Je, kuna game kali lingine kama hili#Cover strike?

Je, kuna game kali lingine kama hili#Cover strike?

steve emile

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2020
Posts
235
Reaction score
587
Niambie game kali lengine Play store
maxresdefault.jpg
 
Sidhani kama kuna game itakuja kuifikia PUBG duniani.

Unajua bro kwann nimesema NOVA3 ni kali ?? Pubg lina constant mission yani unajua kabisa nikifika sehmu fulan kuna adui au kuna kitu fulan

Ila hio haipo kwa nova 3 yani hilo game kama ulipita jana ukakuta sehmu fulan labda kuna snippers wa kiarabu kesho huwakuti yani unawinda na una windwa haina constant mission !! Ukichelwa kuokoa wezako unakuta something else

Ila kwa acceleration pubg ni best ila kwa mimi Nova 3 naipa namba 1
 
Wewe game kali na zinachallange ziko nyingi sana

Umecheza NOVA 3 orbit version

Hilo game ni kaliii yani kama muvie vile ! Kiukwel nalipenda kwasabab mission ziko nyingi na challenge za kutosha , snipers na nk


Watch demo hapa


View attachment 1672563
Near Orbit Vanguard Alliance ni hatari sanaaaaaaaa.
Limekaaa kama HALO ya kwenye X-BOX
 
Back
Top Bottom