mfano huo.

TV & Show case, Kochi na Coffee table, Jiko na friji. Na decorations ndogo ndogo.
 
View attachment 2941637

Mfano huo.

TV & Show case, Kochi na Coffee table, Jiko na friji. Na decorations ndogo ndogo.
Tatizo n hamna chumba cha kulipia kwa mwezi mmoja. Hio 200k ipige mara sita c n million moja point hayo mm ndo siyawezi, nitapoteza mtaji kwenye chumba.
 
Habarini ndugu zanguni

Mimi hua napenda kuishi kwenye apartments kama zile za Upanga ila ndio million moja point ya papo hapo kulipia miezi kadhaa kwangu ni mtihani.

Hivyo nilikua nauliza kwa wanao zifahamu lodge au hotel kali za 15,000 mpaka 20,000 kwa siku. Wanisanue, Angalau ziwepo haya haya mazingira yaliyochangamka kibiashara Dar es Salaam.

Asanteni
Utajulishwa
 
Back
Top Bottom