Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Za saa hizi jamani,
Karibuni wapendwa...
- Je kuna chochote kuhusu maisha yako ya awali ungependa kijirudie kama ungepewa nafasi hio ungechukua hatua gani?
- Kuna matendo uloyatenda ambayo huyafurahii ungependa uyaongelee na ukubali kwamba ni mkosaji,Uombe msamaha,hii ndo nafasi yako .Funguka useme ni nini?Ukiwa muwazi na kutambua yale unayoyataka,uliyoyatenda na kuyajutia ni mwanzo mzuri wa kufanikisha malengo yako
- Kuna mtu una chuki na kutokuelewana nae,Chukua nafasi hii na umsamehe .
Karibuni wapendwa...