Je, kuna game kali lingine kama hili#Cover strike?

Je, kuna game kali lingine kama hili#Cover strike?

Playstore sijaliona.
Playstore sijaliona.
Playstore sijaliona.
Magame kama hayo huwez pata playstore nenda Google alf Tafuta obb file na. Data. Za hilo game ukimaliza unadownload Z achiever kweny play store kisha unaenda kuzi extract hizo data na obb file kupitia z archiver kwa maelekezo zaid unaweza kwenda you tube unaseararch how to extract a a game via z archiver unaweza saidiwa 🤞🤞
 
Pubg lina constant mission yani unajua kabisa nikifika sehmu fulan kuna adui au kuna kitu fulan
Wewe haujawahi kucheza PUBG, PUBG hauchezi na Computure, PUBG ni kama LAN party hivi unacheza na binadamu wenzako, ambao wanambinu zinazo badirika kila wakati, hakuna Algorithms wala, pre created character, unaingia online unajoin match watu waliojoin wakifika 100, match inaanza, hakuna sehemu PUBG ambapo match inaweza kufanana, sababu PUBG inachezwa na watu zaidi ya millioni 600 duniani kote.

Kumbuka kwenye PUGB hakuna kucheza na algo driven characters, game yote inachezwa actual human on the internet, everything ni unpredictable kama tabia za binadamu zilivyo na hakuna kitu kama constant mission kwenye PUBG ni survival yako na crew yako dhidi ya gamers wengine waliopo kila kona ya dunia.

PUBG sio IGI wala Call of Duties za zamani, sikuhizi games nyingi, ni kuchallenge fellow real human na si computer algorithisms, nenda kwanza kacheze PUBG kisha ndio uje kucomment kuhusu hii game mzee, subscribers zaidi ya millioni 600 sio mchezo asee ni zaidi ya asilimia 8.5 ya watu wote duniani wanacheza hii game.
 
offline game ni cove fire hii weka mbali na watoto ukicheza hii game ukamaliza bas utakuwa na sharp mind and eyes lol [emoji39]
 
Back
Top Bottom