wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,352
Ha ha ha., Shukran mkuu.Ndio ipo playstore. Ukiwa unaidownload andaa kama GB2 za bando. Kisha baada ya hapo kila kitu kitakuwa smooth..
Then ukiwa unajiunga weka option ya kuingia kupitia Facebook, hii itakusaidia hata ukifuta game au ukibadilisha simu info zako utazikuta vilevile maana Taarifa zako zitakuwa zimeseviwa kwenye server.
Baada ya kulicheza hizo game zote utaziona utopolo tu., na haitokaa itokee game kama PUBG never!!