Je, kuna game kali lingine kama hili#Cover strike?

steve emile

JF-Expert Member
Nov 22, 2020
218
568
Niambie game kali lengine Play store
maxresdefault.jpg
 
Sidhani kama kuna game itakuja kuifikia PUBG duniani.

Unajua bro kwann nimesema NOVA3 ni kali ?? Pubg lina constant mission yani unajua kabisa nikifika sehmu fulan kuna adui au kuna kitu fulan

Ila hio haipo kwa nova 3 yani hilo game kama ulipita jana ukakuta sehmu fulan labda kuna snippers wa kiarabu kesho huwakuti yani unawinda na una windwa haina constant mission !! Ukichelwa kuokoa wezako unakuta something else

Ila kwa acceleration pubg ni best ila kwa mimi Nova 3 naipa namba 1
 
Back
Top Bottom