Je kuna kitu ambacho ungekifanya tofauti

Je kuna kitu ambacho ungekifanya tofauti

I somtms miss my childhood experience...back then a world was a better place, no stress no worries no thinking wats next..
That disney world..long gone.

Otherwise..Let bygones be bygones

That depends on how great childhood you had!
 
!
!
hakuna nilichofanya ambacho sikukifurahia, yote niliyofanya ndio yanayaweza kunielezea leo hii. Yamenipa uzoefu mkubwa wa kwenda mbele. So no regrets so far. Kuhusu kumchukia mtu ilikuwa zamani kwani ubongo wangu hauna nafasi kwa ajili ya chuki.
kiroho safi.
Team no regreats.
 
!
!
hakuna nilichofanya ambacho sikifurahii, yote niliyofanya ndio yanayaweza kunielezea leo hii. Yamenipa uzoefu mkubwa wa kwenda mbele. So no regrets so far. Kuhusu kumchukia mtu ilikuwa zamani kwani ubongo wangu hauna nafasi kwa ajili ya chuki.
kiroho safi.
Team no regreats.
 
if you could turn back the time, what would you have done differently? What are your regrets gorgeousmimi?
i could control my feelings when i felt i was crazy in love and the second part was playing along their part and pretending to be in love.I could stop making a fool out of myself coz at the end of the day i was the one hurt….
 
Kitu ambacho napenda kukifanya ni ku have sex na msichana zaidi ya mmoja
 
najutia vingi lakini sina wa kumlaumu hata nifanyaje ndio vilishatokea then najikubali sana kwa lile nifanyalo hapa siwezi sema kuna mtu nina chuki naye basi nina chuki na mimi mwenyewe loo!!!! ni kwa neema tuuuuuuu na rehemaaaaaaaaaaaa
 
kitu ambacho nimekifanya na nakijutia ni kumtangaza my ex wangu tabia yake ya ukicheche,,nilitakiwa niwe mvumilivu wa kuhachana nae kistaraabu,hii kitu inanihumiza sana kichwa,,pia siwezi kumtrust tena msichana kama nilivyomtrust my ex gal,,,,,
 
kitu ambacho nimekifanya na nakijutia ni kumtangaza my ex wangu tabia yake ya ukicheche,,nilitakiwa niwe mvumilivu wa kuhachana nae kistaraabu,hii kitu inanihumiza sana kichwa,,pia siwezi kumtrust tena msichana kama nilivyomtrust my ex gal,,,,,
Ni vyema umelitambua kosa lako na madhara yake…ni funzo kwako ili baadae usirudie kosa hilo hilo.
 
Dah!! mie nina mengi sana mpaka hivi ninavyoandika bado yananiumiza, kila siku huwa najiuliza kama siku zingerudi nijisahihishe na kuondoa makovu ila ndo basi tena naukubali ukweli ila huwa naamini ipo siku nitasahau yote!!! kuna wakati huwa sijiskii kukaa na mtu naenda mbali peke yangu nalia sana huku nikimuomba Mungu najiskia afadhali!!!
 
Kuna mambo kama matatu hivi nilibug, sitaki kuyakumbuka make sina uwezo wa kuyafuta.

All in all yamenipa changamoto na akili ya kupambana zaidi na zaidi...

Sitaki kuruhusu moyo wangu ubebe majuto ya mambo yaliyopita, simlaumu mtu kwa kuna najua njia niliyopitua ndio njia iliyopangwa nipite ili nifike hapa nilipo....

Sipendi na huwa sitaki kuruhusu majuto katika maisha yangu, nikianza jufikiri ya nyuma huwa naumia mpaka naumwa. Hivyo basi majuto, malaumu na mawazo ya nyuma hayana nafasi katika maisha yangu ya sasa!
 
Huwa nasikitika sana nikikumbuka idadi ya wanawake ambao nimewaumiza kihisia .... Nilikua womanizer vibaya mno!
Kama mnasoma hapa sasaivi naomba mnisamehe!
 
i could control my feelings when i felt i was crazy in love and the second part was playing along their part and pretending to be in love.I could stop making a fool out of myself coz at the end of the day i was the one hurt….

Pole...such is life!
 
If i could go back,i would UNDO meeting this man that makes me think i can't love again..

wounded hearts.... Love yourself first, be a bit selfish, you won't be heartbroken by anyone!!..
 
Nafasi ya kumrudia msichana aliyenipenda but nikamuumiza but now she has a new life...
Ni siku niliyogombana na mama yangu nika overreact na kum attack lakini nashukuru tangu kipindi hicho sijawahi ruhusu hasira ziendeshe hisia na matendo yangu....

Kwa chuki hapana mie huwa najitahid kusamehe na kuchukulia mambo kawaida ili kuepuka kukasirika...
 
Nisinge shiriki KABISA mapenzi maana huwa nikienda ANGAZA nikikumbuka nilipo pitia huwa nakosa raha mno!Kupunguza haya mambo NINGEACHA kabisa ngono
 
Back
Top Bottom