Je, kissing (denda) ni jambo la asili au ni ubunifu wa kibinadamu?

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,637
10,722
Kuna mambo ambayo yanachukuliwa kuwa ni ya asili(natural human behavior) kama kula, kulia, kucheka, sex nk nk. Yaani huitaji kufundishwa ndio uvifanye, vinakuja vyenyewe by instinct

Lakini kuna mambo ambayo ni ubunifu tu wa binadamu, mambo hayo yanahitaji ujifunze ili uyajue, hayaji yenyewe by instinct

Nikawaza hivi denda(kisses) ni kitu cha asili? Kina kuja by instinct unapokua kwenye mapenzi au unafanya kwasababu umejifunza, umeona watu wanakiss au kusikia watu huwa wana kiss?

Je kuna jamii ambazo hawana hizo mambo kabisa?

Je mababu wa mababu wa mababu zako huku Gezaulole walikua wanapigana denda kweli kabla wazungu hawajaja?

Je umewahi kukutana na partner ambaye hapendi denda? Au wewe mwenye binafsi huoendi denda? ....... kwanini?

Kushare mate na mwenza wako linaonekana kama sio jambo salama sana kiafya lakini pia lina ukakasi wa kinyaa iwapo usafi wa kinywa usipo zingatiwa.

Nini UMUHIMU wa denda?
 
Bro Mayu ngoja nikuambie kitu.

Afrika ni bara la giza vitu vingi vimeletwa na wazungu.

Ndio maana utaona hata denda Kwa mbaaaali n kama dhambi.. do you know y? Kwa sababu sio utamaduni wetu.

Tumeiga toka abroad thus y kuna "French Kiss...."

Nikirudi kwenye mada denda ilitokana na ubunifu Tu wa wanadamu lengo n kupeana tu raha.. ujue baada ya mapenzi kuna "mahaba" haya ndo yanafanya mwanaume anayonye papuchi kama vile ndama anavonyonya ziwa la ng'ombe....

Anyway binafsi napenda kiss na Nina degree ya kupiga kiss
 
Kuna mambo ambayo yanachukuliwa kuwa ni ya asili(natural human behavior) kama kula, kulia, kucheka, sex nk nk
Yaani huitaji kufundishwa ndio uvifanye, vinakuja vyenyewe by instinct

Lakini kuna mambo ambayo ni ubunifu tu wa binadamu, mambo hayo yanahitaji ujifunze ili uyajue, hayaji yenyewe by instinct

Nikawaza hivi denda(kisses) ni kitu cha asili? Kina kuja by instinct unapokua kwenye mapenzi au unafanya kwasababu umejifunza, umeona watu wanakiss au kusikia watu huwa wana kiss?

Je kuna jamii ambazo hawana hizo mambo kabisa?
Je mababu wa mababu wa mababu zako huku Gezaulole walikua wanapigana denda kweli kabla wazungu hawajaja?
Je umewahi kukutana na partner ambaye hapendi denda? Au wewe mwenye binafsi huoendi denda? ....... kwanini?

Kushare mate na mwenza wako linaonekana kama sio jambo salama sana kiafya lakini pia lina ukakasi wa kinyaa iwapo usafi wa kinywa usipo zingatiwa
Nini UMUHIMU wa denda?
Denda linafaa Kwa nchi za wenzetu zenye baridi mana kwao midomo haichachi
 
Ni mapenzi ya kidosi, kupotezeana muda tu, ni kwenda kwenye tendo lenyewe, chap kwa haraka
Ila Kuna mademu ukiwapiga denda Kuna Raha yake bwana.

Nilikutana na mtoto wa kitanga huyo ana lipsi lakini alafu zinavutia kwa macho ile mbaya. Ana mdomo Fulani hivi wa chini una nyama nyingi kama wa Angelina jolie asee!!

Kuna midomo ya wanawake Mungu ameiumba kaka,kutoipiga denda ni kama unapunguza ladha kwenye tendo.
 
Aiseee 😂😂😂
 
Kuna mambo ambayo yanachukuliwa kuwa ni ya asili(natural human behavior) kama kula, kulia, kucheka, sex nk nk. Yaani huitaji kufundishwa ndio uvifanye, vinakuja vyenyewe by instinct

Lakini kuna mambo ambayo ni ubunifu tu wa binadamu, mambo hayo yanahitaji ujifunze ili uyajue, hayaji yenyewe by instinct

Nikawaza hivi denda(kisses) ni kitu cha asili? Kina kuja by instinct unapokua kwenye mapenzi au unafanya kwasababu umejifunza, umeona watu wanakiss au kusikia watu huwa wana kiss?
Hiyo ni natural thing kwasababu njiwa na baadhi ya viumbe nao hukiss
 
Kissing ni jambo la asili kabisa, binaadam tumelitoa kwa paka. Ukisikia mapaka yanalia kama watoto usiku vizia utaona nachokwambia. Paka wanakiss na wanazama chumvini ndio ile milio ya raha unaisikia unasema wachawi ulivyo bwege. Tena ukiwakuta unaweza ukajua ni watu wamejibadilisha kuwa paka, wako very romantic.
 
Denda ni kitu cha kiasili kwenye suala la mapenzi, inatuqia ngumu kujua cha asili kwasababu tunakisikia na kukiona kabla tuja pevuka na kukifanya So tukija kukifanya tunaona kama just tumeiga ila si kweli.

Njia ya kujua ni asili kaa na mwanamke wako au uliye na hisia nae kwenye faragha tu msogeleane uso utaona MVUTANO WA USUMAKU wakifanya hiko kitu, kuna vitu vingi vya kiasiri kwenye tendo ambavyo tuja vi unlock tu.

Talking kuwa kitu cha kiasili hakifundishwi sio kweli maana kutembea tumefunzwa, kuongea nk

Naamini hata mtu ashushwe tu leo akafanya kitendo atajua pakuingiza na akifanya mara kadhaa atapiga denda bila kuwai kuona
 
Kissing ni jambo la asili kabisa, binaadam tumelitoa kwa paka. Ukisikia mapaka yanalia kama watoto usiku vizia utaona nachokwambia. Paka wanakiss na wanazama chumvini ndio ile milio ya raha unaisikia unasema wachawi ulivyo bwege. Tena ukiwakuta unaweza ukajua ni watu wamejibadilisha kuwa paka, wako very romantic.
Kwanini useme tumelito kwa Paka, kissing binadamu tujaiga kiumbe chochote bali ni jambo la kihisia kwetu talking kumuiga paka as if binadamu si kiumbe kamili
 
Kwa hiyo kusodomoka pia ni hisia, kuiga haimanishi haujakamilika ni kujifunza.
 
Kama hukuingia darasani ukafundishwa na mwalimu na unafanya ni asili.

Nadhani Hata mkifungiwa binadamu wawili ambao hamjawahi kabisa kuona ngono wala busu. Baada ya muda mtafanya ngono na mtapigana mabusu.
 
Kwa hiyo kusodomoka pia ni hisia, kuiga haimanishi haujakamilika ni kujifunza.
Unajua maana ya Hisia sodimoka ni action mfano wa Hisia za kukisi, hisia za kukumbatia, hisia za kuramba, hisia za kuguswa, kuparazwa.....Hakuna hisia za kula Tigo hiko ni kitendo hata kufanya mbele sio hisia bali hisia ndio inapelekea hilo tendo.

So hakuna Hisia ambayo ina m push mtu kula Tigo ni kaamua tu sasa nile Tigo, ila kuna hisia inayomsukuma mtu kulana mate.
 
Kissing ni jambo la asili kabisa, binaadam tumelitoa kwa paka. Ukisikia mapaka yanalia kama watoto usiku vizia utaona nachokwambia. Paka wanakiss na wanazama chumvini ndio ile milio ya raha unaisikia unasema wachawi ulivyo bwege. Tena ukiwakuta unaweza ukajua ni watu wamejibadilisha kuwa paka, wako very romantic.
Mkuu unaishi dunia ya sayansi na teknolojia ambapo kila kitu kinathibitika lakini bado unaamini kama enzi za ujima

Paka hafanyi mambo yote hayo uliyosema
Nenda youtube kuna zaidi ya video milioni moja za cat matting

Turudi kweny hoja
Ukisema tumeiga maana yake sio asili bali tumejifunza
 
Back
Top Bottom