Hivi si bora mkajaribu kupanda Mlima Kilimanjaro kuliko kubishana na akina Chinga na Kada? Mtaweza kweli kubishana na watu ambao wanatumia hisia na wapo tayari kuukana ukweli madamu watimize hisia zao? Mimi nawaachie nyie bwana, huku mimi sipawezi, endeleeni na kila la heri.
hivi mwana CCM anaposhinda kila kukicha kwenye "Tawi la Chadema" na akiitwa kwenye kwenye tawi lao hataki, na anashindwa kuanzisha tawi lao mtu huyo tumuonaje? Watu wanalia JF ni ya Chadema lakini kutwa wanashinda hapa!

Mwanakijiji.
Maneno haya ni kutugawa wenzako. vipi tusio na vyama? sisi wengine kwetu Elimu ndio siasa hatuna vyama, ikitokea chadema imechukua nchi bwana Mwanakijiji utawafukuza mahospitalini wagonjwa toka chama cha Cuf,Ccm au SAU?
Mimi nilikuwa nakuona mzalendo mzuri na nimekuwa napita kwako kila nikipata nafasi, kwa kauli hii unanitia wasiwasi.nyinyi mtakuwa na Jambo forum na CCM wanaweza kuwa na Chuo kikuu cha Dodoma na jamaa wa Cuf wakawa na redio. raha ni kuwatumia watanzania wote bila ubaguzi.
yale yale ya viroja...Mwalimu wa Udsm nimekusikia ila usiseme hupawezi halafu ukaja na Hijabu au Kanzu Mpya.
Nimecheka sana kuona kuna neno Bazee sehemu fulani, mtu wa Mzumbe University hawezi kuvaa kaniki, kanzu mpya au kibwaya.
pole sana watoto wa Mlimani.
Mwanakijiji hapo umechemsha mzee. Kwahiyo kwasababu wanashinda JF ndio maana yake nini--mi kila siku nikilalamika viongozi wa TZ wanafuja mali na kuhujuma uchumi, ina maana niache kuwa raia wa Tanzania maana sikubaliani nao? Mzee hii ndio inaitwa first class Verbosity!

kwanza unafanya kosa la kulinganisha nyanya na embe! JF siyo nchi mtu huwezi kujianzishia ya kwako! Mtu anayeikandia JF kwa vile ni "tawi la chadema" na hao wana "chadema" wanamuacha achangie na kuwakandia aidha hazimo au haoni contradictions. Kama JF ni ya chadema (sijui kama wewe ni mmoja wa wanaomini hivyo) sasa wale wasio na vyama na wana CCM au wa vyama vingine kwanini wakeshe hapa?
Ukweli ni kuwa hapa ni mahala pa wote na chadema siyo mmiliki au mwenye hisa hapa. Sasa hili watu hawataki kuambiwa. Yaani, forum ya chama ambacho mwenyekiti wake anaitwa mbakaji wa watoto wadogo bado inaendelea kuvumilia mawazo ya mtu yule yule?
Kama tukiamini japo kwa sekunde kuwa hii ni ya chadema, then Chadema wako mbali sana kwenye uhuru wa mawazo ukilinganisha na chama chenye miaka zaidi ya hamsini!
Ndio maana nikajenga hoja kuwa kama watu wanaona hii ni ya chadema, kwanini wasianzishe ya CCM na sisi tukeshe huko tukiwatukana viongozi wao tuone wao watavumilia kiasi gani.
Nungwi, usiwe na shaka mimi ni kama wewe sina chama na sijapiga magoti mbele ya chadema wala kutoa sadaka kwa CCM! na kitu pekee kwangu ni Tanzania.
Mwanakijiji.
Maneno haya ni kutugawa wenzako. vipi tusio na vyama? sisi wengine kwetu Elimu ndio siasa hatuna vyama, ikitokea chadema imechukua nchi bwana Mwanakijiji utawafukuza mahospitalini wagonjwa toka chama cha Cuf,Ccm au SAU?
Mimi nilikuwa nakuona mzalendo mzuri na nimekuwa napita kwako kila nikipata nafasi, kwa kauli hii unanitia wasiwasi.nyinyi mtakuwa na Jambo forum na CCM wanaweza kuwa na Chuo kikuu cha Dodoma na jamaa wa Cuf wakawa na redio. raha ni kuwatumia watanzania wote bila ubaguzi.
Moja; Kosa unafanya wewe unayesema Watu wanalia JF ni ya Chadema lakini kutwa wanashinda hapa! Unataka kutueleza nini? Mbili; Hata mtoto wa miaka 7 anajua JamboForums si nchi, and that is certainly beside the point!
Mwanakijiji hapo umechemsha mzee. Kwahiyo kwasababu wanashinda JF ndio maana yake nini--mi kila siku nikilalamika viongozi wa TZ wanafuja mali na kuhujuma uchumi, ina maana niache kuwa raia wa Tanzania maana sikubaliani nao? Mzee hii ndio inaitwa first class Verbosity!
mtahamisha magoli hadi yatakapokaribia kwenye malango yenu wenyewe! Mbowe ana kesi ya kubaka mahakama gani? wakati kuna mtu muuaji anadunda mitaani huku anatutukania wake zetu!!! mara magari, mara meli, mara nyumba, mara kijiko, mara sinia..!
angalia nani anatetewa usikurupuke tu.. kama lengo ni kuhakikisha watu wote wanasemwa na kukashifiwa ilimradi ionekane iko fair go ahead, lakini kama tulivyomtetea Amina hapa (mwana CCM) ndivyo tunawatetea wale wote ambao kuandamwa kwao kunatokana na hisia ya watu kujiona bora.
Mimi sikujua mnajaribu kusema wote na kukashifu wote ili kuwe na usawa katika kukashifiana na siyo kuangalia nguvu za hoja! well go ahead.
tatizo lako ndio hilo, UNALETA UANACHAMA WAKO WA MBOWE KILA SEHEMU.......... sasa haamishi mtu goli hapa, ndio kwanza tunatia nanga ! Wewe si unajifanya msemaji hodari wa mbowe, jibu basi kuhusu kesi zake za ubakaji na kupigana na mwenyekiti wake kwenye mkutano kisa msichana "mdogo dogo" !
Moja; Kosa unafanya wewe unayesema Watu wanalia JF ni ya Chadema lakini kutwa wanashinda hapa! Unataka kutueleza nini?
Mbili; Hata mtoto wa miaka 7 anajua JamboForums si nchi, and that is certainly beside the point!
ufedhuri wa MBOWE mbona mmeutia mfukoni ??
inaonekana unasubiri kuona threads zote hapa JF zikimuongelea Mbowe ndio ukubali kuwa Mbowe anajadilika hapa JF na pia kuwa hoja dhaifu za majungu zinashindwa hapa JF!