johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,036
Ndio maana nimemuomba mtunga sheria mkuu mh Ndugai atusaidie kama wanabodi mnaafiki.Mtoa mada tangu hili bunge limeanzishwa ulishashuhudia wabunge wanaapa nje ya bunge? Je hizo kanuni unaona zipo sawa na katiba ya JMT ibara ya 68?
Kwani huwa yumo humu?Ndio maana nimemuomba mtunga sheria mkuu mh Ndugai atusaidie kama wanabodi mnaafiki.
Yumo!Kwani huwa yumo humu?
Yupo! Humu kila Mtu Yupo!Kwani huwa yumo humu?
Ndio maana huwa naona anajibu madongo anayotupiwa humu.Yumo!
Kila mtu yupo kivipi?Yupo! Humu kila Mtu Yupo!
Mtaalam Wa kanuni za bunge katika maspika wote waliopo na waliopita n Pius Msekwa tu.Spika Ndugai alisema kanuni za bunge zinaruhusu mbunge kuapishwa nje ya ukumbi wa bunge jambo muhimu ni lazima mbunge aape mbele ya Spika wa bunge..
Aisee kumbe.Mtoa mada tangu hili bunge limeanzishwa ulishashuhudia wabunge wanaapa nje ya bunge? Je, hizo kanuni unaona zipo sawa na katiba ya JMT ibara ya 68?
Mwanasheria Mkuu naye ni sehemu ya Bunge (a.k.a Bange baada ya uchafuzi mkuu). Huyu ndiye mtu sahihi wa kutoa ufafanuzi, ingawaje naye itategemea atashauriwa aseme nini kupitia mamlaka iliyopo juu yake.Spika Ndugai alisema kanuni za bunge zinaruhusu mbunge kuapishwa nje ya ukumbi wa bunge jambo muhimu ni lazima mbunge aape mbele ya Spika wa bunge....
Wana akaunti, wanaposti pointi na pumba pointi pia, lakini kikubwa wanachukua vitu vingi vizuri na kuvitendea kazi!Kila mtu yupo kivipi?