Je kuna kitu ambacho ungekifanya tofauti

Je kuna kitu ambacho ungekifanya tofauti

Kama ingewezekana basi kila nilipoumiza nafsi moja ningetamani kufanya lile jambo bila ya kuumiza mtu...........yaani kutimiza matakwa yangu bila kuumiza wengine!!!!!!
 
ASANTE BESTITO KWA UKARIBISHO HUU

Awali yayote mm niseme wazi kuwa yale ya nyuma ambayo nilifanya vibaya sitaki kabisa kuyakumbuka na kuyaleta kwa nyakati hizi ila yale mazuri niliyofanya napenda niyaendeleze na kuyapa kipaumbele zaidi

na yote ya hayo napenda kuwasemehe wote walioniudhi na niliowaudhi kwa namna moja ama nyingine kwani mm sio malaika, hakuna binadamu ambaye hakosei chochote nataka nisonge mbele zaidi kwa malongo ya mbeleni TUGANGE YA MBELE
Za saa hizi jamani,

  • Je kuna chochote kuhusu maisha yako ya awali ungependa kijirudie kama ungepewa nafasi hio ungechukua hatua gani?
  • Kuna matendo uloyatenda ambayo huyafurahii ungependa uyaongelee na ukubali kwamba ni mkosaji,Uombe msamaha,hii ndo nafasi yako….Funguka useme ni nini?Ukiwa muwazi na kutambua yale unayoyataka,uliyoyatenda na kuyajutia ni mwanzo mzuri wa kufanikisha malengo yako…
  • Kuna mtu una chuki na kutokuelewana nae,Chukua nafasi hii na umsamehe….

Karibuni wapendwa...
 
I believe that everything does happen for a reason and in it's season as well. I don't regret any of the decisions i have made in my life both good and bad because out of them came out a lesson and it is what has made me become who i am today. Ila nimejifunza kitu kimoja maishani, do what you can when you can, because an opportunity once wasted it never comes back, after all we only live once.
 
1. Ningesomea masomo ya 'ngwini'

2. ningekuwa bruder
 
2007 nilikosana na my papa, nilimwambia sioni reason ya yeye kuwepo karibu nami. Nilijiweka mbali nae, nilijaribu kumkwepa mara kwa mara, 2008 waliponifata shule eti papa is dead, hiyo kauli yangu ilikua ikijirudia mara kwa mara, l wanted to let him know that l did love him very much, nilitaka kuexplain kwake kuwa yeye ni mtu muhimu sana kwangu, haikuwezekana na wala haitawezekana....

pole sana hapo nimejifunza "dont say a word if you dont mean it"
 
kitu ambacho nimekifanya na nakijutia ni kumtangaza my ex wangu tabia yake ya ukicheche,,nilitakiwa niwe mvumilivu wa kuhachana nae kistaraabu,hii kitu inanihumiza sana kichwa,,pia siwezi kumtrust tena msichana kama nilivyomtrust my ex gal,,,,,
pole sana
 
Ila nimejifunza kitu kimoja maishani, do what you can when you can, because an opportunity once wasted it never comes back, after all we only live once.
i agree with you thus why we dont have to waste an opportunity on 25 October 2015, change begins with you
 
Back
Top Bottom