Je, kuna game kali lingine kama hili#Cover strike?

Je, kuna game kali lingine kama hili#Cover strike?

Doo mambo ya mb za kutosha mzee au sio
Mkuu hazitumii mb nyingi nakumbuka nilikuwa na mb 15 tu nilicheza game mpak mission ikawa ngum ikanishinda nikaacha na mb zikanaki labda ukiwa na app nyingine zina run background
 
Ha ha Shukran mkuu nitaisaka, playstore? Na je ni kwa pc au sm coz natumia cm
Ndio ipo playstore. Ukiwa unaidownload andaa kama GB2 za bando. Kisha baada ya hapo kila kitu kitakuwa smooth..

Then ukiwa unajiunga weka option ya kuingia kupitia Facebook, hii itakusaidia hata ukifuta game au ukibadilisha simu info zako utazikuta vilevile maana Taarifa zako zitakuwa zimeseviwa kwenye server.

Baada ya kulicheza hizo game zote utaziona utopolo tu., na haitokaa itokee game kama PUBG never!!
 
Back
Top Bottom