Je, KKKT ni mpinzani mpya wa CHADEMA?

Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana.

Nimejiuliza je, KKKT ndo mpinzani mpya wa CHADEMA badala ya CCM? CHADEMA haioni kama inapoteza muda kushambulia kanisa? Haijui kuwa kiongozi wa kiroho anasikilizwa zaidi na watu kuliko kiongozi wa kisiasa? Askofu Malasusa kwa sasa ndo kabeba dhamana ya kuongoza waumini wote wa KKKT Tanzania na hivyo kumshambulia yeye ni kulishambulia kanisa zima. Athari zinazoweza kujitokeza ni CHADEMA kuzidi kupoteza zaidi kura zake kutoka kwa waumini wa KKKT.

Ninawashauri CHADEMA waache mara moja mashambulizi dhidi ya Askofu Malasusa. Haina faida yoyote kisiasa.
CHADEMA walifanya juhudi zote ashinde shoga Askofu Bagonza mwenziye Lissu walilala pamoja 2020 kwenye campaign. Wametumia hela, wametumia redio, na TV, na whattssap, lakini wapi!! Sasa hawana raha, Askofu kakataa maandamano.
 
Chadema wana usongo na KKKT kwa sababu ya mambo mawili:
1. Ask Shoo, ambaye ni mchadema, amemaliza muda wake na kuondoka.
2. Ask Bagonza, ambaye ni mchadema, alipigwa chini kwenye uchaguzi na Ask Malasusa ambaye siyo mchadema!
Hapo povu lazima tu liwatoke.
 
KKKT ni tofauti na RC. Malasusa hawezi wala hatarajiwi kuwaamrisha waumini wa KKKT wawe na msimamo gani kisiasa. Hata msimamo kiimani hawezi kuwalazimisha waumini wa KKKT wabadilike. Ni tofauti na RC ambao mara kwa mara utasikia wametoa waraka ambao unakuwa mwongozo kwa RC wote. Au Papa akitoa waraka unakuwa ni kama mwongozo kwa wakatoliki wote. Kwa kanisa la kilutheri hiyo haipo. Waluteri wanafahamu kama ni kiimani kitakachowapeleka mbinguni ni uhusiano wa mtu binafsi na Mungu wake na wala sio alivyojitahidi kufuata waraka uliotolewa na viongozi wake kama Askofu Mkuu au Papa
KKKT iko chini ya CCT do not worry
 
Wadau naomba kuuliza ni hvi hii ibada ya kumuingiza Malasusa kazini ,kwamba huko kazini ni wapi ?
 
Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana.

Nimejiuliza je, KKKT ndo mpinzani mpya wa CHADEMA badala ya CCM? CHADEMA haioni kama inapoteza muda kushambulia kanisa? Haijui kuwa kiongozi wa kiroho anasikilizwa zaidi na watu kuliko kiongozi wa kisiasa? Askofu Malasusa kwa sasa ndo kabeba dhamana ya kuongoza waumini wote wa KKKT Tanzania na hivyo kumshambulia yeye ni kulishambulia kanisa zima. Athari zinazoweza kujitokeza ni CHADEMA kuzidi kupoteza zaidi kura zake kutoka kwa waumini wa KKKT.

Ninawashauri CHADEMA waache mara moja mashambulizi dhidi ya Askofu Malasusa. Haina faida yoyote kisiasa.
Wakati wa Shoo walikuwa Wapinzani wa ccm na Waungan mkono wa Chadema

Ruwaiichi ni Mpinzani wa ccm na muunga mkono Chadema,Pengo alikuwa mpinzani wa Chadema na muunga mkono wa ccm.
 
Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana.

Nimejiuliza je, KKKT ndo mpinzani mpya wa CHADEMA badala ya CCM? CHADEMA haioni kama inapoteza muda kushambulia kanisa? Haijui kuwa kiongozi wa kiroho anasikilizwa zaidi na watu kuliko kiongozi wa kisiasa? Askofu Malasusa kwa sasa ndo kabeba dhamana ya kuongoza waumini wote wa KKKT Tanzania na hivyo kumshambulia yeye ni kulishambulia kanisa zima. Athari zinazoweza kujitokeza ni CHADEMA kuzidi kupoteza zaidi kura zake kutoka kwa waumini wa KKKT.

Ninawashauri CHADEMA waache mara moja mashambulizi dhidi ya Askofu Malasusa. Haina faida yoyote kisiasa.
Hapana, mpinzani ni huyo mmoja kizazi cha NYOKA
 
Hata bakwata na polisi ni matawi ya CCM kipi cha ajabu
Matawi ya CCM ndio hayo- polisi, wakurugenzi, cwt, bakwata, tiss, zitto, Lipumba, vile vyama vya siasa vile etc. Hawa jw wakifanya ile kazi ya chalamila jumatano nao rasmi watakuwa wamejiunga.
 
CHADEMA watajikuta wanakosana na kila taasisi na kujikuta wanabaki wanapuyanga wenyewe kama vichaa waliolaaniwa. CHADEMA ni lazima ujuwe kuwa kwa sasa hakuna anayeweza kuwaunga mkono kwa matusi na lugha chafu wanazowatupia viongozi wetu bila sababu. Vita wanayotaka kupigana na kanisa kwa hakika CHADEMA hawatafanikiwa zaidi ya kupata laana tu.
 
Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana.

Nimejiuliza je, KKKT ndo mpinzani mpya wa CHADEMA badala ya CCM? CHADEMA haioni kama inapoteza muda kushambulia kanisa? Haijui kuwa kiongozi wa kiroho anasikilizwa zaidi na watu kuliko kiongozi wa kisiasa? Askofu Malasusa kwa sasa ndo kabeba dhamana ya kuongoza waumini wote wa KKKT Tanzania na hivyo kumshambulia yeye ni kulishambulia kanisa zima. Athari zinazoweza kujitokeza ni CHADEMA kuzidi kupoteza zaidi kura zake kutoka kwa waumini wa KKKT.

Ninawashauri CHADEMA waache mara moja mashambulizi dhidi ya Askofu Malasusa. Haina faida yoyote kisiasa.

Kuna mtu yeyote amelishambulia kanisa la KKKT? Mimi sijaona hata mmoja.

Nimeona wengi wamemshambulia Malasusa kwa unafiki na kujipendekeza kwa Serikali.
 
Jamaa wameona mwakani uchaguzi wameamua kuwakumbusha wanachama wao kama wamo. CCM kuitoa madarakani ni kazi kweli kweli, ogopa sana Chama ambacho kina Mali za serikari na serikari Ina Mali za Chama hicho(ANC).
 
Kuna mtu yeyote amelishambulia kanisa la KKKT? Mimi sijaona hata mmoja.

Nimeona wengi wamemshambulia Malasusa kwa unafiki na kujipendekeza kwa Serikali.
Malasusa ni askofu mkuu wa KKKT kwahiyo kumshambulia yeye ni kuishambulia taasisi anayoongoza. Akishambuliwa Mbowe nyie CHADEMA mtanyamaza na kusema ni ishu yake binafsi? SIKU NYINGINE FICHA UPUMBAVU WAKO
 
Unaweza kujiona una akili na kuwaambia wengine wapumbavu, kumbe mpumbavu mwenyewe ni wewe.

Rais Samia ni Rais wa Tanzania. Watu wamemshambulia sana Samia kwa kuzigawa bandari zetu kwa DPW. Kwa akili yako ndogo, unaamini kuwa hawa Watanzania waliokuwa wakimkosoa Samia, walikuwa wanaikosoa Tanzania?? Kweli kuna watu mna akili matope.

Malasusa ameongea na kuweka wazi kuwa YEYE Malasusa alifundishwa kuitii Serikali (iwe kwa mambo mazuri au mabaya - hii ni akili matope). Na wala hakusema kuwa KKKT msingi wa imani yake ni kuitii Serikali. Na wala Malasusa hakutamka kuwa yale aliyokuwa akiyanena yalikuwa ni maoni ya KKKT.

Mtu mwenye uelewa, na mkweli na anayeipenda nchi yake, anatakiwa kuwa mtii kwa Jamhuri, siyo kwa Serikali. Serikali inaweza kuwa ya mahayawani, bado utaitii badala ya kuiondoa?
 
Back
Top Bottom