Je kuna kitu ambacho ungekifanya tofauti

Za saa hizi jamani,

  • Je kuna chochote kuhusu maisha yako ya awali ungependa kijirudie kama ungepewa nafasi hio ungechukua hatua gani?
  • Kuna matendo uloyatenda ambayo huyafurahii ungependa uyaongelee na ukubali kwamba ni mkosaji,Uombe msamaha,hii ndo nafasi yako….Funguka useme ni nini?Ukiwa muwazi na kutambua yale unayoyataka,uliyoyatenda na kuyajutia ni mwanzo mzuri wa kufanikisha malengo yako…
  • Kuna mtu una chuki na kutokuelewana nae,Chukua nafasi hii na umsamehe….

Karibuni wapendwa...

sifurahii nilivyomsumbua babangu wakat nasoma sekondari,nahuzunika sana,ila najivunia leo bila yeye nisingefika hapa nilipo,hakukata tamaa kunisimamia kimasomo,na huwa najuta,nimeitia hasara sana familia kwa sababu ya elim,ila nilihuzunika alikata roho pasipo kunufaika hata na sumn ya jasho langu,nafurah alikata roho akiwa amenisamehe huku nikiwa pemben ya kitanda chake namuuguza,
swadaka zangu kwake ndo malipo yangu,
 
Namshukuru sana Mungu kwa wakati nilio nao sasa kwani naufurahia saaana. Historia itabaki kua historia tu.

Dah kuna mtu nilifanya nae kazi mwaka mmoja ulio pita, tulikua department moja. Alitokea kunichukia sana na sababu sikuzifahamu. Kazi nilimtrain mimi mpaka akawa mzoefu akaanza kunifanyia visa nichukiwe na kila anae nizunguka lkn hakufanikiwa, akatafuta namna nifukuzwe kazi akaishia kufukuzwa yeye. Shamsamehe
 
whatever happens is my life is a war against satan
 
Namshukuru sana Mungu kwa wakati nilio nao sasa kwani naufurahia saaana. Historia itabaki kua historia tu.

Dah kuna mtu nilifanya nae kazi mwaka mmoja ulio pita, tulikua department moja. Alitokea kunichukia sana na sababu sikuzifahamu. Kazi nilimtrain mimi mpaka akawa mzoefu akaanza kunifanyia visa nichukiwe na kila anae nizunguka lkn hakufanikiwa, akatafuta namna nifukuzwe kazi akaishia kufukuzwa yeye. Shamsamehe
Waandamu ni viumbe waajabu rafiki wakati mwengine tunaweza kujenga chuki zisizo na msingi hata kwa watu wanaotutendea wema,ili kuona tu wasifanikiwe…Najiuliza nakosa jibu sijui kwanini watu wengine hawapendi maendeleo ya wengine…Mi nikiona mwenzangu kaendelea nampa pongezi na kuongeza juhudi nami nifanikiwe….Pole kwa misukosuko uloiptia lakini mungu ametenda yake….
 
Asee sidhan kama nitabadilisha kitu mimi naamini nilifanya vile kwa sababu. Kuna mda mwingine uki regrets sana about past hauwezi kusonga mbele na sipendi sana kauli hizi jana ningefanya hivi ingekuwa vizuri..

sure,mdau
 
sifurahii nilivyomsumbua babangu wakat nasoma sekondari,nahuzunika sana,ila najivunia leo bila yeye nisingefika hapa nilipo,hakukata tamaa kunisimamia kimasomo,na huwa najuta,nimeitia hasara sana familia kwa sababu ya elim,ila nilihuzunika alikata roho pasipo kunufaika hata na sumn ya jasho langu,nafurah alikata roho akiwa amenisamehe huku nikiwa pemben ya kitanda chake namuuguza,
swadaka zangu kwake ndo malipo yangu,
Ujana maji ya moto Mkoroshokigoli,huo ulikuwa wakati wako wakuboronga…usijutie kutia hasara familia kwasababu ya elimu nasema hivyo kwasbabu hata sasa familia yako inanufaika na elimu yako,bila shaka unatoa msaada mkubwa kwao…nimefurahi kusikia kwamba mlikuwa na peace na mzee Mkoroshokigoli mpaka dakika za mwisho…awe na amani huko alipo
 
Last edited by a moderator:

Allah amfanyie wepes,aliuguzwa na watu baki kwa siku zote,alipiga kelele niende kumuuguza,siku nilolala nae hospital Allah akamchukua,ila alhamdulillah Maisha yanasonga,kumuombea mzazi wangu ndo jukumu langu kwa sasa,
 
Last edited by a moderator:
Waandamu ni viumbe waajabu rafiki wakati mwengine tunaweza kujenga chuki zisizo na msingi hata kwa watu wanaotutendea wema,ili kuona tu wasifanikiwe…Najiuliza nakosa jibu sijui kwanini watu wengine hawapendi maendeleo ya wengine…Mi nikiona mwenzangu kaendelea nampa pongezi na kuongeza juhudi nami nifanikiwe….Pole kwa misukosuko uloiptia lakini mungu ametenda yake….

Sure - Mungu ni mwema sana. Pale usipo padhania unamuona kwa namna ya tofauti. Marafiki ni watu wakuishi nao kwa akili sana. Shukrani
 
Namkumbuka rafki yangu mpendwa tuliachana 2010 mm nikaenda mjini moshi kusaka maisha wakat huo tukiwa na mtafaruku baada ya kumkuta akisex na dada yangu japo tulichukuliana kama ni hali ya udhaifu tu. Mwaka 2013 alinitafuta sana na tukabahatika kuwasiliana lakin kwa kipindi hicho alikuwa anaugua na aliomba msaada wangu wa kumpeleka kwenye matibabu zaidi kwasababu kidogo mm nilikuwa nafahamiana na madaktari specialist baada ya sku moja kuhitaji msaada wangu akawa amefariki dunia......
Ni jamaa ambaye tuliishi kwa shida na raha tangu utoto mpaka utu uzma.
Labda kama tungekuwa pamoja huenda angenusurika...... Niliumia na naumia sana kila nikimkumbuka jamaa yangu
 
Nna mengi lol....nkiandika ntaja magazetiii ya shigongo dah! So sad
 
I somtms miss my childhood experience...back then a world was a better place, no stress no worries no thinking wats next..
That disney world..long gone.

Otherwise..Let bygones be bygones
 
If i could go back,i would UNDO meeting this man that makes me think i can't love again..
 
What a mystery...why do u say tht mpenzi....i believe u can love again just some weeks ago u felt for someone ama:what::what:
 
i did,it was all wrong dr,just have to start all over again,nashindwa
 
Back
Top Bottom