GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,647
- 109,036
ulitaka tujue uko puetarico
tumeshajua uko Puerto Rico
Acha kukariri wewe..The Bold angekuwa hajapigwa BAN angetufafanulia vizuri kweli..yule jamaa anayajua sana haya mambo ya intelijensia
poaAcha kukariri wewe..
Nini kimetokea..maana THE BOLD ni mtu makini kweli..lkn waropokaji naona "tupo" tu hatujui hata ban zinafananjeThe Bold angekuwa hajapigwa BAN angetufafanulia vizuri kweli..yule jamaa anayajua sana haya mambo ya intelijensia
The Bold alipata majanga juzi aisee, ilihusika na kupost jina la website yake na kuiweka link ndio maana akala ban aseeh..so sadNini kimetokea..maana THE BOLD ni mtu makini kweli..lkn waropokaji naona "tupo" tu hatujui hata ban zinafananje
Puerta Rico sio pa kujisifia ukienda!Mbona nipo huku siku nyingi sana Mkuu? Labda Wewe ni ' Mgeni ' Kwangu ila karibia 80% ya wana JF wanajua kuwa GENTAMYCINE naishi nchini Puerto Rico. Vipi unajisikia vibaya Mkuu kusikia Mimi naishi huku na Wewe mpaka sasa bado uko tu katika ' vumbi ' la Tanzania? Hata hivyo nitashukuru kama utanijibu swali langu.
Usingetaja uliko unadhani usingejibiwa? Au ungejibiwa usingeyaelewa hayo majibu?Je Kiusalama na Kiulinzi ni ' afya ' kwa Kiongozi yoyote yule wa nchi kulindwa na askari waliobeba silaha kali na nzito popote pale anapokuwa au hasa akiwa katika halaiki ya Watu? Na kama ni sahihi je hawa Walinzi wanaoonekana wamebeba hizi ' silaha ' nzito wanaaminika vipi na Wenzao waliopo kuwa labda hawawezi ' kugeuka ' nyuma au wale waliopo nyuma hawawezi ' kumshambulia ' Kiongozi wetu?
Nitafurahi sana endapo nitajibiwa haya maswali yangu kwani kwa siku za hivi karibuni namuona sana Rais wa huku nilipo nchini Puerto Rico ' akilindwa ' namna hiyo hivyo nikaona si vibaya nikiwauliza ' Wabobezi ' wa masuala ya Kiulinzi na Kiusalama mliopo huko Tanzania mnisaidie kunifafanulia Kitaaluma na Kiueledi kabisa.
Nawasilisha na karibuni mno nchini Puerto Rico wana JF.
Ungejiongeza japo kidogo tu ungeweza kumuelewa mleta uzi, ila kwa kuwa unawaza kidogo sana basi umeshindwa kabisa kumuelewa!tumeshajua uko Puerto Rico